Waliochaguliwa UDSM undergraduate

lifind jina ulitakalo then angalia namba yake baada ya hapo pandisha hadi namba moja ilipo anzia utakuta code za chuo mfano UD02 hiyo ni main UDD09 hiyo Duce na UDM Hiyo muce
 
aise jamaani baad ya kuchaguliwa. tunatakiwa tufanyeje ????????????????????????????? yaaani step ya 2 ni nn?
 
mmmh jaman mbn wote mloangaliziwa ni bachelor of arts in education tu vp kuhusu ma-eng nn?baas wale wa electrical 2juzane apa...
 
karibuni sana madogo wote mliochaguliwa na UDSM na branch zake,kwanza kitabu kigumu kiukweli kama umekuja kwa bahati mbaya itakuwa shida kwako,so naomba ukija chuo fuata by law ya chuo vizuri,nahisi utaishi kwa amani sana
 
any thing happen 4 reason tumetoka mbali baati ni baati metal watu ni tunakwenda kwa baati hadi kazin kama tumefika udz kwa baati kwa nn ishindikane kazin wangapi wanakililia hicho chuo hawajakipata
 
hv wakuu mmeshndwa kutupia list ya UDSM.kuulza jna mojamoja tunashndwa kwan tunayo meng.alaf sasa wngne tupo kijijn.
 
sorry madudy,UDSM is the home of intellectuals,karibuni madogo sana,ukiwa unasoma UDSM unahisi kama uko HAVARD au CAMBRIDGE UNIVERSITY b'se unakuwa unakubalika ndani na nje ya nchi yetu
 
Back
Top Bottom