Search results

  1. HEMED SULEEY

    Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

    watu wenye fani za HRM wanapangwa vitengo gan? msaada
  2. HEMED SULEEY

    Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

    Vp watu wa profesional ya HRM na mafundi ushonaji wanapangwa kwenye vitengo vp?
  3. HEMED SULEEY

    Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

    Sifa gan? Za kuchaguriwa trafic au ffu na vp hrm wanapangiwa vitengo gan?
  4. HEMED SULEEY

    Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

    Hapo kwa ndugu zangu wa engineer na medicin upande wa umri ni shiidaaa
  5. HEMED SULEEY

    Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

    poti mkisha maliza mafunzo kwa profesional ya ubaharia unapangwa wap kazi?
  6. HEMED SULEEY

    Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

    kijana acha kupaniki embu jaribu kwenda kwenye website ya polisi upate uhakika wa mchanganuo mzuri wa miaka, OVER
  7. HEMED SULEEY

    Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

    mkuu embu jaribu kwenda kwenye website ya polisi ili uwe na uhakika zaidi, maana hata mwaka jana umri ulikuwa miaka 18-25 ila kwa diploma na wenye vyeti ila kwa degree ni miaka18-28. OVER
  8. HEMED SULEEY

    Tahadhari kutoka JWTZ kuhusu uvumi wa “ajira za Wataalamu Jeshini”

    Nzuri hiyo tunaipenda, "mambo yote kuwa hadharan"
  9. HEMED SULEEY

    Nafasi za jeshi la polisi kwa graduate kutoka chuo

    Mtaitwa kwenye usaili mwezi wa kumi mwanzoni, baada ya kumalizika kwa usaili wa form 4&6. Kwahiyo muanze kujiandaa kielimu na kimazoezi. OVEER
  10. HEMED SULEEY

    Nataka kujiunga na polisi

    Nenda wizara ya mambo ya ndani kitengo cha polisi (makao makuu ya polisi) wanaweza kukusaidia vizur. OVEER
  11. HEMED SULEEY

    Wale wa uchumi,weka neno la kiuchumi ambalo huwezi kulisahau..

    Mi nakumbuka jamaa mmoja shule nzima alikuwa anajulikana kama "mchumi"
  12. HEMED SULEEY

    kwa yeyote anayetaka kujua kuhusu udsm

    Sifa gan zinatumika kuwapangia first year hostel main camps au mabibo?
  13. HEMED SULEEY

    Msaada: Soko la ajira kwa ded in psychology

    Ndugu yangu kozi hiyo siku hizi ajira zake nyingi zinatolewa na polisi
  14. HEMED SULEEY

    Waliochaguliwa UDSM undergraduate

    Ongela zenu mliochaguliwa UDSM
  15. HEMED SULEEY

    Usaili wa kujiunga na jeshi la polisi 2013

    kijana majina yako mengi sana form 4 kama 3653 na form 6 kama 621 kama nikiyaweka yata chokua kurasa nyingi na itakuwa ngumu kuyasoma, oveer
  16. HEMED SULEEY

    Waliochaguliwa UDSM undergraduate

    Wakuu msaada kwa mwenye majina ayaweke maana wengine simu zetu hazina uwezo wa kusoma pdf
  17. HEMED SULEEY

    kazi ya duka

    Ndugu mie naomba mawasiliano na wewe tu ili nianze kazi mara moja
Back
Top Bottom