Anastahili pongezi Bi Shija Maige (33) mkazi wa Kahama Shinyanga kwa kujifuangua salama watoto watano salama na wenye afya nzuri. Lakini hivi serikali yetu huwa inawapatia msaada wa kulea endapo ukipata multiple birth kama hii?
hii imetokea kitambo sana na masikini mama wa watu aliwapoteza watoto wake. mara ya mwisho habari zake kuandikwa alikuwa amebaki na mtoto mmoja tu kati ya hao na alikuwa bado hospitali na mama mwenyewe kachanganyikiwa vibaya. ee Mwokozi usitupite unapozuru wengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.