Madereva wa Mwendokasi hawana nidhamu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
52,210
23,796
Nimeonaaaa hiiiii itv

Mbunge wa ilala amesema pamoja na piklpik kuvunja sheria kwa kuingia barabara ya Mwendokasi.

Badoo madereva hawa hawana nidhamu barabarani

Amesemaaa kuna wakati unaonaa gari inavyokimbizwa unawazaa ndani kabeba watu ama mbuzi.

Hakuishia hapoo akaombaa wafundishwe ubinadamu...

Kuondoa uhai wa mtu kisa amekosea sheria si uungwana

Zipo njia na adhabu za kuwaadhibu wavunja sheria wa mwendo kasi.

Lakini unapoona una uwezo wa kuokoaa maisha ya mwenzioo vyema ukafanya hivyoooo. .....

Mungu awape mda wa kusikia tena hekima yakooo mh mbunge.

Wanaua watu kama waoo hawafiiii..Hawajuii adhabu ya milele inayokuja juu yaoo
 
kasema kweli kwanza haya magari yawekewe gavana haiwezekani mjini yaende apidi zaidi ya 40KMs! express linafika hadi 80Kms huku ni kujipanga kuua watu tu!
ni express man.....kwa uzoefu wangu wa barabarani japo sina gari, kwa hapa Dar hakuna gari ya kutembea 80Kph HAKUNA, sana sana labda usiku tena sijui barabara gani aisee na yale matuta hakuna mkuu
 
Ule mwendo hata mtembea mguu ukikaa vibaya unapitiwa
 
Mimi napanda haya mabasi na nilishaandika humu kipande cha kuanzia Faya mpaka Kivukoni spidi isizidi 35km/h. Ni uwendawazimu kuendesha basi kama uko highway ukielekea Chalinze huko kutafuta Morogoro.

Hawa madereva hawana uendeshaji wa kujihami hasa kwenye hii Barbara yenye makutano bubu (makutano yasiyokupa uwezo wa kuona upande wa pili) .

Napendekeza Uongozi wa uDARTuwawekee masharti , dereva atakayegonga kwa kuendesha kwa spidi iliyopitiliza na afukuzwe Kazi hasa kwa kipande cha Kivukoni mpaka Faya. Watu kufa imetosha Sasa.
 
Mimi napanda haya mabasi na nilishaandika humu kipande cha kuanzia Faya mpaka Kivukoni spidi isizidi 35km/h. Ni uwendawazimu kuendesha basi kama uko highway ukielekea Chalinze huko kutafuta Morogoro...
Nahisiii wanakulaga msubaaa sioo kawaidaa
 
Wananchii wameomba kuchangishwa waweke taa barabaran...KUNA mmoja nilimwelewaa sana kaombaa trafficklyt za kutosha wataendesha kwa adabu
 
Acha wale vichwa tu, madereva boda wajinga sana wanaingia njia mwendo kasi bila tahadhali unategemea nini. Ndio wamesabisha mji mzima umejaa matuta ya viazi barabarani, zebra 🦓 haziheshimiwi kabisa unakuta watoto wa shule wanavuka mtu anakuja na hapunguzi mwendo hata kidogo, tena hapo umemuwashia hazard na kupunga mkono.

Yaani utafikiri hawana watoto au wadogo zao. Nasema mwendo kasi endeleeni kutoa onyo hivyo hivyo hadi akili ikae sawa. Nasikitika wanaponza wateja wao tu, abiria ukipona boda ana mapepe mzabe kibao apunguze mwendo na aendeshe Kistaarabu.
 
Kuuua mtu unahitaji smart gin ana kvantt za MAANA kichwani
 
Mabasi ya mwendokasi hayatakiwi kwenda kasi then yaitwe mabasi ya jiji tu tujue moja.
 
Back
Top Bottom