Search results

  1. D

    Natafuta dalali Dar

    Habari za majukumu wadau Natafuta dalali ambaye anaweza nisaidia kupata wanafunzi wa chuo, nina hostel maeneo ya Mbagala kipati. Hostel ipo kadiri ya kilometa 5 toka vyuo vya TIA na Chuo cha Diplomasia na kilometa 6 chuo cha DUCE. Kama kuna mtu anaemjua dalali yeyote mzuri anisaidie namba zake...
  2. D

    Peugeot

    Kuna mtu anaitwa Nathoo(Natu), anaweza akakuagizia. We have Peugeot 607 na vifaa vingi tunaagiza kwake. Lakini pia hua tunaagiza UK kuna watu nawajua ambao wanaweza kukuletea huku. Ni wewe tu bajeti yako ila dunia siku hizi ndogo vitu vinapatikana.
  3. D

    Natafuta nyumba ya kupanga

    Hi, Wana JF natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mbezi beach, mwenge au mikocheni. Iwe na ukubwa wa wastani angalau ya vyumba viwili vya kulala.
  4. D

    Nyumba ya kupanga iringa-mkimbizi

    Wadau, habari? Napangisha nyumba Iringa maeneo ya mkimbizi iko katika hali nzuri sana, Kodi kwa Mwezi ni 300,000 Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane katika namba 0717373190, Asante.
  5. D

    Natafuta spare za ford escape/mazda tribute

    Actually mi naendesha ford maverick ambayo ni sawa kabisa na ford escape, ni manual 2.0. Ni gari nzuri kwa kweli,nimesafiri nayo sana sema sasa mashock up hayo yananizingua ila asante sana kwa ushauri
  6. D

    Natafuta spare za ford escape/mazda tribute

    Wadau habari zenu, Natafuta spare za ford escape, kwa mtu anaejua zinapatikana wapi au alienazo naomba anisaidie. Natafuta shockups, clutch plates,
  7. D

    Ushauri kuhusu peugot 206

    Mi nna peugeot 607 na tunanunua spare kwa Nathoo,kitu kibaya ni kwamba spare sio cheap,ila peugeot ni gari nzuri sana.
  8. D

    Nissan patrol inauzwa

    for contacts please call 0717373190
  9. D

    Nissan patrol inauzwa

    haijachakachuliwa kabisa.
  10. D

    Nissan patrol inauzwa

    Nissan patrol inauzwa Features SGL 3.0 Di, Manual transmission,ya mwaka 2001, Service history CFAO/DT DOBIE, imetembea kilometres 80,000. Iko katika hali nzuri sana Bei ni TSH 38,000,000 imelipiwa kodi (bei maelewano)
  11. D

    Nafyatua Matofali ya Hydrofoam

    Wadau nauza/nafyatua matofali ya hydrofoam kwa sh 550 kwa tofali. Piga namba 0785318248 kwa maelezo zaidi.
  12. D

    Restaurant staff needed

    Restaurant ipo Tanzania Dar es Salaam,it is still under construction but need staff for training.
  13. D

    Restaurant staff needed

    Jamaican Caribbean gourmet restaurant We are looking for candidates who can fill the following Restaurant posts: 1. Restaurant Manager-1 2. Bartender 3. Waiters 4. Kitchen head staff-1 5. Assistant chef-2 6. Kitchen Porter-1 Generally applicants should have the following • Fluent in...
  14. D

    How did these guys became successfull

    okay nakubali sawa,what i wanna know is waliwezaje kuanzisha their business.?Upo hapo mjomba?
  15. D

    How did these guys became successfull

    I really need to know how did the owner of Jamiiforum and Zoomtanzania became very successfully in such a short time?Naombeni siri ya mafanikio yenu jamani.
  16. D

    Jobs at Seacom

    kaka ni kweli bwana majuu kitu gani.ku-fight hapa hapa bongo kwa kweli we ni mzalendo kweli let us keep in touch.
  17. D

    Looking for two IT interns

    hi guys.it has been so long........... Nakuja
Back
Top Bottom