Rais Samia Suluhu Hassan, usisahau kufumua TANESCO

Fumueni vyote niachieni mademu zangu Marcia Simfukwe na Delphiner Karumuna
Hawa ni wakurugenzi wa Tanesco? au wapo kwenye Bodi ya Tanesco? au umeamua kuwa Shemeji wa Tanesco kwa nguvu pasipo kujali kuwa utaonekanaje? Tanesco ya sasa wamejitahidi sana kulinganisha na tanesco ya kipindi cha kikwete ambayo ilikuwa kero kubwa mgao wa umeme usiokwisha, acheni Majungu acheni fitna zisizo na tija
 
Mama Samia yupo busy kuchuja maRC na maDC acheni kumtwika mizigo mingine asije kulemewa mpaka akamsahau DC wa Hai OLe sabaya madarakani na kuishangaza umma wa Tanzania
 
Hawa ni wakurugenzi wa Tanesco? au wapo kwenye Bodi ya Tanesco? au umeamua kuwa Shemeji wa Tanesco kwa nguvu pasipo kujali kuwa utaonekanaje? Tanesco ya sasa wamejitahidi sana kulinganisha na tanesco ya kipindi cha kikwete ambayo ilikuwa kero kubwa mgao wa umeme usiokwisha, acheni Majungu acheni fitna zisizo na tija
Jua sehemu ya kupeleka malalamiko yako. Ungereply kwenye post ya kwanza nadhani ungeeleweka zaidi.
Mkisikia kutumbuliwa mnaliiiiiiiiiiaaa😢😭😢😭
 
Tanesco wamejitahidi kuboresha huduma ingawa miaka 6 hawakuwa na nyongeza za mishahara
Kwa rushwa wanayochukua sipendekezi waongezewe mshahara.
Hivi menejiment inajua kwamba kila saveya akija kufanya kazi yake ya kusavei lazima aondoke na pesa. Kwa mkoa wa Pwani. KIBAHA dau lao Ni 40k. Otherwise utaletewa makadirio ya nguzo moja ya ziada au mkwara wowote tu.
Kuna siku si nyingi masaveya wa KIBAHA watapewa hela za Moto.
 
Hilo ni jipu waziri azunguke atakuta madudu ya kutosha, mtu kalipia minimum toka November hadi leo hajafungiwa umeme ina maana utendaji kazi ni wa pole pole kiasi hicho?
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tubaomba ushirikiano wako hata kwa siri ili kifanyia kazi madai yako.Tusaidie namba yako ya simu uongozi wa Makao Makuu utawasiliana na wewe kwa siri na kuweka mtego
 
Hilo ni jipu waziri azunguke atakuta madudu ya kutosha, mtu kalipia minimum toka November hadi leo hajafungiwa umeme ina maana utendaji kazi ni wa pole pole kiasi hicho?
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Tanesco jiandaeni kufumuliwa mmezubaa mno na usukuma umezidi.
 
Hilo ni jipu waziri azunguke atakuta madudu ya kutosha, mtu kalipia minimum toka November hadi leo hajafungiwa umeme ina maana utendaji kazi ni wa pole pole kiasi hicho?
Wape hela kidogo hapo ofisini kwao,nakuhakikishia haitafika kesho kutwa wanakuwekea umeme.
 
Wape hela kidogo hapo ofisini kwao,nakuhakikishia haitafika kesho kutwa wanakuwekea umeme.
Kumbuka mtoaji na mpokeaji wote ni wahalifu na kulalamika bila kutoa urishirikiano sio jambo zuri.Je umlipatia nani? Lini? Wilaya gani na namba ya simu tafadhali
 
Pole na pongezi kwako, naomba nikufikishie hili la TANESCO kuweka umeme kwenye nyumba imekuwa balaa, baada ya kufanya wiring ili kumpata surveyor inabidi usubiri hata miezi sita ila ukitoa chochote wanakuja kwa haraka, wakikuambia kwamba watakuletea umeme bila nguzo gharama yake ni laki tatu, ambapo watakuahidi kuwa watakuja baada ya wiki mbili hapa unaweza kusubiri miezi miwili au mitatu kama hujatoa chochote.

Cha kusikitisha zaidi ni pale eneo lako linapohitaji nguzo moja au zaidi, bei ya nguzo moja ni zaidi ya shilingi laki tano sawa na mshahara wa afisa wa serikali mwenye elimu ya shahada ya kwanza fikiria kama eneo lako linahitaji nguzo tatu mbaya zaidi watakwambia kuwa baada ya kulipa usubiri miezi miwili ila kiukweli hapa utasubiri mpaka miezi sita.

Kama haya yanayotokea ni uzembe, naomba waziri mwenye dhamana na mkurungenzi mtendaji wawajibishwe kwani wanahujumu serikali tunashindwa kufanya biashara ndogo ndogo ambazo zinahitaji umeme, hivyo kuikosesha serikali mapato.

Pia wahusika wawajibishwe kwa kutokuwa waadilifu; yaani kwa sasa mtu Akihitaji kuweka umeme ni mpaka amjue fulani hili shirika sijawahi kulielewa.
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Ntaweka yooote hapa
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

Bado mpaka sasa haujatusaidia taarifa kamili dhidi ya ulicholalamikia tafadhali
 
Ninashauri bodi ya tanesco isambaratishwe, haipitishi miradi kwà wakati,
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

Je ni mradi gani unaolalamikia?
 
Mkishajulisha kupitia JF, tatueni matatizo ya wananchi.acheni siasa. Unataka namba ya simu ? Mnachekesha kweli.
 
Mkishajulisha kupitia JF, tatueni matatizo ya wananchi.acheni siasa. Unataka namba ya simu ? Mnachekesha kweli.
Ni jambo jema kutuma taarifa hata inbox kutuwezesha kukuhudumia.Tafadhali tambua lengo la kulalamika ni kuhudumiwa vinginevyo nia yako inakuwa haiko wazi.Sisi Makao Makuu TANESCO tunaahidi kukupa ushirikiano wowote utakaohitaji kuhakikisha unapata huduma stahiki
 
Jua sehemu ya kupeleka malalamiko yako. Ungereply kwenye post ya kwanza nadhani ungeeleweka zaidi.
Mkisikia kutumbuliwa mnaliiiiiiiiiiaaa😢😭😢😭
Wewe ndiyo unalialia kishamba kipumbavu pumbavu kutengeneza utumbuaji bandia wa roho mbaya kutaja majina ya watu kwa njia za kijinga unajiona mjanja? acha ubwege roho mbaya dua zako za kuku utasalia nazo huko ulipo, Tanesco ipo imara licha ya Majungu yako na dua zako za kijinga
 
Back
Top Bottom