Hakuna kitu kinauma kama umelipa deni lako lote la mkopo elimu ya juu na bado wanaendelea kukata kwenye mshahara.
Barua kwenda utumishi Dodoma tayari ilitumwa toka Dec. 2019. Hadi leo hawamtoi mtu kwenye orodha ya makato ya mshahara.
Wahusika wakuu na wakurugenzi wa HESLB, pangueni watumishi...
Heri ya Christmas,
Msaada wataalamu wa apps. Na download program kwenye simu yangu. Bado imeandika DOWNLOAD PENDING kwa wiki sasa.
Sijui shida ni nini?
Habari ya jioni ndugu wana JF wenzangu.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina mtoto wa ndugu yangu kapangiwa kusoma TIA campus ya Dar es salaam. Ni wale waliograduate form 4 mwaka jana na kupangiwa chuo direct baada ya combination kutobalance.
Wameenda chuo kureport wamepewa gharama za chuo...
Kwa nyakati tofauti, tumeshuhudia upendo wa Mh. Rais kwa wananchi wake akiwazawadia mihela kama yote.
Kila ziara amekuwa akigawa pesa kwa wananchi wenye matatizo mbalimbali ya kiuchumi.
Mfano, ni pale muhimbili aliwasaidia wahanga wa moto laki 5 kila mmoja.
Madaktari na nesi pia aliwapa...
Wataalamu naomba kueleweshwa juu ya upimaji viwanja. Naomba kujua vifuatavyo:
1. Yale mawe aka bicon yanamaanisha nini?
2. No. Za juu ya mawe zunawakilisha nini?
3. Je kila no. Ya jiwe inatofautiana toka jiwe moja kwenda jingine?
4. Yale mawe katikati kuna chip au sensor yeyote endapo litazama...
Kwa upepo ulivyo mbaya ktk uandikishaji, wanasiasa watakimbilia makanisani na kuwaangukia wachungaji na maaskofu ili waokoe jahazi.
Maana wengi wao, wanasiasa wameshindwa kuwahamasisha raia kujiandikisha.
Sera za kuwa convince wananchi zimebuma.
Wanasubiri huruma za waumini na wachungaji tu...
Siku hizi mtu mzima au mtoto ukiumia kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali, kupata huduma ya sindano ya tetenasi ni ishu kubwa sanaaa.
Ilinikuta mwezi wa 1 mwaka huu, baada ya kuumia nilienda ktk kituo cha afya cha mbezi, wadai huduma hiyo hawana.
Nikaenda zahanati binafsi kama 3 hv nikakosa...
Hbr ya saa hizi wataalamu? Simu yangu kuna app ina download muda wote. Ina maliza kudownload, inaanza tena, ikimaliza inaanza upya app hiyo hiyo kilasiku. Naomba msaada jinsi ya kusitisha isidownload. Ahsanteni
Uzi maalumu wa kuwakumbusha DAWASA maeneo ambayo kwa hapa Dar maji ya bomba la dawasa bado ni ndoto tangia tupate uhuru.
Cha kufanya kila mdau ataje maeneo anayojua kuna changamoto ya maji bado.
Lengo ni kuwakumbusha hawa jamaa, waje kuweka mabomba ya maji.
Nchi yetu sote, kwa nini wengine...
Hbr za asubuhi wana jf. Kuna siku nilipita mbezi mwisho karibu na stendi ya daladala ya malamba mawili,nikaona jirani pale kuna tawi la benki ya Nmb. Vp wameshaanza kazi.? Wengine tuko porini huku, mjini hadi tuoge Kwanza, maana mkuu wa mkoa kadai tusije mjini hadi tuoge kwanza.
Last week ilitokea ajari moro ya moto. Na baadhi ya miili ilitambuliwa kwa ndugu kupima DNA. Sasa naomba kuuliza, kipimo cha DNA huchukuliwa cha ndugu yeyote tu au baba na mama wa marehemu? Na je kama ni cha baba tu, ikitokea mama alim,bambika mtoto, si ndio hakutakuwa na mfanano wowote.
Nahisi...
Kwanza nitoe pole kwa watanzania kwa msiba mzito uliotukuta.
Hivi kuna nyumba yenye thamani ya tshs. Trillion 1 hapa Tanzania?
Tunabishana hapa baada ya tajiri mkubwa India kumiliki mjengo wa ghorofa 7 wenye thamani ya trillion 2.3 za kibongo.
Kuna jamaa anadai posta na K/Koo kuna mijengo ya...
Naomba kujua vigezo vinavyotumika kupanga eneo la kuadhimisha maonesho ya 8/8 kitaifa.
Mwaka jana ilikuwa mkoa wa simiyu naona na mwaka huu ni hukohuko.
Je haiwezekani kupeleka maadhimisho mikoa tofauti kila mwaka?
Hbr ya jpili ndugu zangu watanzania? Hv karibuni kumezuka makundi mengi ambayo yapo against na utawala wa sasa. Nikikumbuka vzr 2015 hadi 2017 watu wengi waliukubali sana utawala wa sasa. Ni wapi utawala wa sasa umekosea ili wakiona humu maoni yenu huenda wakaufanyia kazi. Toa maoni au ushauri...
Kuna utapeli mpya umeingia kwa kasi kubwa hasa kwa watumishi wa umma. Kuna mtu anakupigia simu, anakutajia vigezo vyote vilivyopo kwenye faili lako la ajira either la halmashauri au tamisemi.
Anakutajia check no. Yako kama ilivyo, tarehe ya kuajiriwa kwa usahihi kabisa, na taarifa zote...
Jana line ya tigo kwangu muda mwingi ilikuwa inaandika emergency muda mwingi. Na jioni wakatuma msg kuomba radhi.
Leo line ya voda ipo emergency muda mwingi,mwenye taarifa atujuze nini kinaendelea. Au ndio kusema wanatest mitambo ili usajili kwa alama za vidole,muda ukiisha waziblock line zetu?
Watumishi wa umma wataanza kukatwa kwenye mshahara wao asilimia kadhaa ili kufidia gharama uchaguzi 2020.
Baadhi kukatwa hadi dollar 50 ili kusaidia uchaguzi huo utakaofanyika.
Hii ni kwa watumishi wote wa umma wa nchini BURUNDI.
Chanzo: BBC London
Nimeona kwenye Habari za saa ITV...eti wakulima wamemsimamisha waziri kisa wadudu wa kawaida-funza wale wanakula mazao kule Iringa na Njombe wanaita MBENG'I ambao ukipiga dawa tu wanakufa,na ni wakawaida hao hasa ukichelewa kupuliza dawa.Wangekuwa viwavi jeshi hapo sawa, funza tu hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.