Miaka 50 ya Tanzania ni Mpaka 2014!
Miaka 50 ya Tanganyika ni 2011!
Historia ni historia....huwezi ukaibadilisha.....ukijaribu kuibadilisha unaharibu maana ya historia yenyewe
Tuache huu unafiki na tuwaonee huruma watoto wetu wanaojifunza historia na kuielewa vizuri nchi yao....ilikotoka na...
.....send your ideas.....demand Freedom of Information law to be included in the country action plan [please note:Tanzania will be evaluated based on these commitments contained in the country action plan].....by sending sms and ideas.....you are making your government open up.....time is...
Je, unaishi Dar es Salaam?
Tafadhali, tumia dakika mbili tu ya muda wako kujaza hii dodoso and make a difference!
Electricity Monitoring in Dar es Salaam:Tufuatilie Pamoja
Thomas David
..busara ambayo ina mantiki na labda wenye hisia za kichama zaidi wataona ina makengeza ya ajabu ni hii...chama tawala isishiriki kwa namna yoyote ile katika kuandaa na kutekeleza mchakato wa katiba mpya...sababu ni moja...hawatakubali katiba ambayo itahatarisha uwepo wao madarakani...picha...
Paschal,
Viwango duni?
Kwa hiyo TISS ni TBS ya kupima kitabu kipi kichapishwe na kipi kiachwe?
I don't think so!
Maandiko yake yamechapishwa na Lambert, na ziko amazon, hii ni kuthibitisha kuwa maandishi yamekubalika na ni ya viwango vya kimataifa.
Inawezekana kuna jambo lingine...
Customer care nimegombana nao asubuhi....hao ni kuwaacha tu kama walivyokuwa zamani...na kama huko tunakokwenda huduma ni nzuri na hakuna mizengwe kama yao basi ndio kimoja....this really stinks!!!!!!
Bunge ni mhimili wa dola unaofanya kazi kwa niaba ya wananchi. Hoja binafsi ya katiba mpya imewasilishwa bungeni, na huko ndiko kutaundwa baraza la kutunga katiba, na watakaofanya hivyo ni wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia wawakilishi wao bila kuingiliwa na Serikali. Na ni huko...
Hakuna mpambe wala pamba bali mapambano ya hoja na sera badala ya sura Vijana Bwana. Sijui wakoje siku hizi. Wakati sisi tulikuwa tayari kukubali tunayoambiwa, tuliwaamini watu, vijana wa siku hizi wanataka kuhoji kila kitu. Wanataka kupima na kujiamulia wenyewe. Hebu angalia pepe...
Waheshimiwa wanafahamu (wahusika wote) kuhusu vifo vinavyosababishwa na utapia mlo.Vifo hivi vinawahusisha watu maskini sana katika maeneo ya vijijini ndio maana hazibang kwenye vichwa vya habari.Hizi takwimu ziliwasilishwa na nadhani katika mojawapo ya mikutano iliyofanyika pale ofisi za...
Unga wa Ngano unaouzwa Tanzania na kampuni ya Bakhresa (na wengine) is not fortified (kikwazo=TBS)
Sharti mojawapo ili kampuni ya Bhakresa iuze bidhaa zake nchi za Afrika Mashariki na kati, ni lazima ziwe fortified, bila hivyo haziwezi kuingia katika nchi hizo.
Je?
Hayo ni matangazo ya...
Yes, they are happy, if not, they could have already set up the fortification standards.124 days past since TBS promised to set fortification standards!
Over the past decade over 600,000 children aged below 5 years are estimated to have died as a result of malnutrition in Tanzania. This year...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.