Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 3,296
- 7,952
Sio kila sehemu wana lima. Kilimo ni uti wa mgongo wa Tanzania sio Africa. Usijisahau maneno hayo yalitoka kwa nani, Tanzania tunategemea kilimo kwa asilimia hamsin. 95-97 kwaajili ya consumption. Siisi Tanzania au muite basi Tanganyika,
Soma vizuri andiko,lengo ni kuonyesha kuwa kilimo sio shughuli pekee ya kujenga uchumi wa nchi
Zanzibar wana avergae ya trilioni 2 tsh wanapata kupitia huduma haswa utaliii. Si kilimo. Kilimo chao pekee ni samaki top.