Trafiki agongwa hapa taa za VETA

SR senior

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
358
67
Nmeshuhudia trafiki akiburuzwa hapa kwenye taa za VETA Nyerere road muda huu.Trafiki alikuwa kwenye pikipiki.
 
FAIDA za leseni mpya hizo,eti zitapunguza ajali sh 40000xwatu 1000000
 
Nmeshuhudia trafiki akiburuzwa hapa kwny taa za veta nyerereroad muda huu..trafiki alikua kwny pkpk..mwny taarifa zaid atujuze

Wewe kweli kichwa upepo wendie umeleta mada na upo kwenye tukio tena sisi tupo kisarawe tukujuze wewe kweli kilaza
 
Wewe kweli kichwa upepo wendie umeleta mada na upo kwenye tukio tena sisi tupo kisarawe tukujuze wewe kweli kilaza

Kumbe kuna aina nyingi za vchwa..asante kwa kunijuza, ila nilikua kwny daladala so nmeshndwa jua kua alikua kwny msafara au internal survey..amefariki au? ikiwezekana mpk jina..so nilitaman pata taarifa kwa aliyekuepo japo dkk kadhaa eneo la tukio
 
Wewe si umesema upo kwenye tukio umeshuhudia sasa sie ambao hatupo eneo hlo tukujuze nini? Sometime muwe mnatumia brain hata kidogo.
 
Nmeshuhudia trafiki
akiburuzwa hapa kwny taa za veta nyerereroad muda huu..trafiki alikua
kwny pkpk..mwny taarifa zaid atujuze

mzee unatakiwa uwe makini na vitu unavyowajuza wenzio.mimi nipo ngara lakini habari sahii aaliyepata ajali ni askari wetu wa Jw.omba msamaha kwenye ukumbi.
 
Wewe si umesema upo kwenye tukio umeshuhudia sasa sie ambao hatupo eneo hlo tukujuze nini? Sometime muwe mnatumia brain hata kidogo.

Jamani tuweke ubinadamu mbele. Mleta mada ameshajieleza kwamba alikuwa kwenye daladala. Anaomba kama kuna mtu mwingine aliyekuwa nje na aliyeshuhudia tukio atueleze kwa kina. Tuache kumrushia mawe kwa kutoa habari kama alivyoweza. Maana ya JF ni jukwaa la kuhabarishana na kutafuta taarifa zaidi. Great Thinkers, tusishushe hadhi ya jamvi letu kwa kubishana kusikoleta tija! Amani...
 
Jamani tuuweke ubinadamu mbele. Mleta mada ameshajieleza kwamba alikuwa kwenye daladala. Anaomba kama kuna mtu mwingine aliyekuwa nje na aliyeshuhudia tukio atueleze kwa kina. Tuache kumrushia mawe kwa kutoa habari kama alivyoweza. Maana ya JF ni jukwaa la kuhabarishana na kutafuta taarifa zaidi. Great Thinkers, tusishushe hadhi ya jamvi letu kwa kubishana kusikoleta tija! Amani...

Hapa sio FB kwahiyo lazima awe makini na mada zake hatupo hapa kufundisha watu elimu ya jamii tupo hapa kuzungumzia hoja za msingi na matukio ya kweli sio blah blah
 
mzee unatakiwa uwe makini na vitu unavyowajuza wenzio.mimi nipo ngara lakini habari sahii aaliyepata ajali ni askari wetu wa Jw.omba msamaha kwenye ukumbi.

apigwe ban tu.. maana tumechoka...
 
Wagongwe tu mana hatunajinsi na tumechoka

Mh. na wewe umekuwa pinda? Utu wa binadamu ni zaidi ya chochote. Huyo trafic angekuwa ni nduguyo ungesema hivyo? Hata hivyo anakosa gani hadi ufurahie maumivu au mauti yake? Muache Pinda abaki na mawazo yake ya kinyama kwakuwa atalipwa kwayo!
 
Awe trafic, nesi, mwanajeshi, mkulima, mwanafunzi, mchungaji, shekhe, mkulima nk hiyo siyo hoja. Cha msingi mtu kagongwa, tujadili hilo!
 
Maskini,Mungu ajaalie apone kama kaumia,ni Mtanzania mwenzetu,na binadamu mwenzetu.Ikiwa amenusurika ndio furaha kwetu.
 
Back
Top Bottom