CASSIUS
Member
- Nov 1, 2012
- 36
- 5
Naomba mtu yeyote mwenye kujua masomo ya BED IN PSYCHOLOGY baada ya chuo soko la ajira likoje anisaidie. Je serikali huwa inatoa ajira za moja kwa moja kama ilivyo kwa walimu waliosoma mf. BA with Education? Pia anaweza kufanya kazi zipi? Zaidi ya hapo niwapongeza nyote ambao mmesha jua wapi tutakua kuanzia mwishoni mwa september; pia niwatie Matumaini wale wote ambao pengine hawajajua nini ni hatima yao kwa kipidi hiki. Msiwe na shaka Muda si mrefu mtajua tu.