Hijja Madava
JF-Expert Member
- May 14, 2014
- 3,302
- 1,937
Yas kwa ccm ya leo na wewe ulivyokuwa huwez kunyamazia jambo la kijinga,wangalishakupiga baba yetu.usinge salimika kamwe,maana chama chako kimezidiwa kila idara sasa kinajilinda kwa majeshi mawili
1.jesh la polis
2.jesh la chama
hawako tayar kushindwa.sasa nlivyo kujua kila ukiona uozo ungeitisha pres comfrence dimond jublee,na kwenye mikutano ya nje najua hata wangeshindwa kukulipia tiket ya ndege kuja dar ungeita waandish huko butiama kwako uwaambie kua katiba hii ni ya wez wanaotaka kuendelea kuweka mafedha yao haram uswiz,ni ya waroho wa utawala na wasiotaka kuwajibishwa ndo mana wameondoa kipengele cha kuwajibishwa kwa mbunge mzembe,ndio wanaitwa kwenye dhifa za kitaifa wakizawadiwa wanazipeleka zawad makwao NAJUA USINGE NYAMAZA BABA WETU NA HILI LINGEKUFANYA UPINGWE.ila sijui ungevumila kama warioba au ungefanyaje
hoja imewasilishwa
sichoki kusema had hak ipatikane.