Search results

  1. donMramba

    Website ya bodi ya mikopo mbona siielewi

    wakuu hebu angalieni hii kitu! website ya bodi ya mikopo olas.heslb.go.tz imeingiliwa au ni macho yangu
  2. donMramba

    Msaada naomba kujua kiswahili cha maneno haya:

    "brand that i love" na my favourite brand"
  3. donMramba

    Wanahistoria hivi ni kweli mambo yalikuwa hivi???

    tazama hii picha kwa makini....
  4. donMramba

    Mhadhiri wa MUCE mbaroni kwa kosa la kumkashifu Rais Magufuli kupitia WhatsApp

    Mkufunzi toka Chuo Kikuu cha Mkwawa (MUCE) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kumtukana Rais Magufuli katika mtandao wa WhatsApp. Kamanda wa Polisi Julius Mjengi amethibitisha kukamatwa kwa mhadhiri huyo mwenye miaka 48 ========= A lecturer with Mkwawa University College of...
  5. donMramba

    Yahoo yashambuliwa na Hackers

    yahoo yasema imedukuliwa na wadukuzi na wameiba information za watu zaidi ya milioni 500... Yahoo says hackers stole information from about 500 million users in 2014 in what appears to be the largest publicly disclosed cyber-breach in history. The breach included swathes of personal...
  6. donMramba

    Sababu za kupewa pesa za field nusu nusu

    Ivi bodi ya mikopo imetoa sababu za kutupatia fedha za field nusu nusu??ni kwamba pesa hamna au wana sababu gani kufanya hivyo...
  7. donMramba

    HESLB iwarudishie pesa (30,000/=) ambao wametoka Diploma na hawana 3.5 GPA

    bodi ya mikopo hivi inakuwaje kwa mtu ambaye amesha apply mkopo kabla ya kuona vigezo vipya vya TCU kwamba lazima uwe na upper second (kuanzia GPA ya 3.5) kwa wale waliomaliza DIPLOMA kwa mtazamo wangu ni vizuri wangewarudishia tuu pesa zao kwa maana hilo litakuwa ni jipu la miaka ijayo...
  8. donMramba

    Chuo cha TIA chaachia list of students selected undergraduate students first batch 2015

    STUDENT SELECTED TO JOIN BACHELOR DEGREE 2015/2016 ACADEMIC YEAR-FIRST SELECTION | TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY
  9. donMramba

    Msaada kuhusu nacte...

    Wakuu kuna dogo profile yake ya NACTE HAIFUNGUKI naomba kuuliza,hii ni kwa wote au ni tatzo lake mwenyewe??
  10. donMramba

    Naomba maelezo mwenye kujua namna ya kupata hatimiliki

    Wakuu naomba kujua ni wapi na ni taratibu gani za kufuata ili kupata hatimiliki ya kitabu
  11. donMramba

    Kuna athari gani kwa anayefaidika na mkopo HESLB kurudia mwaka wa masomo?

    wakuu naombeni mnisaidie hivi kwa anaaenufaika na mkopo kutoka kwa bodi ya mikopo akirudia mwaka wa masomo (mfano mtu anaaetakiwa kuendelea na mwaka wa pili anarudia kusoma tena mwaka wa kwanza).Je huwa anasitishiwa mkopo?kama ataendelea kupata mkopo je atatakiwa kupeleka taarifa yoyote bodi ya...
  12. donMramba

    mv magogoni

    ata hitilafu kivuko cha mv kigamboni kimepata hitilafu...mafundi wanaendelea na matengenezo ila abiria ni wengi sana na kwa sasa ni mv kigamboni ndo kinavusha abiria...
  13. donMramba

    kivuko cha MV magogoni chapata hitilafu

    kivuko cha mv kigamboni kimepata hitilafu...mafundi wanaendelea na matengenezo ila abiria ni wengi sana na kwa sasa ni mv kigamboni ndo kinavusha abiria...
  14. donMramba

    how to upload profile photo jf

    kile kiavatar kinanichosha nataka kueka picha jf
  15. donMramba

    msaada IFM first year registration tafadhali

    jama nashindwa nifanye nini kwasababu nimeshachukua admission letter na wanahitaji tulipe asilimia 60 ya ada ambayo ni 1million na laki moja ivi..kiukweli familia yangu haimudi kunilipia hiyo pesa na mwisho wa kufanya usajili ni tarehe 6 oct,nategemea bodi ya mikopo bodi yenyewe wanasema mkopo...
  16. donMramba

    Je,kuna possibility ya kuapply chuo via cas kwa aliekosa chuo?

    wakuu naombeni msaada,kama kichwa cha habari kinavyojieleza..kuna jamaa angu kakosa chuo je anaeza kuapply tena?nimeingia kwny site ya tcu nimeona slot ya registration ipo on...je afanye nin huyu ndugu yangu?:target:
  17. donMramba

    ni muhimu kuwa na laptop kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza?

    wakuu nisaidieni kwenye hili jambo,ni lazima niwe na pc nitakapoanza masomo chuoni?
  18. donMramba

    habari from ifm

    soma hapa:A S-key:
  19. donMramba

    Message from ifm via mobile phones

    Congratulation from IFM. You have been selected to join IFM for your Bachelor degree course. Registration will start on 16th September 2013 for privately sponsored students. For HESLB sponsored students Registration will open from 15th October 2013. For more information visit Home - The...
  20. donMramba

    Message from ifm via mobile phones

    Congratulation from IFM. You have been selected to join IFM for your Bachelor degree course. Registration will start on 16th September 2013 for privately sponsored students. For HESLB sponsored students Registration will open from 15th October 2013. For more information visit Home - The...
Back
Top Bottom