Chadema kushinda kata zote nne arusha tar 14/7/2013 polisi msitumike kisiasa barca vs mtibwa

malcom2

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
301
67
Hii ngoma ni kati ya barcelona na mtibwa tuachieni muone jinsi tunawagaragaza maccm nne bila,wakichakachua watakiona cha moto kilichomnyoa kanga manyoa yake.hakika ya mwenyeenzi mungu ccm ni wepesi kuliko pamba nchemba hatakimbia arusha kwa aibu na wenzake wote,walioko arusha,nape,nchemba,wasira,chatanda,ole medeye,sendeka,mwanry,lowasa na wengine wengi watakimbia kwa aibu jinsi watu wa arusha wanakwenda kupiga kura za hasira jpili chezea chuga weeeeeeeeeeeeee
 
Arusha,mtwara,mbeya,mwanza,Dar,kilimanjaro,lindi,songea,iringa ,kigoma ,singida etc etc magamba hawana chao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
...tuna muaibisha mwigulu na wenzake,saa nne tu mambo kwishaa...
 
Back
Top Bottom