Search results

  1. KUNGUNIMSOMI

    Je, ni kweli TRA wameshaita watu kwenye ORAL INTERVIEW?

    Habari wasaka ajira! Kuna tetesi ambao hazijathibishwa rasmi kuhusu kuitwa kwenye usahili wa mahojiano TRA!? Je ni kweli!? Tetesi zifuatazo bado hazijazibitishwa. 1. Kuwa wameita oral interview wale wa intern tu waliokuwa wanajitolea TRA. 2. Na Wameshachukua barua tayari kwa ajili ya...
  2. KUNGUNIMSOMI

    VIDEO:Africa wanavyo omboleza kifo cha mwamba wa africa

    Nchi nyingi za kiafrica zinaomboleza kifo cha RAIS MAGUFULI kama unavideo itupie ili tuone..Mimi nimeanza na izi video.
  3. KUNGUNIMSOMI

    TPA wekeni majina ya waliofaulu Oral interview

    Ni mda mrefu tangu kufanyika usahili wa mahojiano TPA. Kupitia UTUMISHI. Lakini leo kuna mtu katoa taarifa ya kupigiwa simu. Kuripoti kazini wakati tuliambiwa majina yatatoka kwenye website. Swala la kumpiga simu linaleta upendeleo.. Mbona majina ya written Mlitoa? Mnashindwa nini kutoa majina...
  4. KUNGUNIMSOMI

    Biashara ya vyuma chakavu,masoko, na changamoto zake

    Habari wanajamvi nilikuwa napenda kufanya biashara ya vyuma chakavu je ni makampuni gani yananunua,vipi kuhusu bei kwa tani ya vyuma chakavu na ni mtaji kiasi gani unaitajika? Na ni changamoto gani zinazojitokeza kwenye biashara hii?
Back
Top Bottom