Natoa mualiko kwa LEMA kuja UK kusafisha jina lake, nitalipa ghrama za usafiri na makazi.

Ndugu zanguni,

Baada ya kuona kila kukicha tunaendelea kusikia hizi habari zenye kukera
kuhusu kesi inayomkabili mbunge wa Arusha God bless Lema.

Mimi kama rafiki wa zamani wa Lema nimeamua kujitolea kumplipia gharama
zote ili aje hapa UK kukanusha uzushi huu ambao ni aibu kwa taifa letu
kuwa na mbunge ambaye anatafutwa kwa kesi ya aibu ya kubaka.

Mimi kama wananchi wengine sipendi kuona jina la mheshimiwa lina
chafuliwa hivyo nimeamua kuwa nitalipa kila kitu kuanzia tiketi ya
ndege, ada ya visa na pia gharama za hoteli, chakula na vinywaji kwa
kipindi chote mheshimiwa atakapokuwa hapa.

Mheshimiwa Lema najua uko hapa lakini kama haupo basi najua yule kijana
mwenye kutembea sumu mfukoni lazima atakupatia huu ujumbe. Mimi naamini
kama ulivyonisimulia hukubaka ila ....??? na nitasimama kukutetea .
images

JITAMBUE!

Mbona wanaume wengi hatuko hivyo? uliacha kitu gani huko Cdm? ni kama mwanamke aliyeachwa huku akiwa bado anampenda mme.shame on u.
 
lukosi kweli mkuu sasa umeishiwa hoja,naomba MODS hoja kama hizi zisije hapa ziende jukwaa la udaku,alafu hoja zote za lukosi ziende huko jamaa sio great thinker ni mdaku
 
mwenyewe unamtegemea malkia akulishe..
Mkubwa Lema mimi ndio nilimpokea alipokuja mwanzo na nilimgharamia mpaka alipoondoka na kuwafungulia tawi misukule wenzako . Kama unabisha si umuite tu kamanda wako aje hapa kukanusha?
 
Kwani Lukosi umeanza kujitegemea Lini ? Si ulikuwa unaishi na yule Dadaako Nesi , mbona unataka kumpa Mzigo Mwingine wa kukusaidia kugharamia Safari ya Lema ? Mhurumie Dadaako bhana !
 
Subiri kwanza bunge liishe afu ndo utume tiketi ya ndege na ulipe hotel na ulete hapa vielelezo hivyo nitakuwa wa kwanza kumpa ushauri KUWA AJE HUKO UK
 
UK unakaa kwa dada yako halafu unaanza kualika watu. Omba kwanza ruhusa kwa shemeji yako (mume wa dada yako) akupe ruhusa ya maandishi uiweke hapa jamvini tumuoneshe Mh.Lema

Kumbe kufua chupi za wazungu kunaweza kumlipia mbunge ? Good sasa mchukue baba yako na mama yako huku kujijini ukae nao huko ndo uanze kumsaidia kamamda lema
 
Mkubwa Lema mimi ndio nilimpokea alipokuja mwanzo na nilimgharamia mpaka alipoondoka na kuwafungulia tawi misukule wenzako . Kama unabisha si umuite tu kamanda wako aje hapa kukanusha?

Umechanganyikiwa sana kwa sisi wanasaikolojia tunaisoma akili yako kwamba unajuta kuondoka chadema

Swali kushiriki katika shughuli za chama huwa ni tendo la hiari tukuulize mwenzetu ulilazimishwa na mtu kama ulihiari utalijua jiji kwa gharama ulizoingia mwenyewe

Ulimkaribisha Lema kwa kumtumia ticket na akalala kwako ulilazimishwa au ulihiari mwenyewe ticket ya UK kwani ppund ngapi ambazo Lema angeshindwa

Kwa sababu huna akili ya kufikiri hujui unajianika kwamba hufai wewe ni tambala la kupigia deki shigela amekuahidi ataongea na Ridhiwani babake akupe ukuu wa wilaya utakuwa lakini wakuu wa wilaya wa siku hizi wanapopotolewa mawe na wananchi manake hawafai kabisa
Huna unalolijua kwenye siasa za maji taka unachofanya ni personal vendetta unamuattack Lema kwa kukuamini na kuja kwenye mwaliko wako lakini wewe unatoa hadharani ukalimu uliomkarimu mtu kwa hiari yako ni shetani tu anaweza kufanya hivyo na mtoto aliyekosa baba si vinginevyo
Zamu ya wiki hii ni Lema baada ya kuchoka na lema ukimaliza njoo na mwingine tunakuhesabia kwamba kibarua chako hakijasogeza jiwe la waanarusha kwa jinsi wanavyoaminia Lema kama hujui muulize mulongo na serikali yake anaingia mvunguni
KIkwete alishaficha kichwa,KInana anaingia usiku Arusha,LOwassa kesha sahau utakuwa wewe ambaye umeshindwa kustaarabika
Mwambie huyu anayewashwa mtu mzima umri wake sawa na mama yake lema wa kumzaa kwamba kama anatafuta toy boy wewe upo na si Lema
 
Ndugu zanguni,

Baada ya kuona kila kukicha tunaendelea kusikia hizi habari zenye kukera
kuhusu kesi inayomkabili mbunge wa Arusha God bless Lema.

Mimi kama rafiki wa zamani wa Lema nimeamua kujitolea kumplipia gharama
zote ili aje hapa UK kukanusha uzushi huu ambao ni aibu kwa taifa letu
kuwa na mbunge ambaye anatafutwa kwa kesi ya aibu ya kubaka.

Mimi kama wananchi wengine sipendi kuona jina la mheshimiwa lina
chafuliwa hivyo nimeamua kuwa nitalipa kila kitu kuanzia tiketi ya
ndege, ada ya visa na pia gharama za hoteli, chakula na vinywaji kwa
kipindi chote mheshimiwa atakapokuwa hapa.

Mheshimiwa Lema najua uko hapa lakini kama haupo basi najua yule kijana
mwenye kutembea sumu mfukoni lazima atakupatia huu ujumbe. Mimi naamini
kama ulivyonisimulia hukubaka ila ....??? na nitasimama kukutetea .
images

JITAMBUE!

Nasikia uliwahi kuwa ndata hapa kwetu.Tueleze baada ya kufika UK umeajiriwa Interpol au ulibakwa ww?
 
Fanya politics, achana na personaL attacks (najua hiki ndio msicho kielewa nyie magamba). Lema kamushika pabaya huyo Dereva (VETA). Na wewe kuwa Uk ni majigambo tu, sie tulikuwa ng'ambo na hata hakujua m2 ww imekuwa ni kama shoo vile. Au hujui ngeli za kujichanganya na wazungu unahitaji coy ya wabongo hasa LEMA?. Fikiria sana kabla ya kuongea ovyo ovyo hii karne ya 21 mkuu.
 
Naloliga na mwanadiwani mnatumia akili zenu au buku saba tu znawafanya mjidhalilishe hivi?
Mnachotetea ni nini hasa kwa ccm?
Hili la lukosi na lema nyie inawahusu nini?au alivosema dr alex kwamba mtu mmoja id kumi.
 
Mkubwa Lema mimi ndio nilimpokea alipokuja mwanzo na nilimgharamia mpaka alipoondoka na kuwafungulia tawi misukule wenzako . Kama unabisha si umuite tu kamanda wako aje hapa kukanusha?

siyo sifa ya mwanamume rijali...ukimsaidia mtu basi matangazo mpaka kwenye misiba?
 
mkuu lukosi, mfanyie booking kabisa

sasa picha ya mtu aliyelala ni siri??? acha uzuzu

Ni jambo jema na la kuungwa mkono

Lema nenda basi Uingereza hata siku mbili kasafishe jina tuone kama utarudi.

Hivi Lema sio verified member JF? Mbona hii kashfa iko muda mrefu na hajawahi kukanusha?

Inawezekana ikawa kweli nini? Maana Lema naye anaonekana mjanja mjanja hivi!

usiitoe wengine hawamjui huyo mbakaji wanasikia tu lema lema

Matusi hayawezi kuondoa ukweli. Utatukana sana mpaka kihehe lakini kesi ya Lema itabaki pale pale. Kama wewe kweli una hekima na busara, Mshauri Lema kwenda UK kusafisha jina lake katika tuhuma zinazomkabili.

Chama jina watu wa ahabu sana kinaongozwa na dj then katibu ni padri aliyeasi then kuna gaidi nayesimamia usalama wa chama now mbakaji naye ni kiongozi duh Yani uongozi mzima una kesi khaaaaa chama kama Gari la mkaa tripu Shamba tripu gereji

Hawa wote ajenda yao ni moja tu .... UDINI!... Chuki zooote hizi ni udini, kukesha kooote huku jamvini ni udini.
 
sasa nyie vitoto vya bavicha mnaogopa nini lema kwenda uk kusafisha jina lake kama kweli hakubaka ??? au kuna kitu mnataka kuficha ? tena analipiwa kila . hii ndio fursa ya lema kutuonyesha nani mkweli.
 
Back
Top Bottom