Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,380
- 6,523
Dada yako
Wewe hujamuona dada yangu pale, Dr. Fenella!!!
Dada yako
Thats Bravo!!Kileo, hapana. Bakhera ame invest Tsh Bilion zaidi ya 53. Ataajiri watanzania wenzetu zaidi ya 100 na multiplier effect yake kwenye ajira na mambo mengine mtambuka ni zaidi ya tunavyofikiri.
Kwa investment ile ni sahihi kwa Rais kuzindua.
Tuache siasa kwenye ishu za uchumi wa nchi
Mpeni ukweli,Mkuu leo umekosea, chini ni Obama akiwa ametembelea Symbion power kampuni binafsi pia....
Henry Kilewo
Wewe ni mmoja wa viongozi wenye uwezo mdogo wa kufikiri ndani ya chadema! Thread ya kitoto sana..hii
Yani wewe umeangalia tuu kwenye jicho la biashara? Kama ange kwenda kuzindua TBC je?
Henry Kilewo
Wewe ni mmoja wa viongozi wenye uwezo mdogo wa kufikiri ndani ya chadema! Thread ya kitoto sana..hii
Yani wewe umeangalia tuu kwenye jicho la biashara? Kama ange kwenda kuzindua TBC je?
Lile jengola Haidery Plaza sio la kibiashara? Je, mmiliki wa lile jengo hana washindani kwenye similar business? Unafahamu alifungua neno lile jengo?Ni heri kuwa huru kifkra kuliko kushikiliwa akili... Tazama post yangu vizuri ujue nimezungumzia mazingira yapi, ama uniambie ni wapi duniani Rais ameweza kutenda hivyo.
Ingalikuwa ni taasisi isiyokuwa ya kibiashara yenye kusaidia wananchi alikuwa yupo sahihi but siyo hili la kibiashara. Mimi nimelichukulia kwenye mtazamo wa level zingine za kibiashara siyo hila na ghiliba.
Kitendo cha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwenda kufungua kituo cha television cha Azam ni kitendo kisichokuwa na usawa kwenye ushindani wa kibiashara.
Leo hii washindani wake wa kibiashara watajisikiaje? Mfano, ITV, Chanel Ten, Star Tv na hata Tbc1.
Tunataka maendeleo ila maendeleo yenye usawa.
Ni lini tumeona marais kama Amerika nk wakifanya vituko hivi?
Nchi yetu kuwa changa isifanye akili za viongozi wetu kuwa changa.
Najua nitashambuliwa sana kwa post yangu hii ila huo ndiyo ukweli wa kibiashara ulimwenguni kote.
Mpeni ukweli,
Nina wasiwasi
Siasa
Hulawiti mifumo ya kufikiri!!
Mwinyi akiwa Rais alizinduaa ITV
Wanaofikiria upside-down ndio hawatamuelewa mtoa mada ila yuko straightforward.
Rais hakupaswa kufanya hivyo haijalishi ni mara ngapi amefanya hivyo awali au kwa viongozi wengine waliofanya kama yeye hakufanyi kitendo hicho kuwa sawa.
Wengine ni chuki zenu na personal interests mnamshambulia mtoa mada ila you are clearly pathetic lunatic
Haidery Plaza ilizinduliwa na Mkapa... lile jengo ni la kibiashara na ana washindani wake kibiashara! Nani alikosa wapangaji kwa kuwa wapangaji wote walikimbilia Haidery Plaza kwavile tu jengo lilifunguliwa na rais?Sikuamini JF kuwa na vilaza namna hii. Thread inasema kwamba rais hakufanya vizuri kwa kuwa kibiashara sio fair. Sasa Obama kuzindua Symbion power kwani hao walikuwa na ushindani na nani? Kosa sio kuzindua taasisi binafsi, ila kwenye grounds za fairness kibiashara.
Sikuamini JF kuwa na vilaza namna hii. Thread inasema kwamba rais hakufanya vizuri kwa kuwa kibiashara sio fair. Sasa Obama kuzindua Symbion power kwani hao walikuwa na ushindani na nani? Kosa sio kuzindua taasisi binafsi, ila kwenye grounds za
fairness kibiashara.
Jk mwite hata kuja kufungua nyumba yako atakujaKitendo cha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwenda kufungua kituo cha television cha Azam ni kitendo kisichokuwa na usawa kwenye ushindani wa kibiashara.
Leo hii washindani wake wa kibiashara watajisikiaje? Mfano, ITV, Chanel Ten, Star Tv na hata Tbc1.
Tunataka maendeleo ila maendeleo yenye usawa.
Ni lini tumeona marais kama Amerika nk wakifanya vituko hivi?
Nchi yetu kuwa changa isifanye akili za viongozi wetu kuwa changa.
Najua nitashambuliwa sana kwa post yangu hii ila huo ndiyo ukweli wa kibiashara ulimwenguni kote.
Hivi ulikuwa na sababu za msingi za kufanya utukane watu? Hoja ya mleta mada ni kwamba atakuwa hajafanya fairness... fairness ipi? Watu wamempa baadhi ya miradi iliyowahi kuzinduliwa na rais kuonesha kwamba ni hoja isiyo na mashiko kwamba kufanya hivyo inakuwa haileti picha mzuri kwa washindani! Mleta mada pia eti huwezi kukuta kitu kama hicho kinafanyika duniani... kama sio uongo tuite nini! Tuangalie haya machache:Wanaofikiria upside-down ndio hawatamuelewa mtoa mada ila yuko straightforward.
Rais hakupaswa kufanya hivyo haijalishi ni mara ngapi amefanya hivyo awali au kwa viongozi wengine waliofanya kama yeye hakufanyi kitendo hicho kuwa sawa.
Wengine ni chuki zenu na personal interests mnamshambulia mtoa mada ila you are clearly pathetic lunatic
Na moja ya paragraph ya hiyo habari ni hii hapa:British Prime Minister Opens World's Largest Offshore Wind FarmLONDON -- British Prime Minister David Cameron yesterday (July 04, 2013) officially opened London Array, the worlds largest offshore wind farm.
Developed by Dong Energy, E.ON and Masdar, London Array is located off England in the outer Thames Estuary, 20 km from the coasts of Kent and Essex.
Sasa je, huo sio uzinduzi wa shughuli za kibiashara? Unataka kuniambia all over the UK hakuna kampuni zingine working on renewable energy sector? Habari nyingine inayoendana na habari hiyo hapo juu, moja ya paragraphs zake inasema:London Array is 50 percent owned by Danish energy company Dong, with Germanys E.ON holding 30 percent and Masdar from Abu Dhabi holding the final 20 percent. more: British Prime Minister Opens World's Largest Offshore Wind Farm
Hapo unapata picha gani na hayo madai yenu ya kwamba kufanya hivyo ni ku-create unfairness na uongo wa mleta mada kwamba hakuna popote duniani unaweza kukuta kitu kama hicho! Hivi unaweza kuitaja dunia bila kuitaja UK?Other massive projects (a total of 15 GW) are already in the pipeline, such as Teesside, Gwynt y Mor off the coast of North Wales and West Of Duddon Sands off the north west coast of England. More David Cameron Opens UK Wind Energy Farm | The Energy Collective
Mwisho kabisa wa habari hiyo kuna hii paragraph:British PM opens new JCB factory as company goes for growth
Prime Minister David Cameron today officially opened JCBs new $100 million factory in Brazil as the company strengthens its position in rapidly-expanding Latin American markets.
Mr Cameron, who is undertaking a trade mission to Brazil, spent an hour touring the 350,000 sq ft plant in Sorocaba City in São Paulo State. He was given an insight into the processes involved in the production of backhoe loaders, tracked excavators, wheel loading shovels, Loadall telescopic handlers and compaction equipment which the factory will manufacture.
Now tell me, unataka kuniambia Brazil mzima hakuna kiwanda kingine cha aina hiyo kutoka UK? What fairness mnayoizungumzia nyinyi?JCB is the worlds third largest construction equipment manufacturer by volume. A family-owned business based in Staffordshire, JCBs turnover in 2011 was £2.75bn and earnings were £355m on an EBITBA basis.
Haya, hoja yenu hasa ipo wapi?UK PM David Cameron Opens New McLaren Production Cente
Being one of Britain's most famous homegrown sports car manufacturers and motorsport brands, it's only fitting that UK Prime Minister, David Cameron, was invited to open McLaren's new production center.
UK PM David Cameron Opens New McLaren Production Center
Kileo, hapana. Bakhera ame invest Tsh Bilion zaidi ya 53. Ataajiri watanzania wenzetu zaidi ya 100 na multiplier effect yake kwenye ajira na mambo mengine mtambuka ni zaidi ya tunavyofikiri.
Kwa investment ile ni sahihi kwa Rais kuzindua.
Tuache siasa kwenye ishu za uchumi wa nchi