Mwigulu nchemba:hatolewa tuki na makamanda wa chadema usiku huu kalolen akiwa amevaa vazi la kimasai

malcom2

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
301
67
Habari za kuhaminika nchemba nusura hale kibano mitaa ya mviringo bar kaloleni,
akipita kwenye nyumba za watu yeye na wasira kuomba kura kitu ambacho ni kinyume na taratibu za tume.
Polisi ndio wamekuja kumsaidia baada ya kupiga simu ya kuomba msaada,
niko eneo la tukio vijana wa chadema si mchezo wako tayari kufa kuliko kuibiwa kura,pamoja na polisi kuja nilifikiri watakimbia ndo kwanza wamekomaa ile mbaya kweli makamanda wa arusha si mchezo.
 
Mwigulu Nchemba ni kama kibaka, angalieni nyie watu wa kaloleni, asije kuwa anavizia wake za makada wa ccm.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wangefyeka korodani zake! Na mzee wa zoo yuko huko?
 
Habari za kuhaminika nchemba nusura hale kibano mitaa ya mviringo bar kaloleni,
akipita kwenye nyumba za watu yeye na wasira kuomba kura kitu ambacho ni kinyume na taratibu za tume.
Polisi ndio wamekuja kumsaidia baada ya kupiga simu ya kuomba msaada,
niko eneo la tukio vijana wa chadema si mchezo wako tayari kufa kuliko kuibiwa kura,pamoja na polisi kuja nilifikiri watakimbia ndo kwanza wamekomaa ile mbaya kweli makamanda wa arusha si mchezo.

Si amewaambia waandishi wa habari kwamba ccm itashinda? Sasa usiku huu wanafanya nini nyumbani kwa watu kama bundi?
 
Yani wangemteka wamgeuze binti ingekua poa sana maana anakiraknga ile mbaya anafikiria arusha ni iramba
 
Mwigulu Nchemba ni kama kibaka, angalieni nyie watu wa kaloleni, asije kuwa anavizia wake za makada wa ccm.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha! !!
 
Mwigulu Nchemba ni kama kibaka, angalieni nyie watu wa kaloleni, asije kuwa anavizia wake za makada wa ccm.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
kwema mkuu.
leo nimekuona umetupia white ulikua jirani yangu somewhere.
 
Habari za kuhaminika nchemba nusura hale kibano mitaa ya mviringo bar kaloleni,
akipita kwenye nyumba za watu yeye na wasira kuomba kura kitu ambacho ni kinyume na taratibu za tume.
Polisi ndio wamekuja kumsaidia baada ya kupiga simu ya kuomba msaada,
niko eneo la tukio vijana wa chadema si mchezo wako tayari kufa kuliko kuibiwa kura,pamoja na polisi kuja nilifikiri watakimbia ndo kwanza wamekomaa ile mbaya kweli makamanda wa arusha si mchezo.

Picha?
 
.....Dadadek huyu na wanayemtuma ....hawajuwi kwamba
CHADEMA ARUSHA NI ZAIDI YA OKSIJENI?
 
wangefyeka korodani zake! Na mzee wa zoo yuko huko?

mtu mzima mpaka kuomba msamaha siasa sio uhasama uko ameshikilia bastola yake makamanda wanasema piga tukuulia hapa yani ilikua movie ya ukweli
 
Hivi kwa nini Mwingulu anavuruga hivi nchi na vyombo vya usalama vinamuona kama yeye ndo Rais wa nchi? Kwa nini Mwingulu kila kona katika nyanja ya uhalifu. Hivi kweli Polisi hawawezi hata kumzuia asifanye afanyayo! This is more than enough.
 
hivi kwa nini mwingulu anavuruga hivi nchi na vyombo vya usalama vinamuona kama yeye ndo rais wa nchi? Kwa nini mwingulu kila kona katika nyanja ya uhalifu. Hivi kweli polisi hawawezi hata kumzuia asifanye afanyayo! This is more than enough.

siku zake zinahesabika hapa duniani
 
Hivi kwa nini Mwingulu anavuruga hivi nchi na vyombo vya usalama vinamuona kama yeye ndo Rais wa nchi? Kwa nini Mwingulu kila kona katika nyanja ya uhalifu. Hivi kweli Polisi hawawezi hata kumzuia asifanye afanyayo! This is more than enough.

wamzuie kufanya nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom