Thomas David
Member
- Aug 22, 2008
- 51
- 3
Lets be serious on this matter.
Hivi tunataka katiba mpya au kumuondoa JK madarakani? Maana it seems hakuna anaye jua umuhimu wa katiba japo tunaimba huo wimbo!! just look at your statement: yaani katiba itungwe ibague baadhi ya watanzania? wala sioni kama unaelewa unachoandika. katiba itakayo andikwa ku-favour au kukandamiza kundi moja la jamii itakua short lived! JK akitoka (if that is your main problem) then what?
ukitaka kujua bado hatujui what we need, angalia jinsi CUF walivyo fanya yaani wanaandika mawazo yao, then wanaandamana eti wameandika katiba! wakati wanasema hii ya sasa iliandikwa wakati wa chama kimoja kwani CUF ni vyama vingapi?
Chadema nao mbio wanapeleka hoja binafsi juu ya katiba wakati kimsingi imekubalika hivyo kwamba hatuitaki hii iliyopo tunataka mpya. halafu hivi tunamdai nani katiba? sasa hivi tusipoteze wakati kupiga makelele, tuacho hitaji ni jinsi ya kuipata, JK alipropose tume yakuunda, well we do not trust each other, so it seems that is not a viable option, kuna nyingine mbili White paper na kuunda bunge la katiba. lets think along these lines matusi hayatatupa katiba ya kudumu.
Sote tunajua the Best and most democratic country in the World ni India, katiba yao imekua ammended mara hamsini na inalinda maslahi ya watu Billion plus.
USA katiba yao iliandikwa 200 yrs ago bado ina kidhi matakwa ya wamarekani wote.
our current constitution ina miaka 50 so we need kuhakikisha itakayo andikwa itatuongoza for 50 yrs and beyond. and it should be better than all our neighbours! tuzisome zoote za majirani tu establish makosa yao (nothing is perfect) then tuboreshe.
lastly, tuache matusi hayajengi hata kidogo, sababu hii ni nchi yetu wote hata kama humpendi jirani yako, just remmember God gives you only the ability to choose friends, not neighbours! so love your neighbour and make peace with your enemies.
I am out.
Kikwete ni nani na bunge ni nani?
Ibara ya 62(1) Inasema kutakuwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano ambalo litakuwa na sehemu mbili, yaani Rais na Wabunge.
Kwa maana hiyo Kikwete yuko ndani ya na ni sehemu ya Bunge.
Umetoka usingizini au?Mbona mihemko hivyo?Matusi yako wapi?Ainisha moja tu?
Kwa jinsi nilivyoilelewa hii thread ni kwamba, hoja ya katiba mpya ianzie bungeni na si kwa Rais
Soma uelewe msingi wa hoja siyo unakurupuka tu na kumwaga upupu![/QUOTE
Lets be serious on this matter.
Hivi tunataka katiba mpya au kumuondoa JK madarakani? Maana it seems hakuna anaye jua umuhimu wa katiba japo tunaimba huo wimbo!! just look at your statement: yaani katiba itungwe ibague baadhi ya watanzania? wala sioni kama unaelewa unachoandika. katiba itakayo andikwa ku-favour au kukandamiza kundi moja la jamii itakua short lived! JK akitoka (if that is your main problem) then what?
ukitaka kujua bado hatujui what we need, angalia jinsi CUF walivyo fanya yaani wanaandika mawazo yao, then wanaandamana eti wameandika katiba! wakati wanasema hii ya sasa iliandikwa wakati wa chama kimoja kwani CUF ni vyama vingapi?
Chadema nao mbio wanapeleka hoja binafsi juu ya katiba wakati kimsingi imekubalika hivyo kwamba hatuitaki hii iliyopo tunataka mpya. halafu hivi tunamdai nani katiba? sasa hivi tusipoteze wakati kupiga makelele, tuacho hitaji ni jinsi ya kuipata, JK alipropose tume yakuunda, well we do not trust each other, so it seems that is not a viable option, kuna nyingine mbili White paper na kuunda bunge la katiba. lets think along these lines matusi hayatatupa katiba ya kudumu.
Sote tunajua the Best and most democratic country in the World ni India, katiba yao imekua ammended mara hamsini na inalinda maslahi ya watu Billion plus.
USA katiba yao iliandikwa 200 yrs ago bado ina kidhi matakwa ya wamarekani wote.
our current constitution ina miaka 50 so we need kuhakikisha itakayo andikwa itatuongoza for 50 yrs and beyond. and it should be better than all our neighbours! tuzisome zoote za majirani tu establish makosa yao (nothing is perfect) then tuboreshe.
lastly, tuache matusi hayajengi hata kidogo, sababu hii ni nchi yetu wote hata kama humpendi jirani yako, just remmember God gives you only the ability to choose friends, not neighbours! so love your neighbour and make peace with your enemies.
I am out.
unajua unachofanya kweli?