Search results

  1. Mwamanda

    TCRA wamulikeni wamiliki wa mitandao ya simu tumechoka kuibiwa!

    Ni kweli kuna walakini sana mimi huwa nanunua kifurushi cha siku cha Tigo cha 2000 chenye GB1 kinakatika kwa kuangalia masage chache za whatsup Jamiiforums na Twitter . TCRA watakuwa na kitu kidogo wanapata.
  2. Mwamanda

    Serikali haitambui adha ya gharama kubwa ya chakula kwa wasafiri wa mabasi?

    Hali ya bei ya vyakula katika mahoteli ya njiani iko juu sana hailingani na ubora wa chakula kinachotolewa naunga mkono hoja
  3. Mwamanda

    'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

    Nilipata ya kutembelea makumbusho ya DSM niliongea kwa kina na wahusika kuhusu mtu wa kale kuwa tulikuwa samaki halafu tukaja kuwa watu baada ya maswali tulianzaje kubadilika kuwa watu alikubali kuwa nadharia ya Darwin ina mapungufu sana na kukubali kuwa kimsingi kuna umbaji umefanyika na Mungu.
  4. Mwamanda

    Tetesi: Ukweli wa Madeni ya TZ na Kushikikiwa kwa Ndege ya ATCL Huu Hapa

    Hiivi huyu mzungu alipataje ardhi? Ni Nani alimlipa fidia wakati anatwaa hilo shamba. Ni wakati wa sisi kudai fidia kwa mashamba waliowanyanganya babu zetu kupitia mahakama hizohizo.
  5. Mwamanda

    Anayefahamu mawakala wa kupeleka watu Uarabuni

    Ni hatari mno kwenda uarabuni. Kitu cha kwanza ukifika mwajiri anakunyanganya paspoti halafu unakuwa Huna uhuru tena chochote chaweza kutokea.
  6. Mwamanda

    Selous: Kutoka pori la akiba hadi hifadhi

    Ukifuata sana ushauri wa NGO za kiimataifa utakwamishwa katika mambo Mengi ya kimaendeleo. Nchi ya Dubai ilipoanza Kujenga mji ndani ya baharri walipingwa sana kuwa wanaharibu ekolojia ya bahari,lakini walijenga na kufanikiwa kuvuta wawekezaji katika visiiwa hivyo nakukuza uchumi wao.
  7. Mwamanda

    Wafahamu Dismas na Gestas, wahalifu waliosulubiwa pamoja na Yesu pale Msalabani

    Kuna kitu nimejifunza hapa inahitaji Roho Mtakatifu atuongoze katika kuisoma Biblia kwa sisi wakristo.
  8. Mwamanda

    Urafiki wa Wasambaa na Wakoloni wa Kijerumani

    Asante kwa kutupa sehemu ya historia Zumbe
  9. Mwamanda

    Wizara ya Afya Tanzania:Kesho tarehe 4 Feb ni siku ya kansa duniani

    Je tunaweza kupata jina la dawa hiyo ya afrika kusini?
  10. Mwamanda

    Ushauri wa haraka wakuu, nina mke wa mtu ndani

    Nakushauri mrudishe kwao maana hatua itakayofuata huyo dada anaweza kuhamia moja kwa moja.
  11. Mwamanda

    Serikali iwaangalie broiler breeders wanaoshindana na wafugaji wadogo

    ni kweli Mazingira ya kibiashara hayawezi kuwa sawa kati ya wafugaji wadogo na hao breeders maana bei ya kifaranga wanapanga wao na bei ya chakula cha kuku wanapanga wao na kipo bei juu, hivyo wanamlazimisha mfugaji mdogo auze kwa bei ya juu ili afidie gharama za uzalishaji au apunguze bei...
  12. Mwamanda

    Serikali imeanza kujenga daraja jipya eneo la Wami mkoani Pwani

    Daraja hili ni kiungo muhimu sana ujenzi wake umekuja wakati muafaka.
  13. Mwamanda

    Kumekucha: Barrick yaongeza team ya Wataalamu kuinasua kampuni yao na kashfa ya kodi na makinikia

    kitendo cha Barrick kuongeza nguvu kama ni kweli kinathibitisha timu yetu iko vizuri kiasi timu ya Barrick ya awali ilielemewa hivyo ni pongezi kwa upande wa timu yetu.Zamani walikuwa wawakilishi wetu ndio waliokuwa wanatusaliti lakini sasa wamekuwa wazalendo hivyo Barrick kuwa na wakati...
  14. Mwamanda

    Tatizo lolote la PC/device

    Nashukuru nitajaribu kufuata maelekezo yako mkuu kama nikikwama nitarudi kuomba msaada tena.
  15. Mwamanda

    Tatizo lolote la PC/device

    ninatatizo la kutoa virus katika kompyuta na flash zangu nimeweka kapersky antivirus na pia niliinstall upya windows seven lakini bado naona kuna virus vinavyosababisha flash mpya kutoweza kutumika maana nikisave kitu katika flash hakifunguki au kinaharibika naomba ushauri nifanyeje nisafishe...
  16. Mwamanda

    Rupia: Hazina ya Mjerumani

    German East Africa Coins piekenier 19K Views 36 Like 36 Likes Comments Comment Like if this guide is helpful Please sign in to like this Guide. Share September 6, 2008 The only German colonies that coins were produced for were German New Guinea (8 different Coins ) , German Kiautschou (2...
  17. Mwamanda

    Rupia: Hazina ya Mjerumani

    German treasures? In Tanzania there are several spots, such as this one near Butiama (photo, below), with unexplained marks on rocks. The unconfirmed explanation given by some reveals that the signs were made by German colonialists who were in Tanganyika between 1891 and 1919. The Germans...
  18. Mwamanda

    Mwanasheria Dkt. Kilangi atoa ufafanuzi kuhusu mchanga wa madini uliozuiliwa na Rais

    Hakuna kitu kizuri kama kumjua mchawi wako hata kama anaweza kukudhuru, maana tunajua kuwa mchawi ameumbuka hadharani hilo ni pigo kubwa ambapo heshima yake imevunjika mbele ya jamii tunangojea tume iliyobaki ya kisheria ili tumvue nguo zote.Media ni silaha kubwa sana baada ya hapo waswahili...
Back
Top Bottom