Wataalamu wa mtandao

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
880
618
Hbr ya saa hizi wataalamu? Simu yangu kuna app ina download muda wote. Ina maliza kudownload, inaanza tena, ikimaliza inaanza upya app hiyo hiyo kilasiku. Naomba msaada jinsi ya kusitisha isidownload. Ahsanteni
 
Inaitwaje? Inadownload kwa muda gani?

Ikitokea tena hiyo notification ya kudownload vuta notification bar kisha ishikilie hiyo downloaading notification kwa kidole uende app details ili ujue ni app gani inafanya hivyo
 
thanks nimefanikiwa
 
Back
Top Bottom