Search results

  1. C

    Land Rover Discovery 3 Vs Subaru Forester XS

    Wakuu nakuja humu kuomba wataalam kunipa ushauri Nina Subaru Forester XS 2.5 ya 2009 nataka kuiuza nihamie Land rover Discovery 3 ya 2005. Je wenye uzoefu wa Discovery 3 Hali ipoje Kwa spea, mafundi?
  2. C

    Recommended Engine Oil for Suzuki Grand Escudo 2.7

    Wakuu nimenunua Suzuki Grand Escudo, imetembea 140,000kms nataka kuifanyia service niweke Engine Oil ya Code Gani 10w-30, 5w-40, 5w-30?
  3. C

    Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

    Wakuu nataka kuagiza Gari SUV Japan. Katika kuperuzi nimeangukia katika Gari hizo 2 naombeni ushauri wenu Isuzu Bighorn (Diesel 3000cc) vs SUZUKI GRAND ESCUDO (Petrol 2730cc). Nichukue ipi? Ukizingatia barabara off-road na spea Tanzania. Mafuta usihofu nayamudu
  4. C

    Nataka nisome PhD nchini

    Wakuu mimi nilisoma BSc. Geology, kisha MBA sasa nataka nianze PhD katika kuweka CV vizuri, naomba msaada niaweza kupata wapi PhD in Geology?
  5. C

    Nimeweka Engine Oil 20w-50 X-trail NT30 (2003) nipo sawa?

    Wakuu salama? Nimeweka Engine Oil 20W-50 kwenye X-trail niliyonujua majuzi nipo sawa? Ama nimeingia cha kike? mileage: 41,000kms
  6. C

    Benki gani ipo faster kutuma TT Japan?

    Wakuu Ni benki gani nchini ambayo naweza kutuma TT Japan ili ninunue gari huko? SI mnajua Tena Mambo ya OFFER unapewa muda maalumu uwe umeshalipia.
  7. C

    FNB Bank mbona mnafunga Branches kwa kasi hivi!

    Mimi ni mteja wa Benki tajwa kwa takribani miaka minne. Nimestuka kwa miezi 3 iliyopita mmefunga matawi kadhaa jijini. Tuwaeleweje? Mbona mnaleta taharuki? Tutoe senti zetu humo? Niliwekeza kwenye akaunt maalum angalau Disemba 2019 nijipongeze kwa Alphard za Offa toka befoward! Lakin...
  8. C

    USHAURI: Naweza kufunga Engine ya 1G kwenye Nissan Fuga??

    Wadau nilinunua Nissan Fuga kwa mtu Dar ila imeanza kuzingua mis za kutosha na inabugia mafuta kama jini. Mafundi wengi wanabahatisha kwa hii gari nawaza nibadilishe engine nifunge 1G-FE msaada kwa wajuzi
  9. C

    Faini za Trafiki bila elimu tutaendelea na ajali mpaka kiama

    Faini zimetamalaki kuanzia NEMC, TRA na Trafiki, wacha leo nizungumzie za Trafiki kila kosa 30,000/= ukishatozwa (maana yake ni ruksa kuendelea na kosa ulilotozwa faini, hakuna namna ya kurekebisha kosa zaidi ya Faini? ikiwemo kupunguzwa points za kwenye leseni? JELA? KUFANYA KAZI ZA JAMII...
  10. C

    Career counselling for fresh graduates

    Greetings! Are you fresh graduate from higher education institution? Are you looking for a job or self-employment? We, academics based in Dar es Salaam, would like to help you with CAREER TIPS AFTER GRADUATION (CV Writing, Interview Preparation & Entrepreneurship skills). *If you are interested...
  11. C

    Kubana matumizi Serikalini vs shilingi kutoimarika

    Awamu ya 5 imejipambanua kwa kubana matumizi na kuzuia safari za nje ya nchi kwa watumishi wa serikali (umma) kwa mawazo yangu nilifikiri kuwa Tsh. itaimarika dhidi ya USD kutokana na serikali kutumia pesa mingi kwenye safari hizo za watumishi wa umma nje ya nchi (ununuzi wa tikiti za ndege, Per...
  12. C

    Nyumba na Kiwanja vinauzwa, Mabibo Dar es Salaam

    Nyumba ya Kuishi pamoja na Kiwanja vinauzwa kwa pamoja (HATI na documents zote muhimu zipo) KATA: MABIBO MTAA: MATOKEO MANISPAA: KINONDONI, DAR ES SALAAM ENEO (MITA MRABA): 837 Bei ni 250 milioni (Nyumba ina umeme na ipo karibu na Barabara ya Lami) MAWASILIANO: 0712 212299
  13. C

    Traffic Dar ni mwendo wa faini tu

    Yaani kwa Dar ukibambwa na trafiki umefanya kosa usidhani eti mtaongea umpe 2,000/= hakuna kama hilo ni mwendo wa faini ya 30,000/= kwa kila kosa. Mi walinibamba mitaa ya Kawawa Road/karibu na wizara ya maliasili wakanitwanga 90,000/= kwa makosa 3. mijamaa haichek na mtu ni faini ukijidai...
  14. C

    Je unahitaji ushauri kuhusu suala la kielimu?

    Je wewe ni mwanafunzi wa level yoyote (Sekondari, Chuo n.k) na unahitaji ushauri kuhusu Combination/course gani ya kuchukua/kusomea/ chuo gani cha kusoma ndani na nje ya nchi? usisite wasiliana name kwa PM na nitakusaidia bila gharama yoyote. PAMOJA TUNAWEZA
  15. C

    Cheap air ticket dar/nairobi-islamabad, pakistan

    wadau yoyote mwenye kujua wapi naweza kupata cheap air ticket kutokea Dar au Nairobi kwenda ISLAMABAD, PAKISTAN,mwezi March, 2014. Ninakwenda kwa ajili ya mafunzo ya muda mfupi.
  16. C

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2008 mwezi Juni nilikuwa naenda kikazi Lusaka, Zambia basi sijui hili wala lile kwenye tiketi iliandikwa saa ya ndege kuondoka saa 12 asubuhi (ndege ndo inapaa) mimi nikajipa kama dakika 20 kutoka home Tabata mpaka Airport, nikidhani ni kama Mabasi ya Mkoani pale Ubungo...
  17. C

    Nahitaji kufungua akaunti ya US Dollar benki za Tanzania

    Wasaalam WanaJF Mimi ni mfanyabiashara za hapa na pale sasa katika transaction zangu uwa Napata vidola (USD) asa nahitaji kutafuta sehemu ya kuhifadhi. Mwenye kujua utaratibu huwa unakuaje anijuze tafadhali (viambatanisho na benki gani ni nzuri kufungua hiyo akaunti. Natanguliza shukrani.
  18. C

    Unahitaji taxi ukiwa johannesburg, South Africa? (Huduma masaa 24)

    Wadau wa JF Je unatarajia usafir kwenda Johannesburg iku za hivi karibuni na utahitaji Taxi (Usafiri), tuna magari ya kubeba abiria kuanzia 3 mpaka 32.Ofisi zetuzpo OR Tambo International Airport, Johannesburg. Masaa 24 kwenda popote pale South Africa. Kwa Mawasiliano tupigie +27728892760...
  19. C

    Kilimo kwanza iliishaje mpaka ije Matokeo makubwa sasa?

    Salamu wanaJF. Hhivi karibuni kumeibuka mpango wa serikali wa MATOKEO MAKUBWA SASA (BIG RESULT NOW) swali langu hivi serikali huwa inafanyaga tathmini ya mipango yake kweli hapa kati tena kiliundwa kitengo cha PRESIDENTIAL DELIVERY UNIT/BUREAU. Hivi kweli hivi vitengo vina ulazima mbona...
  20. C

    TOYOTA CARINA Ti 1490cc INAUZWA (Milioni 9 Tsh.)

    Salaam Wadau Toyota Carina Ti 1490cc, rangi nyeupe ya mwaka 1999 inauzwa ipo Dar (Nimeambatanisha na picha) kwa maelezo zaidi piga namba 0787627437 au 0769096861.
Back
Top Bottom