Search results

  1. F

    Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

    Zanzibar wamekuwa wajanja zaidi wao misaada tokea nje hubunya wenyewe lakini misaada ya Tanganyika hugawana na Zanzibar
  2. F

    Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

    Cha Zanzibar ni chao wenyewe lakini cha Tanganyika ni chao wote
  3. F

    Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

    Ally Hassan mwinyi ni mzaliwa wa mkuranga kiasilia
  4. F

    Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

    Lengo la nyerere ilikuwa ni kuwa Serikali moja tu alikuwa kamaliza Tanganyika akawa yupo mbioni kumaliza ya Zanzibar ili kusiwe na baraza la wawakilishi kuwe na bunge moja Serikali moja, karume akamgeuka ndipo wenye Nchi yao wakafanya yao lakini ikashindikana Zanzibar kumezwa na bara hadi sasa...
  5. F

    Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Mpigie Selemani 0715132277 atakupa ukweli wote yeye husindikizana na Hamza kwenye soko la madini
  6. F

    Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Mpigie huyu mwenye namba hii 0715132277 ni rafiki yake Hamza atakupa habari zake zote
  7. F

    IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

    Katiba mpya ni lazima hata IGP afanye nini hataweza kuzuia hilo
  8. F

    Rais Samia Suluhu kama utatawala kwa kutokuzingatia haki, HAKI halisi itahitimisha safari yako utawala

    Hii haina mashiko kama kauawa mtakuwa ni nyie wenyewe
  9. F

    Rais Samia Suluhu Hassan, usisahau kufumua TANESCO

    Maana ya bujibuji ni bleed ya usaha baada ya kulawitiwa kwa Tabia yako ya umbea Majungu, huna ujanja wa kumnyoshea yeyote kidole kwani wewe bwabwa umeoza tigo kote unashinda ndani kutengeneza Majungu ya kipumbavu umeandika majina ya watu ukazani ni sifa kumbe ni upumbavu na ushamba wako wewe...
  10. F

    Rais Samia Suluhu Hassan, usisahau kufumua TANESCO

    Wewe ndiyo unalialia kishamba kipumbavu pumbavu kutengeneza utumbuaji bandia wa roho mbaya kutaja majina ya watu kwa njia za kijinga unajiona mjanja? acha ubwege roho mbaya dua zako za kuku utasalia nazo huko ulipo, Tanesco ipo imara licha ya Majungu yako na dua zako za kijinga
  11. F

    Rais Samia Suluhu Hassan, usisahau kufumua TANESCO

    Mama Samia yupo busy kuchuja maRC na maDC acheni kumtwika mizigo mingine asije kulemewa mpaka akamsahau DC wa Hai OLe sabaya madarakani na kuishangaza umma wa Tanzania
  12. F

    Rais Samia Suluhu Hassan, usisahau kufumua TANESCO

    Hawa ni wakurugenzi wa Tanesco? au wapo kwenye Bodi ya Tanesco? au umeamua kuwa Shemeji wa Tanesco kwa nguvu pasipo kujali kuwa utaonekanaje? Tanesco ya sasa wamejitahidi sana kulinganisha na tanesco ya kipindi cha kikwete ambayo ilikuwa kero kubwa mgao wa umeme usiokwisha, acheni Majungu acheni...
  13. F

    Rais Samia Suluhu Hassan, usisahau kufumua TANESCO

    Licha ya mapungufu ya marehemu magufuli kuwa mengi lakini kwenye umeme alijitahidi sana kuweka sawa
  14. F

    Rais Samia Suluhu Hassan, usisahau kufumua TANESCO

    Tanesco wamejitahidi kuboresha huduma ingawa miaka 6 hawakuwa na nyongeza za mishahara
  15. F

    TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

    TRA waundiwe Tume kali ya wataalam hata wa kukodi tokea nje wawahoji wafanyabiashara vizuri kwa umakini mkubwa kubaini udhaifu wa watendaji wa TRA
  16. F

    TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

    Serikali akazie humo humo kwani bado wapo wafanyakazi wengi siyo waaminifu wanaendelea kuwasumbua wafanyabiashara TRA inanuka Rushwa na ubadhirifu wa pesa za walipa kodi
  17. F

    TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

    TRA kuna shida kubwa Serikali imefanya vyema kupamulika kwa nguvu
Back
Top Bottom