Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA?

  • Zitto Z. Kabwe

    Votes: 180 15.3%
  • Wilbrod P. Slaa

    Votes: 996 84.7%

  • Total voters
    1,176
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
tuzidanganyane hakuna hata mmoja atakayeweza kukuletea maendeleo isipokuwa ni wewe mwenyewe kwanza Zitoo ni kichwa huyo Slaa ni matatizo tu kama aliushindwa upadri na sisi c atatuyumbisha tu bwana rais ni wewe mwenyewe wanasiasa wote ni wasanii tu ikulu kunani?
 
Mi naona kinachosemwa kinasema na watu wasio kuwa na utafiti hata kidogo na kawaida wanasema husipokuwa na utafiti hauna haki ya kuongea fanyen utafiti kwanza msikulupuke na kuanza kusema tena kwa dharau Zitta ana mazuri mengi na slaa nae anayo na mtu mwenye busara huwezi kumlinganisha zito na mnyika na lema wala shibuda
 
Hivi Slaa mwenyewe amesema atagomea uraisi?
tutamlazimisha agombee 2015 kama tulivyo mlazimisha agombee 2010,
tena safari hii akijitia kukataa tunamtia vibao na tunamnyooshea na kiguu cha kuku kwenye paji la uso,
hawezi kutuacha hivi hivi.
 
ujana wake nayo ni sifa? Kwani ukiwa mzee huwezi kuwa rais?
Sababu za kuto mchagua zitto kabwe
1. Hana sifa ya kugombea urais coz hajatimiza umri unaotakiwa na sheria
2. Hana sifa ya kugombea coz ana uchu wa madaraka
3. Hana sifa ya kugombea urais coz hana busara na hekima
4. Hana sifa ya kugombea coz anatumiwa na ccm

sina upinzani nahoja zako. Hafu mtoa mada anaweza akawa ametumwa!
 
hivi hii haijafungwa tu, maana mshindi mbona yupo wazi kabisa.
 
Tunawaamin wote ila slaa tunamtaka kwanza baadaye zamu ya zitto yote yafanyike kidemokrasia siyo kuteua hata zitto akpata kura nyingi tutampa nafac mapendekezo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom