Utambulisho - Madenge

Madenge

Member
Dec 2, 2008
93
10
Nabisha hodi na nawapa heshima zenu Mabibi na Mabwana wa jamii forum. Napenda kujitambulisha kwenu kama MADENGE. Natumai tutazidi kuwa wote humu mtandaoni. ASANTENI
 
Karibu sana!! Nina wasi wasi utapata addiction na hii kitu, sisi wengine hushinda humu!
 
Karibu sana!! Nina wasi wasi utapata addiction na hii kitu, sisi wengine hushinda humu!
Nyie shemeji zangu mnaongoza.........dada yenu hataki nikae hapa sana kuna mavitu anayakosa....nikitoka hapa nakuwa na hasira mpaka nashindwa kumpa haki yake...

madenge karibu
 
Nabisha hodi na nawapa heshima zenu Mabibi na Mabwana wa jamii forum. Napenda kujitambulisha kwenu kama MADENGE. Natumai tutazidi kuwa wote humu mtandaoni. ASANTENI

karibu saaana!!wasalimie sana huko Pandia,jinsia yako maana mtu aweza kuita bi madenge kumbe una jinsia ya kiume

samahani kama nitakukwaza kwa hilo.
 
Karibu sana jamvini kwetu. Jisikie huru kuchangia mada yoyote ile. Karibu sana Madenge.
 
Nashukuru sana kwa ukaribisho wenu. Nitajitahidi nisilale humu humu. Jinsia yangu, hii nawaachia LUGHA YANGU INAWEZA KUWAPA MUANGAZA JUU YA JINSIA YANGU. Mimi walio wengi nimejaribu kuwasoma na nikahisi wanaweza kuwa ni jinsia gani (inaweza kuwa si kweli, ila wakati mwingine unaweza kukaribia ukweli)
 
Karibu sana!! Nina wasi wasi utapata addiction na hii kitu, sisi wengine hushinda humu!

LOL!...Masanilo! Wengine wamethubutu kuiita JF mkemwenza au mumemwenza...:) inafurahisha na kutia moyo kuona Watanzania tuna sehemu yetu kwenye mtandao ambapo tunajadili mambo mbali mbali ikiwemo hatima ya nchi yetu ambayo wengi wetu haturidhishwi kabisa na mambo yanavyoendeshwa kifisadifisadi, kupinda sheria na taratibu ili kuwakingia kifua wezi na mafisadi ndani ya chama na serikali.
 
Madenge Karibu sana ndani ya JF,where we dare to talk openly a.k.a The Home of Great Thinkers,karibu sana twahitaji busara zako,Taifa linatutegemea mkulu...Be blessed
 
We dogo uko alosto ndo maana dada zetu hutapata kitu!!! Ama unataka Limbwata?

Nyie shemeji zangu mnaongoza.........dada yenu hataki nikae hapa sana kuna mavitu anayakosa....nikitoka hapa nakuwa na hasira mpaka nashindwa kumpa haki yake...

madenge karibu
 
Welcome again!Najua likuwa Member ukatimka sasa umerudi tena-Kumbuka wagosi walisema "Pema usijapo pema ukipema si pema tena"Karibu tena.
 
Back
Top Bottom