Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

JK anacheza kwa kufanikiwa kuongezewa muda ili aweze kumalizia ngwe yake, wakati mwingine namuonea huruma kwani Changamoto alizonazo ni nyingi mno.

Najiuliza kama CCM baada ya mkutano huu kama itakua imezaliqa upya na kuua makundi????

JK anashangilia kumshinda Lowasa, naye Lowasa anajipanga kummaliza katika ngwe iliyobaki.
 
Najiuliza kama ungekuwa uchaguzi wa CDM sijui kama wangepewa airtime hii baada ya uchaguzi kwisha????
 
Najiuliza kama ungekuwa uchaguzi wa CDM sijui kama wangepewa airtime hii baada ya uchaguzi kwisha????
thubutuuu CDM ipewe airtime ya namna hii, na wanafanya hivi ili kujaribu kuteka hisia za wananchi lakini bado ni ngumu tu.
 
Lowassa ni mgonjwa aisee.
Huyu jamaa si akae na kula pesa zake tu!!

Namuonea huruma.
 
Kumbe uamsho ni wa CCM ! Mbona kwenye mkutano mkuu wanaimba uamsho bye bye......ni ujumbe kwa kundi lipi?
 
Najiuliza kama CCM baada ya mkutano huu kama itakua imezaliqa upya na kuua makundi????

JK anashangilia kumshinda Lowasa, naye Lowasa anajipanga kummaliza katika ngwe iliyobaki.

ila nimeshaanza kuamini lowasa wanamsingizia tu,kuhusu vipeperushi.
Kuna watu nje ya ccm walipanga hilo zengwe.
 
Nape naona analeta Matusi, anasema wapinzani wako kwenye TV wanakodolea macho wakizani kama watashindwa!!!!!, wamemshinda nani sasa, au hayo makundi yao ndani ya CCM kazi kwelikweli.
 
Wapinzani wanawaumiza sana kichwa wanaccm, nape kila baada ya sentensi mbili anasema eti hichi ni kilio kwa wapinzani wanaokodolea shuhuli yao kupitia tv.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ninaamini tena kwa dhati kuwa mwaka 2015 January Makamba atakuwa katika top three ya wagombea wa CCM ikiwezekana ndiye rais 225 kama si 2015 Tanzania.
 
Wapinzani wanawaumiza sana kichwa wanaccm, nape kila baada ya sentensi mbili anasema eti hichi ni kilio kwa wapinzani wanaokodolea shuhuli yao kupitia tv.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Nape ni mshehereshaji kwa hiyo hama budi kusema hivyo.
 
Jk anaongea uongo mchanganyiko, matusi mchanganyiko, na kuthibitisha aliyosema Slaa huku akimkana Mwanae.Kuw awlaikuwa La kairo na timu nzima wakipanga issue.
 
Back
Top Bottom