Search results

  1. M

    Siku mungu atamke kwa binadamu wote "fuata umpendaye kwa dhati"

    Itokee siku moja Mwenyezi Mungu atutamkie viumbe wake kuwa kila mmoja wetu amfuate yule ampendaye kwa dhati toka moyoni. Hata kama uko kwenye ndoa/mahusiano kama mpenzi/mke/mme wako ndiye basi baki hapo hapo, lakini kama siyo basi mfuate yule ambaye moyo wako unampenda kwa dhati. Nafikiria hivi...
  2. M

    Mkazi wa Kahama Shinyanga ajifungua watano kwa mkupuo

    Anastahili pongezi Bi Shija Maige (33) mkazi wa Kahama Shinyanga kwa kujifuangua salama watoto watano salama na wenye afya nzuri. Lakini hivi serikali yetu huwa inawapatia msaada wa kulea endapo ukipata multiple birth kama hii?
  3. M

    Uchezaji wa Movie na Uzuri wa mtu

    Nimekutana na hii harabari toka Global Publishers, baadhi ya wachezaji wa filamu wakiwaponda wasanii wenzao kuwa hawana mvuto wa kucheza filamu. Mimi nionavyo ni kuwa msanii inategemeana ni sehemu gani anatakiwa acheze na uwezo wake katika kuicheza sehemu hiyo. Hebu tujadilini hili naona hawa...
  4. M

    Utambulisho - Madenge

    Nabisha hodi na nawapa heshima zenu Mabibi na Mabwana wa jamii forum. Napenda kujitambulisha kwenu kama MADENGE. Natumai tutazidi kuwa wote humu mtandaoni. ASANTENI
Back
Top Bottom