KUNGUNIMSOMI
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 169
- 160
Habari wasaka ajira! Kuna tetesi ambao hazijathibishwa rasmi kuhusu kuitwa kwenye usahili wa mahojiano TRA!? Je ni kweli!? Tetesi zifuatazo bado hazijazibitishwa.
1. Kuwa wameita oral interview wale wa intern tu waliokuwa wanajitolea TRA.
2. Na Wameshachukua barua tayari kwa ajili ya kuripoti kazini
3. Kuwa Ile interview ambayo iliendeshwa ni formality tu,
NB: Hizi ni tetesi tu bado hazijathibishwa, kwaiyo kwa anayeweza kuthibitisha au mamlaka husika inaweza kukanusha.