Search results

  1. T

    Trafiki agongwa hapa taa za VETA

    mzee unatakiwa uwe makini na vitu unavyowajuza wenzio.mimi nipo ngara lakini habari sahii aaliyepata ajali ni askari wetu wa Jw.omba msamaha kwenye ukumbi.
  2. T

    Tatizo la meno kufa ganzi na chanzo chake

    Tumia sensodyne toothpaste apply 2 to 4 times daily.baada ya wiki utapata jibu. EPUKA kunywa vinywaji baridi.
  3. T

    Plot inauzwa Vikindu

    Ipo vikindu mto Myobozi. ukubwa sq m 4500, maji ya mto yapo majira yote.Bei 10 m Tshs. wanaohitaji 0763 23 30 30
  4. T

    Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

    umemsahau na Gibson Mwanamkiwa, kwa sasa ni watu wazima majukumu yamewakaba km karo n.k. zamani mara tu baada ya chai kalamu haibanduki mkononi hadi dinner wanaandika makadi tu.
  5. T

    ombi tafadhari, aliyepo u/taifa

    ombi kwenu wanajf, tafadhari aliyepo taifa tunaomba maendeleo/matokeo cc tuliopo pembezoni mwa tz, ahsante
  6. T

    Kila akitongozwa lazima aniambie

    is she still virgin ? if not tell us know wether you know her viginality otherwise let us stay calm .
  7. T

    Hii inatoa picha gani nje ya Taifa letu?

    Tusizungumze mengi. wote kwa pamoja wanatugombania kama mwanamke malaya.mabwana wote wanatutaka .jiulize wanataka nn kwetu wakati wanawake wenzetu wapo.
  8. T

    Na hamu yakungonolewa leo

    wengine hamjui kama mliumbwa,mtajuaje kwamba dhambi zipo?
  9. T

    Nimetokea kumpenda huyu kaka

    ww dada kwa post hii huna lolote na ukikaa vibaya hutaolewa.una muwako mkubwa wa tamaa ya mwili.
  10. T

    Scolari ameibadilisha brazil

    kwa taarifa yako hili kombe linabaki kwao ingawa bado wanaitaji kurekebisha defence.
  11. T

    CCM Mbeya: RPC anatukandamiza sana CCM!

    kama ulikuwepo mzee.
  12. T

    2muone neymar leo!!

    Jem, ngoma inapigwa saa ngapi ya huku kwetu?
  13. T

    Naibu waziri mambo ya ndani:Mauaji yanayofanywa na police yanafanywa kisheria.

    siyo askari tu ila hata raia anaweza kuua .nenda kwa waasheria watakujuza ni mazingira gani askari/raia anaweza akaua na sheria ikajustfy mauaji hayo.si kila kitu unakuwa mbishi.
  14. T

    Watu wabishi: Bado wanasubiri maisha bora

    kwani aliyehaidi alikuwa haoni umuhimu wa watu wake kufanya kazi ndo wawe na maisha bora?si angesisitiza hilo toka awali?.
  15. T

    Watu wauawa, Ofisi zachomwa Mtwara | Bunge la jioni lasitishwa - Hali ni tete...

    Kama wameshindwa kuwaamini wenye mamlaka watamuaminije huyu ambaye hata wazo kwamba Mtwara kuna gesi ni ndoto kwake?. A cha unazi wa kisiasa kuchekelea wakati watu wako ktk wakati mgumu.
  16. T

    Natoa mualiko kwa LEMA kuja UK kusafisha jina lake, nitalipa ghrama za usafiri na makazi.

    Nasikia uliwahi kuwa ndata hapa kwetu.Tueleze baada ya kufika UK umeajiriwa Interpol au ulibakwa ww?
  17. T

    Natoa mualiko kwa LEMA kuja UK kusafisha jina lake, nitalipa ghrama za usafiri na makazi.

    Mbona wanaume wengi hatuko hivyo? uliacha kitu gani huko Cdm? ni kama mwanamke aliyeachwa huku akiwa bado anampenda mme.shame on u.
  18. T

    Mke wangu amekunywa sumu,nifanye nini.

    Naona wenye ushauri kuwa umrudie mkeo hawajawahi kuolewa na kama wameolewa waume zao ni Bushoke.Nakushauri mruhusu boy wako aende kumuona.Wewe endelea kumfungia vioo ili wengine wajifunze.uliona wapi mw'mke ana waume wawili?
Back
Top Bottom