Search results

  1. MdugeH

    Lowassa ashindwa kwendana na kasi ya Kinana Jimboni kwake

    Lowasa lowasa lowasa lowasa.. yaani kila uchwao hapa ni lowasa that, lowasa this. Mnatuchosha kama ni mchafu au hana afya tumuache jamani , kama amepangwa kuwa amiri jeshi mkuu atakuwa tuu no matter what, kama hajapangwa hata abebe matofali contena zima au alime mpunga hapa mpk kwa Zuma hatakuwa...
  2. MdugeH

    Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    Kaka hiyo takwimu umeiotoa wapi, lakini hata kama ndio hivyo he ni sahihi kumfuata muongofu ibilisi ati kisa kuna wengi wanaomuunga mkono?
  3. MdugeH

    Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    Kila nikilitafakari suala la aliyekuwa Mbunge nguli kijana toka Kigoma naishia kukumbuka kile kisa cha kiimani cha ibilisi kutupwa toka mbinguni mpk kuzimu. Ibili huyo aliyejulikana kama Lucifer hapo kabla alikuwa ni kiongozi mashuhuri ktk jeshi la kumlaki Mungu kule Mbinguni, alikuwa ni hodari...
  4. MdugeH

    Mkutano kujadili Mahakama ya Kadhi: Viongozi wa dini ya Kikristo watoka nje ya kikao

    Mimi ni mkristo ila nasikitika sana kuwa kuna mkristo kama wewe hapa duniani, inawezekana umeandika hivyo kwa kusudio maalumu, ushindwe kama shetani alivyoshindwa kumjaribu Mkombozi Wetu..!!
  5. MdugeH

    Rais kwenda kuzindua kituo cha Azam TV siyo sahihi

    Tusaidie kuelewa ndugu yetu usitutukane, biashara inaathirika vipi hapo? Otherwise kwa lugha yako tunaweza kuconclude kuwa wewe ni mke au mchepuko wa mleta uzi.
  6. MdugeH

    Kamati Kuu (CCM) yawaonya wataka urais

    Bwana / mama nyamemba jibu hoja ya mwanadiwani.
  7. MdugeH

    Picha za maafa ya mvua Kahama

    Pole sana kwa waathirika aiseh
  8. MdugeH

    Rais kwenda kuzindua kituo cha Azam TV siyo sahihi

    Kaka marehemu alikuwa ndugu yako nini?, lakini nafikiri ungelisaidia jeshi la polisi ktk hili. Tukiachana na hilo mleta mada hakutafakari kwa mapana, maana ya kussuport investment ni pamoja hata kutembelea investments hizo, sheria ya Fair Competition Act ya mwaka 2004 haimzui kiongozi...
  9. MdugeH

    Karibuni kwenye tathmini ya miaka 10 ya rais Jakaya Kikwete akiwa madarakani!

    Amefanikiwa katika miundombinu. Ni kipofu tuu ndio atabishia ukweli huu.
  10. MdugeH

    Mwl. Nyerere alisema kama mnampenda Kikwete kanyweni naye chai - Sasa tunayaona!!

    Naisikitikia nchi yangu, kwa kuwa thread hii imetaja udini basi na wachangiaji nao wamekaa kidinidini. Hatari tupu, Mwenyezi Mungu ainusuru nchi yetu.
  11. MdugeH

    Wassira amvaa Membe, ni baada ya Ofisi ya Membe kumdhalilisha

    Mbona Obama alipigwa picha akiangalia maeneo ya nyuma ya bibie mmoja... msimlaumu membe .. hapo wasira kazingua mwenyewe, mkutano Mkubwa kama huo eti mtu uje ugundue hukuvaa vizuri baada ya picha kupigwa.. tusimtafute mchawi tuangalie wapi Jamaa kajikwaa ajirekebishe.
  12. MdugeH

    Utafiti mpya: Lowassa aongoza tena mbio za urais

    Sijawahi kushuhudia utafiti ambao haukuwahi kupingwa. Kupingwa kwa utafiti haina maana wakati wote kuwa utafiti huo sio sahihi, lakini ni ishara tosha ya kutokusadifu matakwa ya upande fulani, iwe tafiti ni za kweli au si kweli, suala la kupingwa huwa palepale. Hata matokeo ya urais hupingwa...
  13. MdugeH

    Utafiti mpya: Lowassa aongoza tena mbio za urais

    Asipoangukia pua je??
  14. MdugeH

    Bora Umetangulia Nyerere Wangu Ungekua Hai Hata Wewe Makof Ungepigwa

    Kweli Taifa linaangapia, na hii ndio picha kamili. Ukiona vijana wanaguts za kuwatukana wazee, basi ujue nchi imeyumba, imeishiwa staha, hekma, heshima na busara. Ni hatari mno..
  15. MdugeH

    CCM tuunganishe nguvu pia

    Kwani utambilisho wa Chadema kwa sasa ni upi?.. Kitendo cha kuungana na vyama ilivyokuwa ikivipinga hapo awali huoni kama ni alama tosha ya kifo cha CDM kama ilivyotabiriwa na Ngumi nzito Wassira.. what is your identity now as a party other than UKAWA.?
  16. MdugeH

    CCM tuunganishe nguvu pia

    Kufuatia kitendo cha vyama vya upinzani chini ya mwamvuli wa UKAWA kuungana na kushirikiana pamoja na kutuhumiana huko nyuma kwa mf Mh Mbatia kutuhumiwa kutumika baada ya kuteuliwa na Rais kuwa mbunge wa viti maalum, Leo hii wanakula meza moja basi ni wakati wa Membe, Sitta, Mwakyembe, Magufuli...
  17. MdugeH

    Madai ya Nyerere Kumkataa Lowassa, ukweli na ushahidi huu hapa

    Facts should be dismissed with newly established facts, otherwise you have the right to remain silent.
  18. MdugeH

    Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

    Amesoma St. Marys International schools kuanzia 2003- 2006 baada ya hapo alikwenda kusoma India chuo. Si kweli kuwa ameishia standard 6.. acha upotoshaji, wengine ni classmates wake humu na huwezi kumuhukumu mtu kwa historia yake tuu.. ni raia halali na ana haki zote kuwa kiongozi pia kama...
  19. MdugeH

    Ferguson/Marekani, Siamini kama Ni ubaguzi

    Dhana ya ubaguzi inakuja baada ya kaangalia namna askari huyo alivyo act na kosa lilofanyika. Angemkamata tuu kwa Njia ambayo iko reasonable hoja ya ubaguzi isingekuwa na mashiko.
Back
Top Bottom