Upimaji wa DNA

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
880
618
Last week ilitokea ajari moro ya moto. Na baadhi ya miili ilitambuliwa kwa ndugu kupima DNA. Sasa naomba kuuliza, kipimo cha DNA huchukuliwa cha ndugu yeyote tu au baba na mama wa marehemu? Na je kama ni cha baba tu, ikitokea mama alim,bambika mtoto, si ndio hakutakuwa na mfanano wowote.
Nahisi baadhi ya DNA zitakuwa haziku match na yeyote hasa wale watoto wa kusingiziwa. Wataalamu tupeni ujuzi hapo.
 
Back
Top Bottom