Utafiti mpya: Lowassa aongoza tena mbio za urais

To hate what you can not defeat is absolute foolishness.
Go to hell u bitch

New recruit from Lumumba................!! That's what they have been teaching you all these days. You must be ashamed of yourself ........... you Idiot!! You must be a bastard or an adopted son!! Ask your mother!!
 
Naumuunga mikono na miguu Lowassa....hii nchi inataka kiongozi wa aina ya Lowassa....!!!! NDIO PEKEE CCM KWA SASA ANAWEZA INUSURU...!!!
 
Namuunga mikono na miguu Lowassa....hii nchi inataka kiongozi wa aina ya Lowassa....!!!! NDIO PEKEE CCM KWA SASA ANAWEZA INUSURU...!!!
 
Utafiti wa Urais uliochapishwa na gazeti la Rai linalomilikiwa na Rostam Azizi unaoonesha Lowassa anaongoza kwa 52% akifuatiwa na Dr Slaa na January Makamba umetajwa kuwa ni kiinimacho na hadaa kwa watanzania, imebainika.

Utafiti huu uliokataliwa na wahariri wa magazeti karibu yote kuandikwa inasemekana inayokana mapungufu yafuatayo ambayo hayakupata majibu kutoka kwa waandaaji :-

1.Umeandaliwa na vijana was Lowassa wanaofanya kazi mtandaoni.

2.Kura ilikua haina ukomo, unaweza kupiga mara nyingi uwezavyo

3.Vijana wa Lowassa waliandaliwa utaratibu wa kupiga kura usiku na mchana ili tu mgombea wao aongoze kwa mbali sana.

4.Admin au muendeshaji wa kura hiyo alikua na mamlaka ya kuingia na kutazama na hata kudhibiti nani aendelee kuongoza na nani afuatie.

5.Dr Slaa ametengenezwa aonekane anafuatia nyuma ya Lowassa ili ionekane kuwa CCM isipomsimamisha Lowassa basi wapinzani watachukua nchi.

Baada ya waandishi na wahariri wote kukataa kuchapisha Utafiti huo wa hovyo wakihoji nani kauandaa na ulipimwa kwa vigezo gani vya kisayansi, ni gazeti la Rai pekee linalomilikiwa na Rostam Azizi, rafiki mkubwa wa Lowassa ndilo pekee limechapisha habari hiyo.
Lowassa ajajitekenya na kucheka mwenyewe.

Sijawahi kushuhudia utafiti ambao haukuwahi kupingwa. Kupingwa kwa utafiti haina maana wakati wote kuwa utafiti huo sio sahihi, lakini ni ishara tosha ya kutokusadifu matakwa ya upande fulani, iwe tafiti ni za kweli au si kweli, suala la kupingwa huwa palepale. Hata matokeo ya urais hupingwa sembuse maoni.
 
Nitaendelea kumpinga mpaka atakapopotea kwenye ulimwengu wa siasa Tanzania. Katuumiza sana Watanzania

Ina eleweka kuwa unatetea maslai yako kwa bwana wako Membe, huyu ndio katuumiza Professor feki wa kichina ni bingwa wa kuingia mikataba ya kihanisi, hata mtoto wa miaka 5 ana akili kuliko Professor wa kichina
 
hakuna zaidi ya Edward, labda kama ccm imechoka kutawala ndo itafikiria watu dhaifu kama membe na pinda otherwise Lowasa anatosha 2015
 
hao watkuwa ni uvccm...hawtofnikiwa kutuxhawixh ujnga...wameshahongwa
 
Tatizo la nchi hii ni rushwa kubwa na ndogo.Rais ajaye anahitajika mtu ambaye hana harufu au aliyewahi kushiriki rushwa,angalia Richmond,Tegeta ESCROW,naambiwa kwenye mradi wa bomba la gesi jamaa wameshavuta trillion 1.2.Kwa mantiki hiyo EL hafai kabisa.HUWEZI KUZIBA SHIMO LA PANYA KWA KUTUMIA MKATE WALA PUNJE ZA NAFAKA.Nyerere tutakukumbuka daima umetuachia siyo viongozi ni VIWAVI JESHI si motto wa mkulima wala EL hata 6 na Mtemi nao wanatusumbua wanakula bila kunawa.Baba Nyerere eti mpaka kijana wako KIMTI naye kachukua pesa za ESCROW
 
utafiti uliochapishwa kwenye gazeti LA RAI la leo unaonyesha mh. Edward Lowassa anaongoza akifuatiwa na Dk. Slaa.
10801679_307799472736924_2319033265139927521_n.jpg

Hahahaha kumbe Mzee Wa Monduli anambio hivyo. Sits asingekuwa Mzee angewashinda wote Hawa.
 
Kama ni Ikulu ya hapa Tz, naamini kuwa ni EL mpangaji wetu mpya. Kwa nini? Pesa aliochukua kwa Richmond peke yake, ana uwezo wa kumlipa kila Mtz shs 3.000.000/= kwa malipo tulio mlipa kwa siku moja tu. Alilipwa siku 180. Je akitaka kuingia ikulu kwa kuwapa malipo ya siku mbili kila mtanzania ana hasara gani??
Kama tuliambiwa tutakula nyasi, akisema sasa njooni mchukue vijisenti hivyo si kila mtu atampa kura?? Msinipige mawe jamani, nawaza tuu wala mi si team yake huyo fijisadi. Mola epusha mzigo huu usiiangukie nchi yangu Tanganyika, naipenda mpaka naiota lakini hao wenye meno wanaitafunaaaaa

Wewe kinachokusumbua ni ndoa yako kutetereka . Kama tulivyokubaliana nikirudi kutoka safari tutayamaliza. Nafikiri hili litakusaidia kutuliza mawazo na kuendelea vyema na shughuli zako za kila siku.
 
Tuambie maoni yako kwa mzinifu kuwa wa pili?

Ukisema mzinifu unamaanisha nini?
Kuzini ni nini?tumieni hata nywele chache kufikiri.
Tatizo mnatumika kama condom je hujui huyo unayemtetea anamaajabu mengi ?
Kuzaa na Waheshimiwa kadhaa ni nini na aishi nao?
Stop nonsense speak the reality.

Mmepafanya hapa kuwa genge la wachumia tumbo,hakuna tena mambo ya msingi.
 
El hawezi tena kuwa president wa nchi watu wengi wanamchukia sana na wapinzani wanasubiria tu ccm waseme mgombea wetu ni el aiseeee itakuwa wapinzani washachukua nchi kirahisi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom