Search results

  1. M

    Lowassa: Nitashusha bei ya mafuta

    Umenifurahisha sana ebu waeleze hata wajitambue kidogo
  2. M

    LEMA anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa faida ya nani?!

    upo sawa mkuu unajua watu hawapendi kuambiwa ukweli mimi sijaona kitu ambacho lema amekifanya toka amekuwa mbunge zaidi ya maandamano, vurugu na shida tu ndani ya A town hili ni jiji la kitalii bwana wala usiongee sana nani asiyemjua kuwa alikuwa mpiga debe ndiyo shida yenye mkuu achana nao...
  3. M

    Mishahara ya marais duniani

    shida ya wabongo tunapenda kujudge vitu ambavyo havituhusu wewe hizo salary zao umezipata wapi na una uhakika gani na salary zao ebu jaribu kufuata yanayotuhusu achana na mambo ambayo yapo nje ya uwezo wako, think about your country forget about the rest
  4. M

    Unyama -unyamani!

    hiyo inaitwa tit for tat, yaani kula vya watu na vyako viliwe
  5. M

    Shirika gani lilikufa na bado linakuuma?

    hivi mmesahau redio za philips kiwanda kilikuwa Arusha, je Tanzania foods inaumaaaaa, acha tu
  6. M

    Kwa nini wachaga ni wabaguzi sana katika vyeo- bila kuwa mchaga hupandi cheo

    wachaga wana kila sababu ya kushikilia sekta nyingi kwanza ukienda mkoa wowote ukakuta kuna maendeleo basi jua wachaga wameamia hapo kama anaanza kazi ya umachinga baada ya miaka 2 unakuta kajenga gorofa c mchezo hawa jamaa hivyo tusiwaonee wivu ni juhudi zao
  7. M

    usiposema ni mrembo ni wivu tu

    mie naona ni wivu tu unanisumbua but ujaona wazuri nini?
  8. M

    Huyu ndie Padre aliyeuawa Zanzibar

    R.I.P. father Mushi
  9. M

    Kama mke hazai ni vema kuachana naye?

    tusilaumu kuwa wanawake hawazai je umeshajaribu kwenda hospital pia wanaume siku hizi wapo wengi tasa hasa kutokana na msongo wa mawazo, uvutaji wa sigara, pombe, mihadarati, hata laptop tunazotumia hasa tukiziweka kwenye mapaja pia zinaleta matatizo, kuendesha magari hasa safari ndefu kwa muda...
  10. M

    Mistari mapajani

    huo ni ugonjwa na unatokana na baadhi ya akina dada kutumia vipodozi ambavyo vina sumu fulani suluhisho ni kwenda hospital kwa ushauri zaidi pole sana kaka
  11. M

    DCI Manumba akata kauli

    mie naona wanatukaushia tu amekwisha R.I.P hapo hakuna namna siku hizi mambo ya kawaida wala hatupaswi kushtuka
  12. M

    Natafuta mpenzi [msichana mzuri}

    nadhani kwa kuwa wachina wako juu kwa sasa akitumia hivyo virutubisho vya kichina ndo utapata mwanamke mwenye sifa zote ambazo umezitaja hapo juu hongera kaka
  13. M

    Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

    mmh hapo amwombe mwenyezi Mungu ili mumewe abadilike cos kumwacha cyo solution kama jamaa amezoea ataendelea na mchezo tu na pia atakuwa amempa nafasi nzuri zaidi ya kuendeleza mchezo wake ampeleke akapewe ushauri nasaa
  14. M

    CHADEMA waelezeni wananchi mema yenu na siyo kuwa mabingwa wa kukosoa tu

    shida ya CHADEMA ni kwamba hata maandamano yao lazima watu waumie ni kwa nini? tujiulize wadanganyika ni kweli CHADEMA itakufa kama ilivyokufa NCCR hizo ni nguvu za soda tu tuone mwisho
  15. M

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    tuzidanganyane hakuna hata mmoja atakayeweza kukuletea maendeleo isipokuwa ni wewe mwenyewe kwanza Zitoo ni kichwa huyo Slaa ni matatizo tu kama aliushindwa upadri na sisi c atatuyumbisha tu bwana rais ni wewe mwenyewe wanasiasa wote ni wasanii tu ikulu kunani?
  16. M

    Kumzalia Mtu: Mbinu mpya ya kujimilikisha kitu forever! (Gambling/Kamari katika Mapenzi)

    hahaha kwa kweli kumbebea mtu mimba cyo tiketi ya kuolewa kwani wanaume wa kisasa hata wanawake huwezi kuta anaoa au kuolewa bila ya kuwa na mtoto ambaye alizaa enzi hizo hivyo kwa sasa wanawake wasijidanganye kubeba mimba hovyo hayo ni mawazo yangu
  17. M

    Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

    Matokeo yameshatoka jamani mwenyekiti ni yuleyule na membe kapita je Lowasa atasema nini?
  18. M

    Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

    Nguo inauzwa sh. 10,000.= wewe huna pesa, ukaamua kukopa kwa dada yk sh. 5000.= na kwa kaka yk sh. 5000.= ukapata sh 10,000.= ukaenda ukapatana na muuzaji akakuuzia kwa sh. 9700/= ukabakiwa na 300/= ukaamua kumlipa dada yako 100/= na kaka yako 100/= ukabakiwa na 100/= dada akawaanakudai 4900/=...
  19. M

    Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

    Mie kwa upande wangu nashanga kuhusu hiyo rufani yake kweli kuna ukweli wowote cos kila wakati inahairishwa je nani mkweli kwenye hili suala lake:israel:
  20. M

    Hapa kuna mapenzi kweli jamani?

    mpenzi wangu haeleweki nikimpigia simu, tupange lini tuonane ananijibu kuwa hana muda siku nyingine anasema ana kazi nyingi mara anafua mara anaenda kanisani alimradi visingizio kibao :A S-baby:
Back
Top Bottom