Search results

  1. malcom2

    M/kiti wa vijana Chadema na m/kiti wa UVCCM uso kwa uso mj radio

    M/kiti wa Vijana Chadema.Noel Olevaroya na M/kiti wa Uvccm wilaya Arusha Martin Munis. Nccr na Cuf uso kwa uso Mj Radio saa 3:00 mpaka saa 4:00 kamili usiku huu,mada ni kuhusu ajira kwa vijana. Kaa mkao.
  2. malcom2

    Wafanyakazi wa Leopard Tours kuandamana mpaka kwa mbunge Lema

    Kutokana na manyanyaso makubwa na mateso wanayoyapata pasipo msaada wafanyakazi hao wa Leopard tours wameamua kuandamana mpaka ofisini kwa mbunge wa Arusha mh. G. Lema kumfikishia kilio chao. Chanzo: wafanyakazi.
  3. malcom2

    Cheki jinsi Leopard Tours wanavyowanyanyasa wafanyakazi (You must read this)

    Nimekutana na wafanyakazi wa leopard tours na kuongea nao kwa kweli wananyanyasika sana na awana pa kusemea kwasababu anadai serikali yote iko kiganjani mwake, kwahiyo ameamua kufunga mashine ya x ray kwaajili ya kuwakagua wafanyakazi wake na mashine hiyo ilikataliwa tanzanine one na kahama...
  4. malcom2

    Asante tours hiki unachokifanya si ubinadamu

    Hatimae baada ya TPO(Tanzania Poters Organisation)kuendesha mkakati wa kupigania poters Kilimanjaro waliokuwa wananyanyaswa na kampuni ya Asante Tours sasa mmililiki wa kampuni hiyo ameanza kuwatisha wafanyakazi hao na juzi amemteka mmoja na kumjeruhi vibaya na tayari jalada lipo polisi. Na...
  5. malcom2

    Lissu: kumfungulia Sugu kesi ni kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa wa Tanzania

    Akiongea nje ya ofisi ya mpelelezi mjini Dodoma amesema kuwa kumfungulia kesi Sugu ni kinyume na katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa sababu mbunge ana kinga ya kisheria. Naye Sugu aliongeza kuwa hata watudhalilishe kwa kutupiga hata kutuua hatutarudi nyuma kutetea maslahi ya wanyonge...
  6. malcom2

    Bunge ni chombo cha kutunga sheria

    Waeshimiwa wana wa jf bunge la juzi kuzalilishwa kwa waziri mkuu kivuli kiongozi wa upinzani bungeni mwenyekiti wa chadema taifa mbunge wa hai Freean Mbowe (MB) imewauma watanzania cna na tunalaani nguvu spika anayotumua bunge linaendesha kwa misingi na sheria na kanuni lakini kaka yangu ndungai...
  7. malcom2

    Arusha: Wafanyabiashara wawili wa Tanzanite wapigwa risasi na majambazi

    Wafanyabiashara wawili wapigwa risasi na majambazi na kuporwa madini aina ya Tanzanite jioni hii Arusha.
  8. malcom2

    Kamati kuu ya CCM wamekaa leo Bukoba

    Tunaimbeni mloko kwenye kamati kuu leo ccm nikunyoa au kusuka kwa madiwani wao wa 8 ccm hawana ubavu wa kuwafukuza kbsa tunaitaji taarifa wana bukoba leo nape toa tamko kama mnajiamini
  9. malcom2

    TUNDU LISSU: Tanzania imekuwa nchi ya kikandamizaji na mabavu ya vyombo vya dola dhidi ya wananchi

    Wanajamvi: Katika kongamano la kisomi kama hili nilitegemea kwamba wasomi wetu wangehoji ile dhana ya Tanzania ni kisiwa cha amani. Lakini nina wasiwasi wamepapasa papasa sana. Nchi hii tangu miaka ya mwanzo ya uhuru imekuwa nchi ya kikandamizaji na matumizi ya mabavu sana ya vyombo vya dola...
  10. malcom2

    Mh Mbowe na Mh Lema wakiwa KCMC

    Wana JF Leo nikiwa kataka hospitali ya KCMC moshi nipokwenda kumjulia hali baba yangu nikabahatika kukutana na hawa wabunge wa chadema Mh Mbowe[KUB],Mh Lema na wengine wa vitimaalum sikuweza kuwajua kwa majina wakijulia hali wagonjwa. Nimebahatika kupata picha kidogo
  11. malcom2

    SIRI YAFICHUKA!!! CCM Wabandika namba feki kwenye Magari..... Wanakusudia kufanya nini?

    Ni habari za kuaminika kuwa ccm wamebadili namba za magari yao ya chama na kuweka namba zisizo halali kama moja ya magari yao yenye namba T399 BFE wamebandika namba T 859 AGN na sababu halisi hatuzijui ila tunadhani ni kwaajili ya kufanyia uhalifu hivyo tunaomba wahusika walifanyie kazi
  12. malcom2

    Chadema kushinda kata zote nne arusha tar 14/7/2013 polisi msitumike kisiasa barca vs mtibwa

    Hii ngoma ni kati ya barcelona na mtibwa tuachieni muone jinsi tunawagaragaza maccm nne bila,wakichakachua watakiona cha moto kilichomnyoa kanga manyoa yake.hakika ya mwenyeenzi mungu ccm ni wepesi kuliko pamba nchemba hatakimbia arusha kwa aibu na wenzake wote,walioko...
  13. malcom2

    Mwigulu nchemba:hatolewa tuki na makamanda wa chadema usiku huu kalolen akiwa amevaa vazi la kimasai

    Habari za kuhaminika nchemba nusura hale kibano mitaa ya mviringo bar kaloleni, akipita kwenye nyumba za watu yeye na wasira kuomba kura kitu ambacho ni kinyume na taratibu za tume. Polisi ndio wamekuja kumsaidia baada ya kupiga simu ya kuomba msaada, niko eneo la tukio vijana wa chadema si...
  14. malcom2

    Waziri wa nishati muongo tunaitaji msaada wako arusha tanesco ni kero

    Ulituaidi punguzo la umeme lkn matokeo yake imekua ni kisima cha rushwa. Mimi ni mkazi wa arusha nimelipia nguzo pamoja na service line kuanzia mwezi wa kwanza lkn matokeo yake nimeambiwa hili nipewe nguzo nitoe rushwa ya laki moja ndio nipewe nguzo je?hii ni sawa na kama ni sawa ni bora...
Back
Top Bottom