Search results

  1. A

    Watoto wadogo vs wasiojiweza kiakili

    Wakiwafanza watoto Washindwalo kutambua, kwa uzoba kuwajaa, Kila wakiwachezea, wao huwa ndio juha, Vijembe wakivitia, wakawa wanaotaniwa, Wakiwafanza watoto, wao huwa taahira! Uongo waliojaa, huwa wanatambuliwa, Kweli wakiikataa, nguo zao hujivua, Uchi tuakjionea, hadharani walokuwa...
  2. A

    Vyombo vya Habari vimedanganya wagonjwa vifundishwe somo:

    LEO ni kile kinachoitwa sikukuu ya wajinga. Sikukuu ambayo haina mashiko yoyote katika mila na utamaduni wetu. Baadhi ya vyombo vya habari na waandishi wa habari wamedanganywa na kisha kuudanganya umma kwamba Babu wa Loliondo kakodiwa ndege kuja Dar au Zanzibar na hivi sasa kuna mamia ya...
  3. A

    CHADEMA na tishio la Tendwa kukifuta Chama kisa Maandamano/M4C

    Babu Tendwa vipi tena ? Maana nilivyomsikia nilifikiri katumwa na Katibu Mkuu wa CCM kukishtumu kipenzi cha wananchi leo-CHADEMA eti. Kama mnavyoona ndugu zangu kuna watendaji wengine utadhani gramaphone ya zamani inapiga rekodi iliyotoboka! Are we serious ?
  4. A

    Siyo kosa la Kikwete, ni la Mkapa

    The Genesis of a potential African KleptocracyBy Kabwe Ziritto Kabwe and Hamdani Haruna NassibMoi University, Nairobi, Kenya.MULTI-party politics in Africa has produced a unique opportunity for politicians, crooks, corrupt government officials and misguided foreign government leaders to team up...
  5. A

    Uchafu mitaani Dar: Nani alaumiwe?

    NI AIBU iliyoje kwamba jiji hili pamoja na viongozi wetu kuwa wanakwenda nje kila siku na kuona jinsi miji ya wenzetu ilivyo mizuri na misafi ndilo linaloongoza kwa uchafu. Japo bahari ni pua na mdomo, lakini eti maji yanasimama na kutuama Magogoni karibu na ofisi yao. Hivi, wenzangu Watanzania...
  6. A

    Afrika Haiwezi KUendelea: Asilimia 90 ya bongo za viongozi wake wanafikiria ngono

    JARIDA maarufu Ujerumani linahabarisha kwamba ni vigumu kwa Afrika Kuendelea kwa kuwa viongozi na watu wake wanafikiria habari za maendeleo kwa kiasi cha 10% tu tofauti na wenzetu huko Ulaya, Japani, China na Korea ambapo mawazo ya maendeleo yanachukua zaidi ya asilimia 60 za akili zao. Ngono...
  7. A

    Viongozi wa juu wakiwa kigeugeu wa chini itakuwaje?

    WAKATI Waziri Mkuu, Mizengo Pinda anazindua mabasi ya CRDB kwa ajili ya wanafunzi amesikika akisema yeyote anayetaka kuchangia mabasi kama hayo ana uhuru wa kupaka rangi yoyote anayotaka gari zima. Wakati huo huo, kama sikosei kuna Mamlaka ambayo nadhani imebarikiwa na mkuu huyo ambayo imetoa...
  8. A

    Mgomo wa wafanyakazi wasitishwa kwa muda

    -- Kikwete, WEF na TUCTAMIMI nilidhania kwamba Mheshimiwa angeliwaita wataalamu wa mambo ya uchumi, ajira,haki za wafanyakazi ili afanye nao mjadala.Kwanza, nianze na hili la barabara kufungwa kwa siku nne-maana radhi iliyoomba siyoya dhati. Ingelikuwa ya dhati basi waliohusika na mpango huu...
  9. A

    Sumatra uzi ule ule!

    SISI wakazi wa Dar na vitongoji vyake tunajua leo wenye daladala wameamua kufanya unyama wao na kuonyesha kukosa utu na ubinadamu wao. Tunaikubali shida hii ya leo, na tunawapa moyo SUMATRA kuwa sheria za nchi barabarani lazima zifuatwe. Tunataka wakati ufike watoto, wanafunzi, wazee, walemavu...
  10. A

    Ndizi Tiba ya Ukimwi

    Ni kweli nimesikia haya kwenye sauti ya BBC Jumamosi iliyopita..Sisi walima ndizi basi tuangalie jinsi ya kutengeneza misosi mbalimbali ambayo itakuwa ni kama vile lishe bora dhidi ya maambukizi ya ukimwi! !!!
  11. A

    Mkoani si Rais ataleta maendeleo.....

    NINAWASHANGAA wanaojiandaa eti kwenda kupiga kura ya Urais, yaani, rais wa nchi awe nani (siku zote aliye mbali na wao na hajui kinachowazunguka na kuendelea katika mkoa wao mpaka adanganywe na wakuu wake wa mkoa na wilaya na kufanyia kazi habari za uongo badala ya kweli) au mbunge (ambaye...
  12. A

    Ipo tofauti gani kati ya Ubaguzi Afrika Kusini na ubaguzi na unyanyasaji, dhuluma dhi

    Nina hakika nchi za Kiafrika na Kiarabu kwa pamoja zikikataa kufanya biashara au kuwa na ushirikiano wowote na Wayahudi haitochukua muda suluhisho la serikali mbili, yaani, ile ya Kiyahudi na ile ya Kipalestina kuwa jambo linalowezekana. Afrika tusiamini kuwa ni Marekani itakayoleta mabadiliko...
  13. A

    Mbio Za Urais Wa Zanzibar 2010: Kanisa Katoliki Laanza Kumnadi Waziri Khatibu

    Wanshafulia hivyo. Wazanzibari safari hii hawawezi kamwe kumchagua kiongozi anayepiga vita Uislamu na anayekuwa kafiri kushinda makafiri. Hamna hilo. Sahauni kabisa nyie manasara!!!
  14. A

    BAADA ya CCM kukuta mianya yote ya kuiba fedha za wanachi imezibwa sasa yaamua kuchap

    Baada ya serikali ya Chama cha Mafisadi (CCM) kujikuta imegonga mwamba katikakununua mitambo ya Dowans au kuchapisha vitambulisho vya taifa kwa gharama kubwa iliipate hela ya kugombea uchaguzi wa mwaka 2010 sasa imeamua kuiagiza benki kuukuchapisha noti mpya kwa kiasi kikubwa ambacho kitawezesha...
  15. A

    Kikwete 'live' TBC1 Sept 9, 2009

    Hivi Watanzania kweli bado wanataka hotuba, maswali na majibu huku mawaziri na makatibu wakuu wako bize kama hawaibi moja kwa moja, wanashirikiana na mafisadi kuhakikisha umasikini unakolea zaidi Tanzania na kuzitumia nafasi walizonazo kujineemesha wao wenyewe, watoto wao, mbwa na paka zao ...
  16. A

    Mafisadi sasa wavamia sekta ya simu

    HABARI zinazotoka chunguni zikiwa bado moto kabisa ni kwamba sasa mafisadi wamenuia kwa udi na uvumba kuteka nyara na kumiliki kila kampuni inayohusiana na masuala ya simu na intaneti nchini. Kwa mujibu wa habari hizo kampuni ya simu iliyoingiza njia mpya ya mawasiliano hapa nchini...
  17. A

    Taarifa Ya EU: SMZ Yabwatuka

    Mheshimiwa Rais Kikwete peleka viongozi wa Zanzibar shule ya diplomasia wajue nini kinafaa kuzungumzwa hadharani na nini faraghani kwa kiongozi wa nchi kama kweli ni nchi au hawajui hili? Angalia huyu aliyelipuka hivi: "Keep off Zanzibar's voters roll, donors told," swali laja je na donors...
  18. A

    Waziri kadhihirisha:ni kweli wizara ya habari haina kazi, na watanzania hatuhihitaji

    NI KWELI WIZARA YA HABARI HAINA KAZI, NA WATANZANIA HATUHIHITAJI Kuna wanaolalamika kwamba ni kuionea CCM kudai kuwa serikali yake ni kubwa mno na viongozi hawana uwezo wa kumsimamia kila mtu. Ingawa kuna wanaoamini kwamba ukweli ndio huo. Tanzania haihitaji wizara 30 na ushee. Na ushahidi...
  19. A

    Vita kati ya Tarime na Rorya

    TUKUBALIANE kitu kimoja kwanza. Nacho ni kuwa serikali, vyombo vya dola na dini zimeshindwa kuleta amani mkoani Mara. Sawa ? Kuna jamaa kapendekeza kuwa mkoa huo utawaliwe kijeshi. Mimi ninapinga hilo. NIkitazama ramani za wilaya Tanzania karibu nusu yake viongozi wake ni wanajeshi wastaafu...
  20. A

    Kwa hili Obama Kachemsha

    Nimekuwa nikimuunga Obama toka siku ya kwanza. Lakini hili la kuanza kushikamana na upande mmoja linanikifu. Na siamini kama litakuwa na mwisho mzuri. Obama kutoa silaha kwa upande wowote katika mgogoro wowote Afrika ni kuanza kile ambacho Afrika inakiogopa kutoka kwenu. Ukifungua njia wewe basi...
Back
Top Bottom