Search results

  1. TRACE

    Englisha Medium watoto wanaweza kumaliza shule wakiwa na vidonda vya tumbo

    Umeona na kutushauri vizuri sana.Pia naomba nikushauri.Ukiona inafaa wapeleke watoto shule ambayo iko karibu na unapokaa na inayokupendeza kwa vyote na achana na shule isiyokupendeza,mwache kila mtu apeleke watoto anapotaka ambapo halazimishwi.Wache wamiliki waweke vigezo vyao ukiona havikufai...
  2. TRACE

    Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

    Nitakucheki basi mkuu nikiweka mambo sawa.Nitupie namba
  3. TRACE

    Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

    Habari.Unaweza nipatia namba ya huyo jamaa.?
  4. TRACE

    Natafuta Kiwanja Dar es Salaam

    Habari Mkuu.Nicheki kupitia 0784 505171 tufanye biashara
  5. TRACE

    Nimefukuzwa na mwenyeji wangu naomba msaada wa hifadhi Dodoma

    Ume join JF jana tu ila upo kama unafahamu
  6. TRACE

    Kenya 2022 Ni kweli hii imetokea Kenya kwenye uchaguzi huu au ni ya kitambo?

    Kwa hili nawapongeza kwa kweli.Wako hatua nyingi sana mbele.
  7. TRACE

    Msaada jamaa yangu amehakiwa Whatsapp

    Walicho fanyia ni kuwa hacker inavyoonekana alfa jirejister kwenye device nyingine six digits codes ikaenda kwa simu halali ya mshkaji kisha haka akamwomba mshkaji amrushie zile code kwasababu mshkaji hakuelewa nia au tuseme sii mtaalamu kidogo wa maswala ya tech akatumtumia na hapo ndipo...
  8. TRACE

    Msaada jamaa yangu amehakiwa Whatsapp

    Samahani kama kichwa cha habari hakijatulia.Naomba mwongozo wa nini kifanyike au nimshauri rafiki yangu whatspp namba yake ime be hacked na aliyemhak sasa ana access magroup yote ambayo jamaa yupo na anamtoa na kuleta usumbufu
  9. TRACE

    Kitendo cha kuwakatalia Wakurugenzi wa Kenya na kuruhusu wengine ni ubaguzi

    Wewe ni Mkenya au Mtanzania uliyetumwa kuandika haya na wakenya??? Basi sawa umeeleweka. Lakini sisi Watanzania watoto wa Baba yetu Mpendwa Dr.John Pombe Joseph Magufuli tunamkubali yeye,maono aliyokuwa nayo pamoja na sera zake.Hata hilo unalolalama hapa wasaidizi wake wenye ueledi wameliona na...
  10. TRACE

    Kenya imetoa picha gani kwa kuiruhusu Tanzania na kuiacha nje Somalia?

    Naona sasa maboresho ya hospitali yetu teule ya Milembe pale Dodoma yazidi kuboreshwa kwa hali hii tutarajie wagonjwa wa magonjwa yale kuzidi kutoka nchi jirani kwani hawajui watokako wala waelekeako.
  11. TRACE

    Kenya imetoa picha gani kwa kuiruhusu Tanzania na kuiacha nje Somalia?

    wakenya wanafiki sana Mkuu.Safari hii wamekutana na Babalao.Long live Rais wetu mpendwa Dr.John Joseph Pombe Magufuli kwa kutudumishia heshima.Hapo Mkuu umemaliza kila kitu sijui kama kuna mtu ataweza kuijibu hoja yako hapo.
  12. TRACE

    Kenya imetoa picha gani kwa kuiruhusu Tanzania na kuiacha nje Somalia?

    Sure.There you are.I love My stable Country Tanzania
  13. TRACE

    South Sudan is in negotiation with Uganda and Tanzania to use Hoima-Tanga pipeline after DRC Congo

    Huyo jamaa anayejiita MK254 sijui yuko na hali gani sasa hivi? Kwani walibana wakaachia kuhusiana na suala la upimaji wa CORONA etu wakatupatia masharti,tukawaambia wafuate masharti ya Mother Country "The King of East Africa" = Tanzania. Na hii ya sasa ndio atakuwa hoi bin taabani.Viva Tanzania
  14. TRACE

    Precision Air: Kenya kuiruhusu kampuni ya ndege kutoka Tanzania licha ya mgogoro

    Nilijua wataachia kwani hawana ujanja wa kubana bila kuachia na sasa nasubiria utetezi wao wa kijinginga wa kwanini wamebana kisha wakaachia.Dr.John Pombe Joseph Magufuli Babalao
  15. TRACE

    Namna ya kutatua hili la ndege za Watanzania ni kumpima kila mmoja wao kama ilivyo mpakani

    Habari yako jirani?? Hii imekaaje huko?? Kenya’s Health Workers, Unprotected and Falling Ill, Walk Off Job
  16. TRACE

    Shirika la ndege la Kenya Airways lasema bado Tanzania haijaruhusu ndege zake kuingia nchini

    Sweden's Covid expert warns UK: opening and closing schools would be disastrous
  17. TRACE

    Shirika la ndege la Kenya Airways lasema bado Tanzania haijaruhusu ndege zake kuingia nchini

    Haya yote si ukayalilie kwenu kenya?? Sisi tulivyonavyo vinatutosheleza na vitatusheleza.Mpaka muwe na adabu ndiyo tutajaribu kuwafikiria. Ebu nikumbushe tena,mlikuwa mnamiruko mingapi vile kwa siku huku kwetu Tanzania na hasara kiasi gani mmepata mpaka sasa kwa kukosa hiyo miruko?? Tunataka...
  18. TRACE

    Shirika la ndege la Kenya Airways lasema bado Tanzania haijaruhusu ndege zake kuingia nchini

    wakenya mtajibeba safari hii.Si mlimwaga mboga? Sasa sisi tumemwaga ugali. Hivi najiuliza tu,kwani wakenya walifanya uwekezaji wa ndege zao wakiitegemea The Great Country Tanzania? na kama ndiyo hivyo mbona hawatuheshimu na wakati tumeshika kwenye mpini angali wao wameshika kwenye makali...
Back
Top Bottom