Search results

  1. doup

    Tuwaache abiria wa daladala washuke kabla ya sisi kupanda

    Nani alitufikisha hapa? Namkumbuka miaka hiyo ya UDA, huu ndio ulikuwa utaratibu, mnapanda Kwa foreni, with exceptional Kwa wazee na wagonjwa. wahuni sijui walitoka wapi nchi hii mambo yakaenda kombo.
  2. doup

    UN: Kombora la balestiki la Korea Kaskazini limetumika kushambulia mji wa Kharkiv, Ukraine

    Kila Siku tujilaumu wafrika wajinga, lakini Hawa jamaa ni wanafki kweli kweli tena wanaunafki uliotukuka. Yaani wao ndio wanaona wanahaki yakukupangia hadi siraha ya kumpiga adui yako. Siungi mkono vita vya Ukraine, lakini sioni sababu ya kupangia watu nini na wapi watapata siraha. Wakomae tu...
  3. doup

    SoC04 Teknolojia ya upigaji kura kwa kutumia namba ya NIDA

    Hapa Kwetu kuna chama kishapita kuolozesha majina na namba ya nida. Kupitia mabalozi. Pia nawapongeza Kwa sababu wanakushawishi kuingia kundini. Vyama vingine sijawahi Hata kuwaona. Kwa nchi ya maagizo kutoka juu kama hii ambayo haiheshimu taratibu, isipokuwa tu pale zikiwa zinawapa favor watu...
  4. doup

    Maajabu ya Zanzibar, hawalimi, hawafugi lakini wanakula wanashiba

    Kweli kilimo si UTI wa mgongo, sema kinasaidia kumpunguza ghalama na utegemezi. Kama juzi tulivyosikia Putin analipua ghala za ngano uko Ukraine, mpaka Dunia ikapiga magoti. Kama unamihogo shambani unatoa unakula, huku unasubiri waendekee kupigana. Kwa Sasa Hata kama unapesa chakula nje ni...
  5. doup

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Kuna ndugu yangu alinisimulia kisa cha Rwanda alikuwa huko baada tu ya kumaliza form 4 Uganda. Ilibidi atoroshwe kwenye land Rover ya UN cafunukwa na magunia ya mkaa, unaambiwa walikuwa wanashindia kiazi ulaya/mviringo kimoja tu. Kuelekea mpakani ktk kizuizi keep Moja issue ya njemba pia kwake...
  6. doup

    Je, supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya Mbagala ina usalama kiafya?

    Sirikali Haina budi kutupia macho hili swala, Hawa ndio wanasababisha bidhaa za ngozi kuwa hadimu na ghali. Huko Serengeti na Mikumi Simba akiua ngozi hagusi anawaachia wazembe Fisi maji.
  7. doup

    Utafiti Mpya: Wanaume wanaopenda kufanya Mazoezi wanawaridhisha zaidi Wapenzi wao kuliko wale ambao wako wako na hawana Ratiba yoyote ile

    Limenikuta hili wakati wa mapunziko ya kuchanganya mchanga wa Tanganyika na Zenji. Ilibidi nizingizie ni stress za kutafuta ada za watoto. Lakini tatizo ni la kwenye mada, baada ya kukaa kizembe Kwa takribani miezi 3. Ubarikiwe sana kutukumbusha
  8. doup

    Rais Museveni aondoa zuio la kuuza madini baada ya kuomba na Euro. Ataka muwekezaji ayaongeze thamani yakiwa Uganda. Ama sivyo wasubiri akifa

    Watz wanaweza kukubalia waking maanisha wamekataa, ukaweka matumaini yote mwisho ukaangukia pia
  9. doup

    Uliwahi kumchapa mkeo makofi, mlichukua siku ngapi kurudi kwenye normal life?

    Geuza tatizo liwe lake, endelea mtuma HG tu mwenyewe atarudi kwenye reli. Labda kama ulimuonea lakini kama katamka maneno ya kuudhi na yasiyo vumilika uko sahihi kumkumbusha nani ni father of the house.
  10. doup

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Yaani una vitu vya kuhamisha na kirikuu ndio unachukuwa mke wa mtu. Pia uliposema tu unatumua card ya Mme mwenzio nikajua hunakitu Kwa hii tu unaweza pewa kesi picha zako ziko kwenye ATM ulizotoa pesa. Kwa Sasa hama mji kabisa, badili na number otherwise ni swala la muda tu, na huyo manzi...
  11. doup

    Lori lililobeba mafuta limepinduka Kibaha, wananchi wachota mafuta bila woga

    Nani wa kuchomoa betri? Hawa wanataka kuitukanisha serikali tu. Kwa ujinga wao.
  12. doup

    Nimelia sana usiku wa leo, nipo katika kipindi kigumu sana cha maisha

    Mbona hii stori IPO kwenye Ile generated AI katuni ??!!! Dogo anaonekana kumaliza shule yupo bush nyumba duni, mother na wadogo zake kadhaa wamemzunguka.
  13. doup

    TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

    Hapo unaweza Kuta Lori tahadhali yake ni majani ya miti ndio reflector yake. Usiku huu unakuwa mtego wa panya. Watu wapewe tenda ya road rescue Kwa vipande yaani wawe kama fisinwa dar dakika tu gari imekwama wanakuja kukutoa Kwa nguvu.
  14. doup

    Dunia iliishia 1999

    Jamaa naona anaanda script lake la blockbuster move🎬 itakalo kuja kumsumbua huko mbeleni miaka kama 10,000 ijayo🤣. Nasisitiza ana hoja🎯 msimshangae kama wadudu og wakimkaribisha Mh. Makonda.
  15. doup

    Tunaipokea treni ya mchongoko kwa shingo upande, ni kama ile ya zamani imechongwa kimchongo

    Nilijua tu usimba na uyanga utatawala hapa, team kusifu vs team kuponda, team mchongoko vs team ordinary
  16. doup

    Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

    Mbona unajiita "RiskTaker", kupitia Uzi wako nakuona ni "Risk-Averser". Hao wa SA achungu ya ubaguzi bado yako ndani. Ni mifumo yao ya uchumi inawaganya wengi kuwa vibarua tu. Bongo kila mtu anaweza kuanzisha duka mbele ya Baraza lake au kuweka Banda sehemu ya wazi Hata mbele ya ikuku. Jibu...
  17. doup

    Madereva wa Mwendokasi hawana nidhamu

    Acha wale vichwa tu, madereva boda wajinga sana wanaingia njia mwendo kasi bila tahadhali unategemea nini. Ndio wamesabisha mji mzima umejaa matuta ya viazi barabarani, zebra 🦓 haziheshimiwi kabisa unakuta watoto wa shule wanavuka mtu anakuja na hapunguzi mwendo hata kidogo, tena hapo...
  18. doup

    Mabadiliko ya sheria ya mafao ya retirement benefits act, (cap. 225)

    Kama tunakutunza mpaka Siku unakufa unataka tukulipe nini tena. Mpaka chupi walipa Kodi tutanunua unataka nini tena. Kama si urafi na ujizi wa kisheria ni nini zaidi.
Back
Top Bottom