Search results

  1. Kilakshari

    Tanzania VS C.A.R

    Haya waungwana, Taifa Stars leo inasaka pointi 3 muhimu mikononi mwa C.A.R ambao kwa sasa ndio viongozi wa kundi D, linalojumuisha timu zingine za Algeria, na Morrocco. Tunaomba wadau wanaojua matokeo au chochote kuhusu mechi hii watuhabarishe. Mungu ibariki Tanzania, ibariki Taifa Stars iweze...
  2. Kilakshari

    Tanzania VS Uganda

    "TUNAJUA matokeo yetu yamewanyong'onyesha Watanzania, hatutawaangusha tena, tutaifunga Uganda na kufuzu nusu fainali," hiyo ni kauli ya nahodha wa Taifa Stars, Shadrack Nsajigwa akizungumzia mchezo wa leo na kunukuliwa na gazeti la Habari leo. Mchezo huo utaonyeshwa kwenye intanet kwa kutumia...
  3. Kilakshari

    Kombe la bonde la mto nile

    Timu yetu ya Taifa inaanza kampeni za kutwaa kombe la bonde la mto Nile kwa kutupa karata yake ya kwanza kesho kwa kupambana na timu ya taifa ya Misri. Stars ambayo kwa mara ya mwisho ilifungwa bao 5-1 na Misri imesema imejipanga si tu kulipa kisasi dhidi ya Misri bali pia kuhakikisha inashinda...
  4. Kilakshari

    Tanzania vs Yemen

    hii mechi inaonyweshwa live online? naomba mnijuze wadau! Asanteni sana!
Back
Top Bottom