Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,101
- 144,560
Hivi sisi watanzani,makusanyo yetu kwa mwezi na matumizi yetu kwa mwezi, yanaweza kweli kutufanya tuka-survive walau miaka 2 tu bila kuanza kuyumba kama kama nchi?
Kama kweli tunakusanya trilioni 1.3 kwa mwezi,tujiulize tunalipa kiasi gani mishahara kwa watumishi wa umma na tunatulipa kiasi gani kuhudumia deni la Taifa na tunabaki na kiasi gani?
Je,hatuna nakisi?
Je,huwa hatulazimiki kukopa kulipa deni la Taifa?
Kama pamoja na mikopo na misaada hali ndio hiii,itakuwaje wakitukatia misaada na mikopo hiyo?
Je,tumejiandaa kukabiliana na hali hii iwapo itatatokea na kudumu walau kwa miaka miwili tu?
Je,hatutalazimika kuja na kodi ambazo hatukuwahi hata kuziwaza?
Hii miradi ya matrilioni ya JPM, baadhi kama sio yote,haiwezi kukwama?
Elimu bure itawezekana?
Mikopo vyuo vikuu itaendelea kutolewa,n.k?
Hebu someni hii kisha mtafakari:
Heche: Makusanyo kwa mwaka ni trilioni 14, mishahara mnalipa trilioni 7 na deni la Taifa mnalipa trilioni 9. Fedha za ndani kujenga SGR mnatoa wapi? - JamiiForums
Mimi naomba uzima tu tuone tutafika wapi iwapo hatutajishusha kama alivyoshauri Balozi Khamisi Kagasheki kwa kutaka diplomasia itumike katika hili swala.