Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

Hapo vip!

Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.

Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.

Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.

Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)

Lakini hajawahi kutoka Rais Mkristo kutoka bara akatawala Zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Marais wanahubiri dini?
 
Hawahawa manamba wa kiha kutoka Kigoma na Burundi wanajiita waarabu wa Oman?Hell nooo!It's purely fake news!
Huwa mimi wazanzibari na waona kama ni waafrika wanaokana asili yao kwa kuleweshwa dini ya kiharabu..Na infact hata hao waarabu hawawapendi hawa jamaa ila wazenchi wanajipendekeza kwa nguvu..mfano tu kwenye kombe la Dunia juzi Morocco ilipotinga nusu fainali wakasema huo ushindi ni kwa waarabu wote.Sasa hawa wazanzibari ni weusi sijui ni waarabu wa wap?Ignorance inawazalilisha waafrika sana.
 
Hukufundishwa 'an onion, an aeroplane..' darasa la tatu!?.. yaani umeandika kiingereza nijue umepita shule!?..well ulienda kunywa kamasi tu shule, kiingereza kichafu!!..hata ndani ya jibu langu hukuona jawabu la issue yako
Du hivi hajui kimatumbi ? Maandishi yamemvua gauni kabaki uchi. Naunga mkono kama kamasi alizishiba
 
Nimegundua vijana wengi hawajui aina na muundo wa Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar.

Hata hivyo wa kulaumiwa ni Nyerere hakutakiwa kuvunja serikali ya Tanganyika bali ilitakiwa kuwe na serikali tatu lakini alifikiri kwa muundo wa serikali mbili tungekuwa watawala wa Zanzibar daima lakini leo tunatawaliwa sisi! Ujanja mwingi mbele kiza.
Lengo la nyerere ilikuwa ni kuwa Serikali moja tu alikuwa kamaliza Tanganyika akawa yupo mbioni kumaliza ya Zanzibar ili kusiwe na baraza la wawakilishi kuwe na bunge moja Serikali moja, karume akamgeuka ndipo wenye Nchi yao wakafanya yao lakini ikashindikana Zanzibar kumezwa na bara hadi sasa wao ni wajanja kuliko Tanganyika kwani cha Zanzibar ni chao wenyewe mfano bunge lao SERIKALI yao Bendera yao na vikosi vyao vya akina KMKM na vinginevyo, Cha Tanganyika bara ni cha wote ndiyo maana wabunge wa Zanzibar huingia Bungeni Dodoma, lakini wabunge wa Tanganyika ni marufuku kukanyaga Bunge la Wakilisha Zanzibar, mpaka sasa matokeo ni Zanzibar 3 -0 Tanganyika, wanaendelea kufaidi matunda ya muungano kuliko Tanganyika
 
Zanzibar wamekuwa wajanja zaidi wao misaada tokea nje hubunya wenyewe lakini misaada ya Tanganyika hugawana na Zanzibar
 
Back
Top Bottom