TCRA wamulikeni wamiliki wa mitandao ya simu tumechoka kuibiwa!

Kwa kweli sijui kamaTCRA Kama wapo na kama wapo basi wanashirikiana na makampuni kuhujumu watumiaji simu au hawana nguvu ya kupambana na makampuni kuna minara inatumia sola wanatuibia sana masalio yetu minara hiyo kuwepo hewani hutegemea na jua kwa mfano unaweka salio saa 10 jioni halafu nguvu ya sola inakata saa 2 usiku mtandao unazima huenda mpaka kesho saa 4 ikifika muda uliowekea salio wanakata salio lao bila kujua kuwa mtandao haukuwepo tunaomba TCRA wamulike minara yenye sola wanaibia wateja sijui kama TCRA KAMA WANAUONA WIZI HUU KWENYE MINARA INAYOTUMIA SOLA AU MPAKA JPM AWAFUATE?
 
TCRA hawa wamiliki wa mitandao ya simu mbona hamuwachukulii hatua!

Kila saa wanabadili viwango vya gharama zao iwe kwenye Internet au Muda wa maongezi bila taarifa, nyie kimyaaa! Au na hili mpaka Magufuli 'AFOKE'?!

Inaonesha mmepwaya kwenye nafasi zenu kuna haja mjipime kama bado mnatosha?
Kwasie tulioanza kutumia simu zamani,enzi hizo unanua dollar na nikilinganisha kwa sasa aisee gharama za sasa ni nafuu sana baada ya kuja kwa vifurushi....Ndio maana makampuni yamekuja na kifurushi unachotaka Jipimie aka size yako.

Kabla haujajiunga angalia kwanza matumizi yako kwa wiki/mwezi ni kihasi gani,jaribu kufanya utafiti kwa miezi ateast mitatu kuweza kujua matumizi sahihi...Ukishajua matumizi yako ni GB au Dakika ngapi kwa mwezi/wiki basi jiunge kifurushi kulingana na size yako,haiwezekani wewe matumizi yako kwa wiki ni GB 2 ukajiunga kifurushi cha GB 5 huku ukitegemea ikifika wiki kampuni ikurefund GB zako 3 wakati kulikuwa na bundle ya GB 2 kwa bei ya chini.

Kuna Halichachi na offer maalumu kwa kila mitandao,kwa kifupi fanya utafiti wa kujua mtandao gani unameet your requirements,kwasasa ukisajili line tu halotel wanakupa free dakika 30 utumia kwa wiki nzima x all networks.

Ukifungua hiyo kesi yako unadondokea pua kabla hata haijafika kwa hakimu,yaani unadondoshwa kwenye level ya ushauri wa mwanasheria tu au unadondokea pua kwenye korido za TCRA.
 
Voda ni wasenge sana hawa jamaa,Jana nimenunua bando nashangaa wakakata Mara mbili,kuwapigia wananiamba nimenunua Mara mbil,
 
Nadhani wanakula mlungula ambao si chini ya 10%.... Sasa hivi hakuna headache kubwa kama kutaka kununua kifurushi... Kwa mfano voda wana kifurushi cha 5000 GB 3.5 lakini ndani ya 24hhrs kwisha
TCRA hawa wamiliki wa mitandao ya simu mbona hamuwachukulii hatua!

Kila saa wanabadili viwango vya gharama zao iwe kwenye Internet au Muda wa maongezi bila taarifa, nyie kimyaaa! Au na hili mpaka Magufuli 'AFOKE'?!

Inaonesha mmepwaya kwenye nafasi zenu kuna haja mjipime kama bado mnatosha?
 
TCRA hawa wamiliki wa mitandao ya simu mbona hamuwachukulii hatua!

Kila saa wanabadili viwango vya gharama zao iwe kwenye Internet au Muda wa maongezi bila taarifa, nyie kimyaaa! Au na hili mpaka Magufuli 'AFOKE'?!

Inaonesha mmepwaya kwenye nafasi zenu kuna haja mjipime kama bado mnatosha?
Umewahi kusoma terms and conditions za hizo huduma unazodai kubadilika bei?

Unajua bei sahihi ya hizo huduma ambayo ndio halali kwa viwango vya TCRA?
 
Naunga mkono hoja yako kwa% zote muhenga mwenzangu,nakumbuka mwaka1999 nilinunua Siemens yangu ya kwanza,niliinunua parefu kweli kweli,km sikosei ilikua inaenda95k,kwa kipindi hicho 95k sio mchezo,na kamba ya shingoni nikanunua naning'iniza lisimu langu,kila mahali nikikatiza mitaani watu wananiona bonge la mjanja,madem ndo nilikua najipakulia km wali,enzi hizo mtandao ni Mobitel tu,na hakuna vifurushi,...unanunua dola yako ya buku,kupiga sekunde moja sh 8,sekunde 60 yani dkk1 unakatwa jero yako kiroho fanta unapita hv,na tena kipindi hiko ndo kubip kulikuwa kumeshamir,dola (vocha) ya buku mwanaume unapiga nayo wiki na udwanzi,ss hv navifurushi kibao unajiunga halichachi mara cjui haliishi unapiga nalo hata mwaka,ni ww tu na umaridadi wako wa kubip.kuna dogo mmoja hapa kitaa ni drv bodaboda,huyu dogo hana mke wala hataki mazoea na madem,akijiunga kifurushi cha buku haliishi anapiga nalo miez minne had mitano.
Kwasie tulioanza kutumia simu zamani,enzi hizo unanua dollar na nikilinganisha kwa sasa aisee gharama za sasa ni nafuu sana baada ya kuja kwa vifurushi....Ndio maana makampuni yamekuja na kifurushi unachotaka Jipimie aka size yako.

Kabla haujajiunga angalia kwanza matumizi yako kwa wiki/mwezi ni kihasi gani,jaribu kufanya utafiti kwa miezi ateast mitatu kuweza kujua matumizi sahihi...Ukishajua matumizi yako ni GB au Dakika ngapi kwa mwezi/wiki basi jiunge kifurushi kulingana na size yako,haiwezekani wewe matumizi yako kwa wiki ni GB 2 ukajiunga kifurushi cha GB 5 huku ukitegemea ikifika wiki kampuni ikurefund GB zako 3 wakati kulikuwa na bundle ya GB 2 kwa bei ya chini.

Kuna Halichachi na offer maalumu kwa kila mitandao,kwa kifupi fanya utafiti wa kujua mtandao gani unameet your requirements,kwasasa ukisajili line tu halotel wanakupa free dakika 30 utumia kwa wiki nzima x all networks.

Ukifungua hiyo kesi yako unadondokea pua kabla hata haijafika kwa hakimu,yaani unadondoshwa kwenye level ya ushauri wa mwanasheria tu au unadndoke pua kwenye korido za TCRA.
 
sasa hv hatupo mwaka 99 mzee badilika,kwan hyo mwaka halotel walikuep0? badilika kifikra mzee
Naunga mkono hoja yako kwa% zote muhenga mwenzangu,nakumbuka mwaka1999 nilinunua Siemens yangu ya kwanza,niliinunua parefu kweli kweli,km sikosei ilikua inaenda95k,kwa kipindi hicho 95k sio mchezo,na kamba ya shingoni nikanunua naning'iniza lisimu langu,kila mahali nikikatiza mitaani watu wananiona bonge la mjanja,madem ndo nilikua najipakulia km wali,enzi hizo mtandao ni Mobitel tu,na hakuna vifurushi,...unanunua dola yako ya buku,kupiga sekunde moja sh 8,sekunde 60 yani dkk1 unakatwa jero yako kiroho fanta unapita hv,na tena kipindi hiko ndo kubip kulikuwa kumeshamir,dola (vocha) ya buku mwanaume unapiga nayo wiki na udwanzi,ss hv navifurushi kibao unajiunga halichachi mara cjui haliishi unapiga nalo hata mwaka,ni ww tu na umaridadi wako wa kubip.kuna dogo mmoja hapa kitaa ni drv bodaboda,huyu dogo hana mke wala hataki mazoea na madem,akijiunga kifurushi cha buku haliishi anapiga nalo miez minne had mitano.
 
Unafiri bado nipo huko kwenye99 mkuu,hapo nanogesha tu kuwa enzi zile hatukua tunahangaika na bundle.mm mwenyewe1500 ya Mb daily inanihusu,hapo hakuna kulalamika,burudika@ your own expenses,,ukiona haifai unaachana nayo,pia Inawezekana ni mkakati wa kupunguza watu Kushinda mtandaoni kupiga soga,
sasa hv hatupo mwaka 99 mzee badilika,kwan hyo mwaka halotel walikuep0? badilika kifikra mzee
 
Watendaji was just wa TCRA wako kwenye payroll ya makampuni ya simu

Sasa TCrA na Kampuni za zikiwabia wateja huku serikali ipo kimya... Ina maana na SERIKALI nayo inashiriki wizi...

Alafu Ile Kodi inayochukua Ni sawa na kutakatisha pesa zinazotokana na mapato ya wizi...
 
Unafiri bado nipo huko kwenye99 mkuu,hapo nanogesha tu kuwa enzi zile hatukua tunahangaika na bundle.mm mwenyewe1500 ya Mb daily inanihusu,hapo hakuna kulalamika,burudika@ your own expenses,,ukiona haifai unaachana nayo,pia Inawezekana ni mkakati wa kupunguza watu Kushinda mtandaoni kupiga soga,
lakn bro kumbuka kuna watu wamejiajiri online je huoni kama kuminya bundle kwa watu kama hao kunapunguza fursa?
 
Nimenunua bando 1gb tigo .nimeingia insta kucheki picha tu hata nusu saa haijafika napata sms .kifurushi chako kimebaki 100mb. Dah kipindi hiki sijui imekuwaje?
 
Kitu kingine kinachonikelaga ni hizi meseji zao za kamali,kwa siku wanaweza wakakutumia tano.
 
Back
Top Bottom