Nimelia sana usiku wa leo, nipo katika kipindi kigumu sana cha maisha

Mimi ni Kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 24(Leo ni kumbukizi yangu ya kuzaliwa), pia ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu Bachelor of Science with Education moja ya chuo kikubwa hapa jijini.

Kielimu mimi ni mtu pekee hadi sasa katika ukoo wa baba na mama kufika chuo kikuu, wote kwenye ukoo wa baba na mama walio soma sana wameishia kidato cha nne tena wameambulia four na sifuri.

Wakuu, naandika haya nikiwa na machungu, huzuni na hisia za maumivu makali sana moyoni na akilini mwangu, hasa napotazama familia na yotokea na hali ya uchumi wa familia yangu.

Sina tumaini tena la Maisha, kwa umri wangu huu madogo nimeyaoana maisha ya dhiki na shuruba za Kila namna, nimefanya kazi mbalimbali licha ya kuwa bado na soma Lakini neema ya mafanikio imekataa kabisa kuja upande wangu.

Hapa nilipo natamani japo, nifanye mpango ni ende Africa ya kusini japo kwa kufoji ili nikajaribu bahati yangu, huenda ipo huko, lakini moyo unakata kabisa kufanya maamuzi haya.

Wazazi wangu, siwezi kuwalaumu kwani mimi mwenyewe ni Shahidi wamepambana sana lakini neema na bahati ya mafanikio haijawa upande wao, baba yangu kajaribu Kila aina ya kazi lakini wapi, vilevile mama yangu kafanya bidii sana lakini mambo mabaya.

Nimesoma shule ya msingi hadi advance na badae chuo kikuu, nimesoma kwa tabu sana miaka yangu hiyo, hii ni kutokana na hali ya uchumi wa familia yangu.

Nawaza sana,mwezi mwaka huu namaliza masomo yangu, je kipi kitatokea, wadogo zangu watano Wana- nitazama kaka yao wakiwa na matumaini makubwa sana ndani yao juu Yangu

Stress zinataka kuni maliza, nipo scared sana wakuu
Dogo unavuta bangi?
 
ndugu kwenye maisha magumu sio peke yako asilimia kubwa we share same difficult muhimu maliza chuo,ukishatoka hapo tafuta kazi huku umajichanhganya na labda nikusaidie watu wengi ni madalali chagua wewe urais wako unataka kuwa dalali wa nyumba,magari au kitu gani then zama mtandaoni utakuja kunishukuru anza sasahvi kuwatafutia first year makazi.

utazoea japo mwanzo mgumu unaweza pita kila nyuma ukaulizia kama kuna vyumba vya kupanga.
 
haina kusanda masta kuna miamba iko na majanga kama yako plus maugonjwa juu ila inakaza
 
Na bado ndio Kwanza unaingia mtaani ,utaona Kila Rangi ,huku mtaani Ni kukaza kweli kweli ,akileta stori za kulilia Hakuna MTU anayejali ....
 
Mimi ni Kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 24(Leo ni kumbukizi yangu ya kuzaliwa), pia ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu Bachelor of Science with Education moja ya chuo kikubwa hapa jijini.

Kielimu mimi ni mtu pekee hadi sasa katika ukoo wa baba na mama kufika chuo kikuu, wote kwenye ukoo wa baba na mama walio soma sana wameishia kidato cha nne tena wameambulia four na sifuri.

Wakuu, naandika haya nikiwa na machungu, huzuni na hisia za maumivu makali sana moyoni na akilini mwangu, hasa napotazama familia na yotokea na hali ya uchumi wa familia yangu.

Sina tumaini tena la Maisha, kwa umri wangu huu madogo nimeyaoana maisha ya dhiki na shuruba za Kila namna, nimefanya kazi mbalimbali licha ya kuwa bado na soma Lakini neema ya mafanikio imekataa kabisa kuja upande wangu.

Hapa nilipo natamani japo, nifanye mpango ni ende Africa ya kusini japo kwa kufoji ili nikajaribu bahati yangu, huenda ipo huko, lakini moyo unakata kabisa kufanya maamuzi haya.

Wazazi wangu, siwezi kuwalaumu kwani mimi mwenyewe ni Shahidi wamepambana sana lakini neema na bahati ya mafanikio haijawa upande wao, baba yangu kajaribu Kila aina ya kazi lakini wapi, vilevile mama yangu kafanya bidii sana lakini mambo mabaya.

Nimesoma shule ya msingi hadi advance na badae chuo kikuu, nimesoma kwa tabu sana miaka yangu hiyo, hii ni kutokana na hali ya uchumi wa familia yangu.

Nawaza sana,mwezi mwaka huu namaliza masomo yangu, je kipi kitatokea, wadogo zangu watano Wana- nitazama kaka yao wakiwa na matumaini makubwa sana ndani yao juu Yangu

Stress zinataka kuni maliza, nipo scared sana wakuu
Mtoto wa kiume kulia lia sio solution, amka pambana kapigane vita vya kimaisha ukiwa imara, hata hiyo elimu ya ualimu unayosomea haitakusaidia kitu, ingia mtaan kapambane sana, katafute hela, kulia lia maisha magumu sio michongo, maisha ni magumu kabla hata hujazaliwa wewe, life has never been easier my bro, sikusimangi sikukosoi, wala sikukejeli, ila nakumotivate u-transform akili yako kutoka kuwa mlalamishi na kuwa mpambanaji.

Maisha ni magumu kote utakapoenda, tena huko Sauzi ndo noma utapigwa chuma mapema sana ukose hata muda wakulalamika milele. Maisha hayawezi kuwa mepesi kwa kudeka na kulialia ivyo, na usipo kaza wahuni watakukaza na maisha yatakuchakaza.

Jifunze ufundi wowote kwenye decoration za nyumba, plasta, finishings, interior designs na ufundi hata wa magari, post kazi zako instagram, zi boost zionekane, utapata clients, utakuwa bize kufanya kazi, utapata hela, utaacha kudekadeka, na kulia maisha magumu, ukiwa na spirit ya kulia hata ukipata laki, utalia laki haikutoshi maisha magumu, jipe hasira ya maisha na jifunze kwa waliofanikiwa. Usiwachukie waliofanikiwa.

Kuzaliwa mwanaume ni bahati sana man, maana ake ulipambana sana kuwashinda mbio wenzako ukafanikiwa na mimba yako ikatungwa ukazaliwa wewe, Man amka acha kulia pambana hii dunia sio nyepesi, inahitaji wanaume wakakamavu na wakomavu ili kuleta kizazi kikomavu zaidi.
 
Mbona hii stori IPO kwenye Ile generated AI katuni ??!!! Dogo anaonekana kumaliza shule yupo bush nyumba duni, mother na wadogo zake kadhaa wamemzunguka.
 
Nawaza sana,mwezi mwaka huu namaliza masomo yangu, je kipi kitatokea, wadogo zangu watano Wana- nitazama kaka yao wakiwa na matumaini makubwa sana ndani yao juu Yangu
Jikaze dogo utatoboa tu kwa Neema ya Mungu.

Sote tumepita humo humo tulikuwa hatuoni Mwanga Mbele wala Nyuma
 
Ni kweli hali n ngumu hakuna ajira mpk watu waliofika chuo icho ndo kinaumiza ujue n bora mtu umalize la saba unaingia mtaan kwa nguvu zote kuliko ushapiga degree uingie mtaani unaanza kila kitu unaonewa
Kwakweli inatia simanzi.....unamaliza Kozi ambayo wenzako wana miaka mitatu hadi minne mitaani hakuna ajira.
 
Mimi ni Kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 24(Leo ni kumbukizi yangu ya kuzaliwa), pia ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu Bachelor of Science with Education moja ya chuo kikubwa hapa jijini.

Kielimu mimi ni mtu pekee hadi sasa katika ukoo wa baba na mama kufika chuo kikuu, wote kwenye ukoo wa baba na mama walio soma sana wameishia kidato cha nne tena wameambulia four na sifuri.

Wakuu, naandika haya nikiwa na machungu, huzuni na hisia za maumivu makali sana moyoni na akilini mwangu, hasa napotazama familia na yotokea na hali ya uchumi wa familia yangu.

Sina tumaini tena la Maisha, kwa umri wangu huu madogo nimeyaoana maisha ya dhiki na shuruba za Kila namna, nimefanya kazi mbalimbali licha ya kuwa bado na soma Lakini neema ya mafanikio imekataa kabisa kuja upande wangu.

Hapa nilipo natamani japo, nifanye mpango ni ende Africa ya kusini japo kwa kufoji ili nikajaribu bahati yangu, huenda ipo huko, lakini moyo unakata kabisa kufanya maamuzi haya.

Wazazi wangu, siwezi kuwalaumu kwani mimi mwenyewe ni Shahidi wamepambana sana lakini neema na bahati ya mafanikio haijawa upande wao, baba yangu kajaribu Kila aina ya kazi lakini wapi, vilevile mama yangu kafanya bidii sana lakini mambo mabaya.

Nimesoma shule ya msingi hadi advance na badae chuo kikuu, nimesoma kwa tabu sana miaka yangu hiyo, hii ni kutokana na hali ya uchumi wa familia yangu.

Nawaza sana,mwezi mwaka huu namaliza masomo yangu, je kipi kitatokea, wadogo zangu watano Wana- nitazama kaka yao wakiwa na matumaini makubwa sana ndani yao juu Yangu

Stress zinataka kuni maliza, nipo scared sana wakuu
Maisha ni mapambano tena wewe unabahati ya kuendelea na masomo jifunze kumshukuru Mungu kwa kila jambo, remember there is no shortcut in life
 
Kwa mawazo haya tayari ushaingia kwenye cirle ya umaskini. Sahau kuhusu Degree yako, usitangulizenusomi wako, Vua joho la aibu kata mzizi wa kutothubutu.
Anza sasa, jifunze skills mbalimbali; Anza kujifunza kunyoa barbershop kazi zake zipooo, Anza kujifunza udereva hapa utaenda kwa matajiri akupe Bajaj piga Kimara Mwenge ukeshe nayo life litaenda, jifunze kuchonga funguo, kuna Mitumba pale Ilala, we ushawahi kupiga uchinga wa nguo na Viatu???
Dogo mishe za Kigumu zipo kibao kwa msomi ndugu yangu usiogope utatoboa kikubwa epuka kutaka kuwa IMF wa ukooo. Tengeneza base yako haswaaa ya kiuchumi siyo ukipata senti 5 upeleke Kijijini uonekane Don kataa chain ya umaskini
 
Ucha uoga wa maisha wewe..Una-phobia tu - Yaani unalia kwa matatizo ambayo hayapo na unahisi yatakuja na huyajui..??
Kijana hizo elimu zinawasaidia kweli??
 
Mimi ni Kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 24(Leo ni kumbukizi yangu ya kuzaliwa), pia ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu Bachelor of Science with Education moja ya chuo kikubwa hapa jijini.

Kielimu mimi ni mtu pekee hadi sasa katika ukoo wa baba na mama kufika chuo kikuu, wote kwenye ukoo wa baba na mama walio soma sana wameishia kidato cha nne tena wameambulia four na sifuri.

Wakuu, naandika haya nikiwa na machungu, huzuni na hisia za maumivu makali sana moyoni na akilini mwangu, hasa napotazama familia na yotokea na hali ya uchumi wa familia yangu.

Sina tumaini tena la Maisha, kwa umri wangu huu madogo nimeyaoana maisha ya dhiki na shuruba za Kila namna, nimefanya kazi mbalimbali licha ya kuwa bado na soma Lakini neema ya mafanikio imekataa kabisa kuja upande wangu.

Hapa nilipo natamani japo, nifanye mpango ni ende Africa ya kusini japo kwa kufoji ili nikajaribu bahati yangu, huenda ipo huko, lakini moyo unakata kabisa kufanya maamuzi haya.

Wazazi wangu, siwezi kuwalaumu kwani mimi mwenyewe ni Shahidi wamepambana sana lakini neema na bahati ya mafanikio haijawa upande wao, baba yangu kajaribu Kila aina ya kazi lakini wapi, vilevile mama yangu kafanya bidii sana lakini mambo mabaya.

Nimesoma shule ya msingi hadi advance na badae chuo kikuu, nimesoma kwa tabu sana miaka yangu hiyo, hii ni kutokana na hali ya uchumi wa familia yangu.

Nawaza sana,mwezi mwaka huu namaliza masomo yangu, je kipi kitatokea, wadogo zangu watano Wana- nitazama kaka yao wakiwa na matumaini makubwa sana ndani yao juu Yangu

Stress zinataka kuni maliza, nipo scared sana wakuu
Wewe ni mjinga unayetaka kujiua kwa sttess,umri wako mdogo bado uko chuo unawaza kumiliki V8,soma dogo acha ujinga
 
Mtoto wa Mwigulu yupo anatembea na baba yake jimboni anasema mama anaupiga mwingi. Hii nchi siku mkijua mifumo ndo tatizo mtaanza kupiga kura kuwakataa hawa wazandiki.

Dogo bado uko chuo umekata tamaa kwa sababu unaona kabisa huwez kupata ajira kwa sababu ya ajira za kubebana. Pole
 
ELimu haijakusaidia kabisa ,yaani umefika chuo hadi mwaka wa tatu then unalalamika? vipi kuhusu wale ambao hata darasa la kwanza hajafika na yupo kitaani? Hapo chuo hauchukui BUMU?
Boom ndio nini? Boom haitoshi hata kulipia ada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom