Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

Kuonyesha mleta mada alivyo kilaza, ameshindwa hata kulibadili kidogo ili lionekane jipya.
kwani ungesema nguo inauzwa mfano 20000 afu akaenda kukopa 10000 @, lazma ungeshidwa kulifrem.
 
Kuonyesha mleta mada alivyo kilaza, ameshindwa hata kulibadili kidogo ili lionekane jipya.
kwani ungesema nguo inauzwa mfano 20000 afu akaenda kukopa 10000 @, lazma ungeshidwa kulifrem.

kuonesha kua ww ni kiinua umeshndwa hata kujib.
 
:evil: Ni hivi unatakiwa kujua kwanza ndani ya hiyo 9700,ulichangiwa sh.4850 toka kwa dada na kaka yako.Kwa hiyo kati ya hiyo sh.300 iliyobaki kila mtu anakudai sh.150 na wewe ukaamua kuwalipa kila mtu sh.100.Then kila mmoja atabaki anakudai sh.50,jumla inakua 100 ambayo ndio uliyo baki nayo.UMENIPATA......????
 
NAJUA WE MSOMI. HEBU NISAIDIE HILI SWALI.
umekwenda town umekuta nguo inauzwa 10,000/=. we huna ela, unaenda kukopa 5000 kwa dada na 5000 kwa kaka, unapata 10000 unaenda kupatana unauziwa kwa 9700 unarudishiwa 300, unaamua kupunguza den sh.mia kwa dada na sh.mia kwa kaka, unabaki na mia, dada anakudai 4900 na kaka anakudai 4900 ukijumlisha unadaiwa 9800
ukijumlisha na mia yako inakuwa 9900. sh.mia imeenda wp ili itimie elfu kumi? nasubir jibu

umepatia kila ki2 mpaka kwenye red inapoishia. Mfano: mimi nakudai 500 we una 100, huwezi kujumsha 500 nnayokudai na 100 uliyonayo ikawa 600, kama nakudai 500 ukinipa miaa nakudai 400. Pale juu wote wanamdai total ya 9800 akiwapa 100 iliobaki wanaendelea kubaki wanamdai 9700, sio 9900 tena.
 
Nguo inauzwa sh. 10,000.= wewe huna pesa, ukaamua kukopa kwa dada yk sh. 5000.= na kwa kaka yk sh. 5000.= ukapata sh 10,000.= ukaenda ukapatana na muuzaji akakuuzia kwa sh. 9700/= ukabakiwa na 300/= ukaamua kumlipa dada yako 100/= na kaka yako 100/= ukabakiwa na 100/= dada akawaanakudai 4900/= na kaka 4900/= jumla inakuwa 9800/= ukijumlisha na ile mia yako inakuwa ni 9900/= swali, mia imeenda wapi?:sleepy:
 
Back
Top Bottom