Asante tours hiki unachokifanya si ubinadamu

malcom2

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
301
67
Hatimae baada ya TPO(Tanzania Poters Organisation)kuendesha mkakati wa kupigania poters Kilimanjaro waliokuwa wananyanyaswa na kampuni ya Asante Tours sasa mmililiki wa kampuni hiyo ameanza kuwatisha wafanyakazi hao na juzi amemteka mmoja na kumjeruhi vibaya na tayari jalada lipo polisi.
Na imethibitika kuwa mmiliki huyo anashirikiana na Naibu waziri wa maliasili na Utalii ambaye amenunua share kwenye kampuni hiyo.
Tunaiomba serikali kuingilia kati suala hili
 
...hivi hawa wahuni wachache wanaodharau haki za wananchi watatufanyia huu uhuni mpaka lini...? these things has to end jamani,utawala wa sheria uheshimiwe,kila siku wafanyakazi wanaitwa vibarua, hii nchi haina sheria ya kazi, waziri wa kazi yuko wapi..? au nae anamsubiri magufuri na mwakyembe kwenye wizara zao kama tazara. sijui \wanaochaguliwa kuwa mawaziri wanapimwa kwa vigezo gani..? aaaghhhh...! full udhaifu kila mahali...
 
Na hili jambo mpaka muhifadhi mkuu wa Kinapa analijua nimejaribu kuzungumza nae anasema anashindwa kwasababu lina mhusu bosi wake hivyo inamuwia vigumu kulitatua.Wananchi tushikamane kupinga huu udhalimu
 
Hii kampuni ina matatizo makuvwa sana! Mwanzoni mwa mwaka huu ilikuwa inadaiwa zaidi ya dollar 120000 kwa kupitisha watalii zaidi ya 120 bila kuwalipia entry fees. Na huyo Nyalandu ndiye alikuwa mstari wa mbele kumtetea.
 
Hii ni kweli kabisa sasa hivi awapa poter kilo 35 badala ya kilo 20 kisheria na wanasema Kinapa wamempa special permit hii haikubaliki kabisaa ni unyanyasaji mkubwa
 
cathbet ni mnyama ndo mana dogo langu alibeba na laptop yake..... katangazwa kuwa ni bankruptcy lakini kajenga bonge la hotel Weruweru
 
Imethibitika kuwa kijana aliyetekwa na kujeruhiwa alikuwa mfanyakazi wake wa karibu amemtuhumu kuvujisha habari zake
 
Wewe cathbert wewe! Wewe! acha kutishia watu maisha, unataka kutoa uhai wa wenzako kisa wanatetea porters! Shindwa katika jina la Yesu!!
 
na hili jambo mpaka muhifadhi mkuu wa kinapa analijua nimejaribu kuzungumza nae anasema anashindwa kwasababu lina mhusu bosi wake hivyo inamuwia vigumu kulitatua.wananchi tushikamane kupinga huu udhalimu
ni kweli kabisa mimi mwenyewe nlikuwa nafanya kazi hapo. Niliondoka nikaacha nimerudi company za home arusha.. Kuna matatizo mengi wafanya kaz wana pata hususan wapanda mlima.
 
Hii kampuni imekuwa ikitoa rushwa kubwa sana kwa uongozi ea Kinapa ili kuwadhulunu porters.Kuna mhifadi mmoja aitwaye Mathew Mombo huyu amekuwa akishiriki moja kwa moja kutetea huu uovu, kila anapoelekewa malalmiko huwa anamtetea.Tupaze sauti kwa pamoja tuwatetee hawa porters wanaodhulumiwa na hawa wauwaji wasio na huruma.
 
imethibitika kuwa kijana aliyetekwa na kujeruhiwa alikuwa mfanyakazi wake wa karibu amemtuhumu kuvujisha habari zake

sababu ya mzigo kilo 35 alitoa taarifa ( kpap ) kilimanjaro porter association ndo maana akafanyiziwa sisi tupo nao huku mlimani tunayajua haya lakin ahsante tours inalindwa na mkuu mmoja kinapa anaitwa mombo. Mliyosema wazewe niya kweli tumeshangaa kuuona mnavyoyajua wazee
 
Hatimae baada ya TPO(Tanzania Poters Organisation)kuendesha mkakati wa kupigania poters Kilimanjaro waliokuwa wananyanyaswa na kampuni ya Asante Tours sasa mmililiki wa kampuni hiyo ameanza kuwatisha wafanyakazi hao na juzi amemteka mmoja na kumjeruhi vibaya na tayari jalada lipo polisi.
Na imethibitika kuwa mmiliki huyo anashirikiana na Naibu waziri wa maliasili na Utalii ambaye amenunua share kwenye kampuni hiyo.
Tunaiomba serikali kuingilia kati suala hili

Nikupe namba ya wanatindikali?
 
Kama Sijakosea miaka ya nyuma kaka yake na huyu jamaa Alifia pale stela point Ndani ya hifadhi ya mlima Kilimanjaro alikuwa anakaribia uhuru peak ndio mauti yakamkuta kifo chake kilisababishwa na sala za porters aliowarusha mshahara go to hell.
 
Back
Top Bottom