Habari wakuu, tangu jana nimekuwa nikijaribu kufanya malipo kadhaa online kwa kutumia kadi za Mastercard bila mafanikio,
Mwanzoni nilikuwa natumia kadi za mitandao ya simu hola, ikabidi nitumie kadi ya benki yangu, lakini nayo hola..japokuwa njia hizi hizi nilikuwa nikizitumia zamani na malipo...
1. Hii ni picha ya aina gani?
2. Eleza aina ya hali ya hewa ya eneo hili?
3. Taja mazao matatu yanayoweza kulimwa kwenye ukanda wenye iyo hali ya hewa?
4. Jadili vitu vitatu unavyoviona kwenye picha hii, ukielezea umuhimu na madhara yake.
MUDA: Masaa Matatu
Kwenye harakati za kupunguza zile kauli kupata tabu sana na biti za watembea na ilani basi jioni hii najirudisha uswekeni kwenda kujificha hadi hapo kesho (Maana kuna watu huenda kulala na wengine kijificha)
Hapa nipo kwa daladala iliyojaa ile kisawa sawa, basi kuna Mama tumepanda nae daladala...
Leo kwenye kuzurula kwangu mitandaoni nikaikuta hii kitu inaitwa Tanzania Effects, Baada ya wizara ya Utalii kukomalia suala la kuitangaza nchi yetu huko Marekani especially kwenye viwanja vya michezo, wenyeji wa huko hasa wachezaji na mashabiki angalau sasa wanaifahamu Tanzania
Hii kitu ni...
Rejea kichwa cha habari hapo juu....nina mgonjwa anaesumbuliwa na hayo maumivu....anahisi kuungua on her right breast kiasi cha kupandwa na homa iyo hali inapotokea, Ilimuanza kama miezi mitatu iliyopita, tumejaribu kwenda kwenye hospitali kadhaa, zikiwemo muhimbili, Dar Group na Kairuki na...
Tumesikia wenzetu wa west africa wakiwafukuza hawa jamaa wa red cross kwa kusema kuwa chanjo wanazotoa ndizo zilizobeba ugonjwa unawaua..na pia wameendelea kwa kusema kuwa watu waliokufa ni wale tu waliopata chanjo za kukinga ugonjwa....
Hivyo ningependa kujua hii chanjo inayopita sasa hivi...
Wakuu.
Nakumbuka hapo zamani wakati wa utoto, tulikuwa na imani aka kasumba kuwa ukimtaka mshichana flani basi unaenda kutafuta dawa flan kama ni porini au kutafuta ndege flan unamuandaa af unamgusa msichana flan kwa imani atakufata.
Basi wakati nipo darasa la nne kuna mdada alikuwa ananitesa...
All graduates searchingfor jobs are invited for a discussion and training session on Graduatesemployability. The discussion will focus on employability challenges, jobsearch techniques and the role of Higher Education Institutions in enhancinggraduates employability. Corporate employers...
Wadau,
Ni matumaini mpambano wa maisha unaendelea kama kawaida.
Mimi ni mjasiriamali, nilianzisha kampun ambayo ilisajiliwa miaka mitatu iliyopita ambapo mwaka huu biashara imekuwa more serious.
Ninafanya management consultancy, level yangu ya elimu kama top official katika kampuni ni MBA na...
Habari wakuu..
ninahitaji king'amuzi cha startimes (used)...bajeti yangu ni tsh 40,000..kama unacho basi sio vibaya ukanitaarifu kwa 0719 257214
Aksanteni
Nimegundua kwamba watu wanapokwenda kazini asubui huwa wana hasira ya kazi na wanaporudi majumbani huwa wana stress za kazi na kuanza kukumbuka uvundo uliotokea siku nzima!sasa usiombe ukapanda gari ambalo kuna konda mkorofi,!!
Mmama: Konda ondoa gari kuna joto,
Konda: Usituzingue wewe, kama...
Ndugu wana JF Neema ya Bwana iwe nanyi nyote!
Ninaomba kupata taarifa ni kwa namna gani ninaweza kupata sehemu ya kujitolea ili niweze kuongeza uzoefu zaidi na kuimarisha CV yangu kwani ndio nimemaliza chuo mwaka huu! taarifa yangu fupi ni kama ifuatavyo!
Ba Development Studies
University Of...
Ndugu wana jukwaa, binafsi napenda nieleze dukuduku langu linalonisumbua sana sana! tunao wawekezaji nchi hii ambao wamekuwa wakinyanyasa raia na hata kutukana viongozi wetu tena hadharani na wazi wazi bila hatua zozote kuchukuliwa. Yawezekana ni kweli viongozi wetu wakuu wana madhaifu mengi...
Nimeanzisha kakampuni kangu wakuu na nimeandaa magazine nzuri ambayo future prospects yake ni nzuri sana kulingana na utafiti nilioufanya so ninahitaji kuiprint, changamoto pekee niliyonayo ni pesa ya kuprint hiyo magazine yangu ambayo cost yake ni kama milioni 4 hivi. Nimeona niwaeleze wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.