Wanahistoria hivi ni kweli mambo yalikuwa hivi???

donMramba

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
250
41
tazama hii picha kwa makini....
14370297_1092863844102257_3851980655657372159_n.jpg
 
Hiiyo ya 1980 ndiyo Ile ya Hallack ambayo watu walitaka kuweka Night Club? Waswahili wanasema usitupe mbachao kwa msala upitao. Yule mwanamziki wa Kenya aliimba Usiniringie kwa suti ya kuazima.
 
Tumetoka mbali. Kutoka ufisadi wa kutisha mpaka hapa tulipo japo ni baby steps lakini tukiendelea hivi japo kuna matumaini. Mwanzo daima ni mgumu ati!

Watu wameua mashirika makusudi na kujitajirisha bila aibu. Aaaargh!!!
 
Wewe unafikiri hiyo ya 1980 ilikuwa ndege kweli? Kuna watu wanafikiri ufisadi ni jambo jipya. Ulizia hawa walikuwa ni akina nani: Lawrence Mmasi, Augustine Mwingira, George Hallack
 
Halafu uliza thamani ya fedha ukilinganisha na dola wakati huo! Viva Magu. Si mbaya hako ka bombardier. 2014 hata hiyo haikuwepo. Tujipongeze!
 
Wewe unafikiri hiyo ya 1980 ilikuwa ndege kweli? Kuna watu wanafikiri ufisadi ni jambo jipya. Ulizia hawa walikuwa ni akina nani: Lawrence Mmasi, Augustine Mwingira, George Hallack
Mkuu hebu tumegee kidogo walikuwa kina nani hao. Wengine labda hatukuwepo kabisa hata duniani
 
JK Nyerere aliweza sana ku balance mambo, wakati huo viwanda vilikuwa kibao Urafiki, Bora cha viatu, n.K...alipokuja Mwinyi vingine akajimilikisha binafsi viwanda vilivyokuwa vya umma! ! , na alisomesha wanafunzi bure hadi chuo kikuu...hakuna hii matakataka inaitwa mkopo! Wanafunzi walisafiri bure wakienda ama wakitoka shule mikoani, alijenga Reli ya Tazara, thamani ya Tshs ilikuwa nzuri, deni la taifa lilikuwa dogo sana ukilinganisha na sasa!!
Tulikuwa na mgodi was almasi mwadui tu, lkn tulijikaza kiume lkn sasa migodi kila mahali, sijui gesi lkn nchi iko hoi!! Haina kitu zaidi ya kujaa bidhaa toka ughaibuni!!
 
Wewe unafikiri hiyo ya 1980 ilikuwa ndege kweli? Kuna watu wanafikiri ufisadi ni jambo jipya. Ulizia hawa walikuwa ni akina nani: Lawrence Mmasi, Augustine Mwingira, George Hallack
Tupe vitu mkuu nini kilotokea
 
wewe huoni hiyo ni development, mbona simu za zamani zilikaribia kg1 kwa uzito lakini za Leo zina gram kadhaa tu. maendeleo ni kufanya vitu kua portable zaidi.
 
Hivi Otu...Juwata...na Au Nuta vilichangia kukuwa kwa uchumi wa viwanda.... na mashirika...????
 
Wewe unafikiri hiyo ya 1980 ilikuwa ndege kweli? Kuna watu wanafikiri ufisadi ni jambo jipya. Ulizia hawa walikuwa ni akina nani: Lawrence Mmasi, Augustine Mwingira, George Hallack
Tufahamishe mkuu ni kina nani hao?
 
Back
Top Bottom