Search results

  1. Jamesh

    Landrover discovery inahitajika.

    Wakuu nahitaji kununua Land rover Discovery ya diesel iwe ya kuanzia mwaka 1997 na kuendelea. Iwe kwenye hali nzuri, Ofa yangu ni Tsh 9milioni.
  2. Jamesh

    Natafuta mwanamke wa kuzaa naye.

    Tangu nikiwa na umri wa miaka 25 nilitamani kuwa na mwenza lakini kwa bahati mbaya sijajaliwa kumpata ambaye naona tunaweza kuanzisha familia pamoja. Naomba nieleweke kuwa I'm not so selective au sio kila mwanamke hafai au sio mwaminifu katika mahusiano ila mimi kwa bahati mbaya sijajaliwa...
  3. Jamesh

    Malipo kwa gari kuukuu.

    Wana JF, kuna mtu yeyote anafahamu gharama za malipo ya gari (used) baada ya kufika bandarini. Mfano umeagiza used car kutoka Japan ikiwa imekwisha kulipiwa gharama za usafirishaji (freight cost) je kuna gharama gani (iwe ni kwa idadi ya pesa au asilimia) ambazo utatakiwa kulipia ili uweze...
  4. Jamesh

Back
Top Bottom