Naibu waziri mambo ya ndani:Mauaji yanayofanywa na police yanafanywa kisheria.

Polisi anaruhusiwa kuua ikiwa Mhalifu atasababisha Maafa kwa jamii.

Acheni kupotosha. Waziri yupo sahihi.

Kwako na kwa Shetani yupo sahihi lakini kwa MUNGU hakuna muuwaji ambaye yupo sahihi na atakayekuwa sahihi.Maana imeandikwa katika Amri za MUNGU. USIUE.
 
duh... napata kigugumizi! kiukweli nimeshikwa na hasira kwa hili ... alaaniwe...

SS.18,18A,18B,18C &19 OF THE PENAL CODE CHAPTER 16 R.E.2002
"...a person is not criminally liable for an act done in the exercise of the right of self defence or the defence of another or defence of property..."

K.F.18 SURA YA 16 KANUNI YA ADHABU KAMA ILIVYO FANYIWA MAPITIO 2002
"...Mtu hawezi kuwajibika kijinai kwa kitendo alichokifanya wakati wa kutimiza haki yake ya kujitetea au kumtetea mtu mwingine au kutetea mali..."

SHERIA HUWA ZINATUNGWA NA BUNGE POLISI NI WATEKELEZAJI TU WA SHERIA HIZO BASI ZITAZAMWE NAKUONA NAMNA ILIYO BORA ZAIDI ILIKUFANIKISHA UTEKELEZWAJI WAKE.BILA KUZISOMA SHERIA HIZO HAMTAKUWA NA HAKI YA KUMUHUKUMU MH.WAZIRI.
 
Polisi waliomuua daudi mwagosi walikuwa wanadefend nini kutoka kwa muhandishi uyo???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Naomba kujua logic ya polis kuwa na silaha za moto then ntakuja na mm nichangie thred

ni kwaajili ya majangili yanayojifanya raia wema na kutaka kuwadhuru polisi,polisi lazma ihakikishe inadaka jangili likiwa zima na ata kumpiga mguuni kama lina silaha hatar na linahatarisha usalama,ikishindikana wanammaliza.lakn cjajua kama sheria inaruhusu polisi kuua.ila kushika chombo cha moto kwa ajili ya usalama kwa kupigama na majangili si wananchi wanaofuata sheria bila shuruti.
 
Kwako na kwa Shetani yupo sahihi lakini kwa MUNGU hakuna muuwaji ambaye yupo sahihi na atakayekuwa sahihi.Maana imeandikwa katika Amri za MUNGU. USIUE.

we hizo ni amri ndiyo lkn pia kwa watu waliokuwa wanafanya makosa kama kuzini walikuwa wanapigwa kwa mawe hadi kufa.lakn kwa sasa mtu yeyote haruhusiwi kutoa uhai wa mtu,labda mahakama kwa mambo ya sheria zaidi.
 
hawa mawaziri wa ccm walishajichokea vichwa havifanyi kazi, mnawauliza maswali magumu namna hiyo unafikiri atajibuje!!!
 
Akijibu swali leo asubuhi bungeni naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi Pereira A.Silima alisema mauaji yanayofanywa na police hufanywa kisheria.wakuu hii imekaaje?wakati huo alisimama mbunge wa wawi Hamad Rashid Mohamed akitumia kanuni ya 68,aliomba serikali itoe taarifa juu ya jibu hilo mh.naibu waziri,ambapo alisema kwa mujibu wa katiba ya nchi yetu mwenye mamlaka ya kutoa adhabu ya kifo ni mahakama pekee na mwisho kusainiwa na rais. My take; hivi jeshi la police lina 'sheria'yake ya kuua raia hata kama ana kosa?
Naibu waziri kaleta sheria zake na mke wake ajiuzulu hafai anataka kuharalisha kirahi
 
Baadhi ya mawaziri hawajui sheria za Haki za binadamu Naibu waziri kachemsha kinoma !hv polisi kule migodini wanaua Raia kisheria?mwangosi aliuawa kisheria?hizo sheria ni zake binafsi ajiuzulu hafai kuwa waziri
 
Akijibu swali leo asubuhi bungeni naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi Pereira A.Silima alisema mauaji yanayofanywa na police hufanywa kisheria.wakuu hii imekaaje?wakati huo alisimama mbunge wa wawi Hamad Rashid Mohamed akitumia kanuni ya 68,aliomba serikali itoe taarifa juu ya jibu hilo mh.naibu waziri,ambapo alisema kwa mujibu wa katiba ya nchi yetu mwenye mamlaka ya kutoa adhabu ya kifo ni mahakama pekee na mwisho kusainiwa na rais. My take; hivi jeshi la police lina 'sheria'yake ya kuua raia hata kama ana kosa?

Mh. Pereira A Silima kama huwa anasoma JF ajue kwamba amehamasisha Mauaji ya Polisi dhidi ya Raia lakini hata hivyo ajue amesababisha uhasama mkubwa kati ya Polisi na raia bora arekebishe au kama wanavyosema wao pale bungeni "Afute Kauli"
 
Hakuna sheria yoyote inayowaruhusu polisi kuua,hapo waziri amechemsha jamani.

siyo askari tu ila hata raia anaweza kuua .nenda kwa waasheria watakujuza ni mazingira gani askari/raia anaweza akaua na sheria ikajustfy mauaji hayo.si kila kitu unakuwa mbishi.
 
Waziri anaweza kuwa sahihi -kisheria- kwenye kuuwa kwa maana ya kujikinga lakini akumbuke kuna 'Inquest'. Sheria ya kuwa na mahakama - inquest- ilishapitishwa lakini haieleweki ni kwanini serikali haijaanza ku-implement.

Haitoshi tu kusema kuwa 'umeua' au polisi ameuwa kwa sababu ya kujikinga, mahakama ya inquest ndiyo ita-rule out mazingira mazima ya kifo.

Waziri anatakiwa arudi na majibu kamili.

Polisi anaruhusiwa kuua ikiwa Mhalifu atasababisha Maafa kwa jamii.

Acheni kupotosha. Waziri yupo sahihi.

SS.18,18A,18B,18C &19 OF THE PENAL CODE CHAPTER 16 R.E.2002
"...a person is not criminally liable for an act done in the exercise of the right of self defence or the defence of another or defence of property..."

K.F.18 SURA YA 16 KANUNI YA ADHABU KAMA ILIVYO FANYIWA MAPITIO 2002
"...Mtu hawezi kuwajibika kijinai kwa kitendo alichokifanya wakati wa kutimiza haki yake ya kujitetea au kumtetea mtu mwingine au kutetea mali..."

SHERIA HUWA ZINATUNGWA NA BUNGE POLISI NI WATEKELEZAJI TU WA SHERIA HIZO BASI ZITAZAMWE NAKUONA NAMNA ILIYO BORA ZAIDI ILIKUFANIKISHA UTEKELEZWAJI WAKE.BILA KUZISOMA SHERIA HIZO HAMTAKUWA NA HAKI YA KUMUHUKUMU MH.WAZIRI.
 
Akijibu swali leo asubuhi bungeni naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi Pereira A.Silima alisema mauaji yanayofanywa na police hufanywa kisheria.wakuu hii imekaaje?wakati huo alisimama mbunge wa wawi Hamad Rashid Mohamed akitumia kanuni ya 68,aliomba serikali itoe taarifa juu ya jibu hilo mh.naibu waziri,ambapo alisema kwa mujibu wa katiba ya nchi yetu mwenye mamlaka ya kutoa adhabu ya kifo ni mahakama pekee na mwisho kusainiwa na rais. My take; hivi jeshi la police lina 'sheria'yake ya kuua raia hata kama ana kosa?
Kwanza ujue chombo cha kazi cha askari ni silaha ya bunduki. Sasa kabla hujalalamika kuhusu askari kuua watu, jiulize hiyo bunduki ni ya nini. Wana taratibu zao za kufuata kabla ya kukutwanga risasi. Mimi sio mtaalaam lakini nakumbuka enzi zangu JKT. Kuna maonyo, halafu amri bado unajidai ngangari hutii wanakuchapa risasi kwa nia ya kukukamata kama wewe ni hatari zaidi wanakudedisha na inakua ni kwa mujibu wa sheria. Nadhani umeelewa mkuu.
 
ni kwaajili ya majangili yanayojifanya raia wema na kutaka kuwadhuru polisi,polisi lazma ihakikishe inadaka jangili likiwa zima na ata kumpiga mguuni kama lina silaha hatar na linahatarisha usalama,ikishindikana wanammaliza.lakn cjajua kama sheria inaruhusu polisi kuua.ila kushika chombo cha moto kwa ajili ya usalama kwa kupigama na majangili si wananchi wanaofuata sheria bila shuruti.[/QU
Mhh stil nt sufficient to adopt
 
Logic hapo ni in case mtuhumiwa kwa kutumia nguvu anasababisha kutoweka kwa amani akiwa chini ya ulinzi wa police ambapo itapelekea police kujeruhiwa au watuhumiwa wenzake kutoweka wakiwa chini ya ulinzi au endapo mtuhumiwa anataka kutoroka chini ya ulinzi (but police wanapima na uzito wa kosa kabla ya kufanya maamuzi, mfano mtu kibaka wa kuku au wametukanana mtaani hapo mtuhumiwa akasepa hapo police anatakiwa atumie mbinu mbadala mpaka amkamate na ndio maana likaitwa jeshi la police which means wana mbinu za ziada za kuwakamata waalifu ikiwa pamoja na kupiga filimbi. Logic nyingine fujo za kuvuka mipaka ambazo zinahatarisha maisha ya askari mwenyewe na mali za raia walio wengi lakini lazima atoe warning kwa kupiga juu au kama wanakipaza sauti wanatakiwa watangaze huku waki-quote kifungu cha sheria huku wameshika kitambaa chekundu kuashiria kuna hatari
Its nw clear 2me amh installing da concept nd I wl come later on 4 my contribution
 
Nashukuru wakuu wote kwa mawazo,nadhani imeeleweka kuwa police anaweza kuua kutokana na mazingira yanayomkabili.lakini ni vema sheria ikaangaliwa upwa kwa kuwa inaeleweka kuwa mahakama ndio pekee yenye mamlaka ya kuhukumu kifo pale inapothibitika bila shaka kuwa mhusika katenda kosa husika.sidhani kama police anaweza kutawanya maandamano akampiga mtu risasi akaua halafu aseme ameua kisheria.
 
Back
Top Bottom