Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,137
- 2,478
Hahahahaa..anahangaikaje mkuu?
BinAfsi kaz ya kufanya kwa amri instead ya kutumia akili zaidi siipendi... Mana unakuwa unaendeshwa na mawazo ya watu flan badala ya utashi wako
Hahahahaa..anahangaikaje mkuu?
ningependa kuuliza kuwa iyo koz itakuwa ya muda,gani alafu je baada ya apo ndio unakuwa polisi wa kuvaa sare uku ukitumikia prof yakoo.....
Dah sir lugoje napenda san ilo jesh bt nakumbuk walikuj jkt wakaniacha kwa kukosa inch moja tu mi graduate na nna 27yrs ilinipain san kk yan inch moja tu du c mchezo mna mashart sana aisee cc vimbilikimo tuna kaz kweli wadau.
Bwana Mkomanzila cwezi kukuhakikishia 100% lakini mwaka wangu mm walichukuliwa hadi wale wafupi tu...alimradi una profession ambayo ni productive kwa jeshi kama vile sheria,IT, HRM, Record managt, accountancy,social work,etc. Jaribu kuomba...ila hautapangwa traffic wala FFU.
poti sifa gan? Zinamfanya mtu achaguliwe trafic au ffu. Na vp watu wa hrm wanapangiwa vitengo gan?
Ur profession is not a matter...the matter is what department are u? Kama hupendi uniform just stay at home keep waiting for ur dream job. Infact..sociology hupangwa dawati la jinsia na watoto, hawavai uniform.
mkuu kabla ya yote napenda kukushukuru kwa dhat kabisa kwa kutuelimisha juu ya haya maswala,, nina swali moja,, ni kipindi kipi unaweza kupangiwa mfano ffu, polisi magereza, traf, na je ni wao wanakupangia au ni wewe unachagua,, hasante saana mkuuukifungua mafunzo ndo utakuwa umeajiliwa, mafunzo huchukua kati ya wiki 35 - 38 huku unalipwa posho nusu (70,000/- or 90,000/-). Adhabu za kijeshi zipo palepale...ikiwemo lock up na kufukuzwa ukikiuka sheria mtakazotangaziwa.
Mkimaliza mafunzo mnaapa kwny sherehe then mnagawiwa vikosi na mikoa au kulingana na profession mlizoingilia. Utavaa nguo kulingana na ulipopangiwa. Wanasheria maranyng hupangiwa upelelezi au mahakamani...so huvaa kiraia. Computer engineers huvaa uniform but nje over roll, the likely to doctors, etc.
Sifa gan? Za kuchaguriwa trafic au ffu na vp hrm wanapangiwa vitengo gan?
mkuu kabla ya yote napenda kukushukuru kwa dhat kabisa kwa kutuelimisha juu ya haya maswala,, nina swali moja,, ni kipindi kipi unaweza kupangiwa mfano ffu, polisi magereza, traf, na je ni wao wanakupangia au ni wewe unachagua,, hasante saana mkuu
Sifa gan? Za kuchaguriwa trafic au ffu na vp hrm wanapangiwa vitengo gan?
bro vip naeza kukucheki kwa inbox ya cm please i need ur directives if pocboPotoshaneni...wengi husema hivo but ushahidi hawana, akiingia huku ukimuuliza vipi unasemaje kuhusu jeshi la polisi, utasikia "aah nilikuwa nasikia mengi kumbe daah ni hulka yamtu binafsi"
I declare interest..binafsi niaskari but sijawahi kupokea rushwa (maana baadhi ya askari haombi rushwa..hupokea). Nipo ofisini nafanya sehem yajukumu langu narudi kwangu. Nmefanya pia kazi za kusimama point na kuznguka na pikipiki...kupokea rushwa ni hulka ya mtu mmoja mmoja sio woote, kama ilivyo sekta zingine kama ardhi na nyumba,mahakama,ugavi,tra au bandari, kuna rushwa kubwa
mmno huko. Over!
bro vip naeza kukucheki kwa inbox ya cm please i need ur directives if pocbo
Vp watu wa profesional ya HRM na mafundi ushonaji wanapangwa kwenye vitengo vp?Jamani kazi za polisi sare haziepukiki na ni kazi ya wito kama kazi zingine hata kama upangiwe CID,INTELLIGENCE au FORENSIC lazima uwe na pea ya sare mara moja moja lazima uvae na ugumu wake ni kipindi huna rank mbona ukianza kupata nyota utatamani uvae daily
bro vip naeza kukucheki kwa inbox ya cm please i need ur directives if pocbo