Waziri wa nishati muongo tunaitaji msaada wako arusha tanesco ni kero

malcom2

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
301
67
Ulituaidi punguzo la umeme lkn matokeo yake imekua ni kisima cha rushwa.

Mimi ni mkazi wa arusha nimelipia nguzo pamoja na service line kuanzia mwezi wa kwanza lkn matokeo yake nimeambiwa hili nipewe nguzo nitoe rushwa ya laki moja ndio nipewe nguzo je?hii ni sawa na kama ni sawa ni bora warudishe bei ile ile hili tufungiwe umeme kwa wakati,maana kuanzia waziri hatoe tamko la punguzo wananchi wa arusha akuna aliyefungiwa umeme isipokua wale waliokubali kutoa rushwa,tumechoshwa na uongo wa serikali ya ccm
 
Back
Top Bottom